Men Talk 4: Mwanaume usitongoze kila mwanamke aliyekaribu na wewe, hata kama anavutia kiasi gani. Some are meant to be just friends

Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae alikuja kutembea maana alikuwa likizo chuo). Kulingana na mazingira ya pale home, sio rahisi yule dada kutembea na mtu wa nje ya nyumba, kwahiyo ilo swala lilimpa mzee hasira sana, maana ilikuwa wazi muhusika wa ile mimba ni kati ya sisi watano.
Sawa ila huyo beki tatu ulikula?
 
Hii individual task, na sio group task mkuu. Ukiamua kujisimamia unaweza. Huwezi angalia wengi wanafanya nn, ikiwa wanachofanya ww kinakurudisha nyuma.
Ngoja nipambane nayo, kuna siri ya mafanikio hapa.
 
Kuna ukweli hapa.
Niliotembea nao wengi nimewapoteza kama Friends.
Ambao sikuwatongoza mpaka Leo ni mabest na tunaheshimiana.

Je mdada wa kazi ulikuwa umetafuna kweli ama alikuangushia tu Jumba Bovu?

Baba alikuwa sahihi, mwanamke hawezi kukusingizia mimba kama hujalala nae. Beki 3 alitaka kuniangushia soo la mimba, nikweli nilipagaga, ila mimba haikuwa yangu. Maanaby that time inagundulika, ilikuwa ya mwezi mmoja, wakati nilishaacha kupiga miezi kama 5 iliyopita.
 
Kwahiyo mlimjua vipi mhusika wa mimba au ndiyo walikubebesha mtoto?
Beki 3 aliteleza wakati anajitetea. Hapo pia kuangalia simu yake, zikakutwa chatting zake na yule broh mtoto wa baba mdogo. So mhusika akawa amejulikana.
 
Saw.ila uyo beki tatu ulikula?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Baba alikuwa sahihi, mwanamke hawezi kukusingizia mimba kama hujalala nae. Beki 3 alitaka kuniangushia soo la mimba, nikweli nilipagaga, ila mimba haikuwa yangu. Maana by that time inagundulika, ilikuwa ya mwezi mmoja, wakati nilishaacha kupiga miezi kama 5 iliyopita.
 
Beki 3 aliteleza wakati anajitetea. Hapo pia kuangalia simu yake, zikakutwa chatting zake na yule broh mtoto wa baba mdogo. So mhusika akawa amejulikana.
Haaa haa haaa ikawapone pone yako, akawa shemeji yako jina la dada likafa
 
Back
Top Bottom