Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Sio kwa comments hizo sasa lol.
Wachepukaji na michepuko ktk ubora wao.
 
Code maji soda .. kwenye chat zangu ama nikipokea simu haswa nikiwa home

Kuna mpuuzi kaacha kitambulisho chake kwenye gari yangu sijakiona nimemwambia atajua mwenyewe, mi sipo
 
Ha ha nikitia flight mode ama silent nnaamka asubuhi kila kitu kipo ON vizuri tuu
 
Mngetushirikisha tukawasaidia kuhandle michepuko jamani. Mwili mmoja halafu mnahangaika peke yenu?
Huyo ni pro mkuu.

Nimekutana na Unskilled one, nikatumia skills zote kumpagawisha, Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock. Na Anajua kuwa Nimeoa.

Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Some men real dont know and cant read our minds. Hatueleweki na hatujawahi kueleweka. Yaan unadhani nikakushika halaf ukakana na kuleta sababu luluki nikakuitikia yea kwamba ndo nimemaanisha nimekuamini ama ndo unasema ukweli? Akili ya mwanamke works like a computer. Tukikaa kimya its simply because we are avoiding fights. Musituchukulie hivi poa.
Man talk only
 
Eti hawa ndio wa kristo na kila jpl wapo makanisani..ache kusali tu au mjiunge na Islam muoe mke zaidi ya mmoja..na sio umalaya tu mlioundekeza chini ya kivuli cha dini.

#MaendeleoHayanaChama
That's true,

Mi ni mkristo pia...ila nafikiri swala la mke mmoja hapa walichemka sana
 
Tumia telegram private chart.. huwa znajifuta zenyewe afta sometime na inatunza privacy ya mtu
 
Back
Top Bottom