Utawaacha wangapi mumy kwa kesi za kuchepuka Kama hizo
Mfano mchepuko umekutafuta umejitambulisha na ushahidi juu ukimuacha huoni unampa nafasi huyo mchepuko
Kwahiyo utanisemea au? Hata hivyo nina njia nyingine kama tano hivi.kumbe ndo zenu
Huyo ni pro mkuu.
Nimekutana na Unskilled one, nikatumia skills zote kumpagawisha, Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock. Na Anajua kuwa Nimeoa.
Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko.
Alfu unakuta mke wako naye ni mchepuko wa Mshikaji mwingine huko kitaaa
Man talk onlySome men real dont know and cant read our minds. Hatueleweki na hatujawahi kueleweka. Yaan unadhani nikakushika halaf ukakana na kuleta sababu luluki nikakuitikia yea kwamba ndo nimemaanisha nimekuamini ama ndo unasema ukweli? Akili ya mwanamke works like a computer. Tukikaa kimya its simply because we are avoiding fights. Musituchukulie hivi poa.
Hatari hatari hahahaahSio kwa comments hizo sasa lol.
Wachepukaji na michepuko ktk ubora wao.
wala nimejifunza kituKwahiyo utanisemea au? Hata hivyo nina njia nyingine kama tano hivi.
That's true,Eti hawa ndio wa kristo na kila jpl wapo makanisani..ache kusali tu au mjiunge na Islam muoe mke zaidi ya mmoja..na sio umalaya tu mlioundekeza chini ya kivuli cha dini.
#MaendeleoHayanaChama
Mngetushirikisha tukawasaidia kuhandle michepuko jamani. Mwili mmoja halafu mnahangaika peke yenu?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
yaan wee acha tyuuh lol.Hatari hatari hahahaah
Endelea kujifunza, elimu haina mwisho.wala nimejifunza kitu
kabisa plus napenda kujifunzavitu vipya alwaysEndelea kujifunza, elimu haina mwisho.
Duh.. ebu nione kama uwezo huo ninao hehhheheh .Naomba link
Naomba link