Men Talk 4: Mwanaume usitongoze kila mwanamke aliyekaribu na wewe, hata kama anavutia kiasi gani. Some are meant to be just friends

Dah!! Nilipita na vibinti vyote kazini ambavyo havijazaa. Sina mahusiano nao vizuri mpaka hivi sasa
 
Mkuu!!! Hivi una umri gani weye!!
Nyapu unaijua kisawasawa??? Kwa Jinsi..
Inavoita
Umuka
Laini???
Wewe unasema tu!!
Mfalme Daudi Nabii wa Mungu aliona utamu wa mke wa uria live kabisa akiwa ghorofani aliishindwaa ile ndude kabisaa! na akamzalisha yule mwanamama!!

Wewe ni nani? Usiregee?? Hapo ujue siyo kwamba wewe ndo tu hupendi.hata..

Mdada anaweza kukupenda tu. mbegu yako tena akakubaka haswaaa! Na Mimba juu!!akakea yeye..inaonyesha wanawake hawakupendi wewe!!

Yusufu mtumwa,mchafu,mkabila mlala hoi tu!! Mwana wa yakobo alibakwa na mke wa jemedari Mkuu Potifa!! Yusufu alipata shida mno.

Mkuu mmoja wa Majeshi yenu mpigiwa saluti simtaji hapa.aliishiwa nguvu kwa house girl akamzalisha mtoto sura ileile!!

Asa yule hawezi kosa demu yeyote na popote pale. kwanza madem wenyewe wana mwinda.
Yaani km kuna me asiyetamaniwa na mwanamke nitamshangaa sana!!

Wengi wanaume wanaolewa tena wanapewa kila kitu kwa dhati ya moyo na me huchomoki. Inategemea na tabia yako. Na historia yako.

Km uko!
HandsomeVizuri
si mkorofi.
si mlevi.
mchapakazi
wewe mademu watafika bei tu lazima.
Piga ua galagaza! Lazima uolewe tyuuu!! Utake usitake! Wanatamani mbegu ajabu sasa nademu wa nguvu na uwezo.
Akijirengesha weeee!! Ukawa kauzu lazima akuvue tu kwa lazima kashtaki uone km utaeleweka kwa baba polisi!!

Utalala wewe ndani.halafu akikuonea huruma atakutoa huyo huyo!! Utampa sasa kwa hiari na kalimbwata juu!!

Dawa ni kuwapa dose tu na ndomu!! Mpaka wakuone maji ya mbeya! Ili uwe huru.ukijifanya mgumu ndo unawavutia kabisaaa!! na lazima tu ulegeee kwani wee nani....
Labda uwe hanithi tena wanataka kuhakikisha je ni kweli.au
Labda ufe...

Kila mtu Duniani hii anataka kitu kizuri!! Ukiona mtu anataka kibaya huyo chizi.
Kwani una umri gani weye????
 
Kipindi nasoma, naishi home kwa wazee, mfanyakazi wa ndani aligundulika ana mimba. Ikabidi ahojiwe muhusika ni nani. Ile nyumba watoto wa kiume tulikuwa watano ( kuna mtoto wa baba mdogo nae alikuja kutembea maana alikuwa likizo chuo). Kulingana na mazingira ya pale home, sio rahisi yule dada kutembea na mtu wa nje ya nyumba, kwahiyo ilo swala lilimpa mzee hasira sana, maana ilikuwa wazi muhusika wa ile mimba ni kati ya sisi watano.

Kikao kiliendeshwa na yule broh wa chuo, alimhoji maswali magumu sana yule binti, binti kazungukaa weee mwisho wa siku akanitaja mimi. Nilikataa kata kata maana nilikuwa najua anaongopa. Majadiliano yalikuwa mengi na marefu, ila ukweli ukaja kugundulika, aliyekuwa anaongoza mjadala (jamaa wa chuo) ndio muhusika wa ile mimba.

Baada ya siku mbili, mzee jioni moja akaniita. Tukawa tumekaa nje, tunaongea huku tunakunywa chai. Mzee alianzisha mada ambayo sikuitarajia. Aliniambia "Katika maisha, ukiwa kama mwanaume hutakiwi kutembea na kila mwanamke aliyekaribu na wewe, vinginevyo unaweza jikuta unapoteza watu muhimu sana ambao wangeweza kuja kuwa msaada kwenye maisha yako".

Tuliongea mengi, na alinipa hints nyingi sana. Ila wakati tunamalizia maongezi, akaniambia nilifanya kosa kutembea na yule mfanyakazi wa ndani. Nikashangaa why kasema vile. Halafu nikamkazia macho kwa msisitizo, huku nikikataa zile tuhuma. Nilimwambia "Baba hadi wewe unaamini nilitembea nae?". Mshua alitoa tabasamu fulani hivi, ambalo naweza sema ni la huzuni, then akaniambia "MWANAMKE HAWEZI MSINGIZIA MIMBA MWANAUME AMBAE HAJALALA NAE". Nilijisikia aibu sana, nikaondoka.

Kiuhalisia, wanaume tumeumbwa na tamaa plus mioyo ya kutoridhika, hasa linapokuja swala la mapenzi na wanawake. Utaoa leo, ila kesho mate yatakutoka ukipishana na zigo jingine njiani

Ila from real life experience, naweza washauri sio kila mwanamke mzuri anayekuwa in your life circle lazima upite nae. Why nawaambia hivi??

Wote tunajua, ni nadra sana kukuta marafiki wa kawaida wa jinsia tofauti ambao hawana uhusiano wa kimapenzi wananuniana au kuchuniana. Ukitembea na rafiki yako wa kike, basi jua umegain mpenzi, ila umepoteza rafiki.

Ukitembea na co-worker, basi jua umegain mpenzi na umepoteza co-worker. Ukitembea na mfanyakazi wako, jua umepoteza mfanyakazi na umeongeza mpenzi.

Wote tunajua, palipo na mapenzi lazima vifuatavyo viwepo:

1. Wivu kupitiliza
2. Kununiana bila sababu

Mapenzi yanapunguza sana ufanisi wa utendaji kazi, hasa endapo utataka kufanya vyote kwa pamoja (Rejea mfano wa Ngoswe).

Kuna ile dhana kwamba, ukiwa na ukaribu sana na demu halafu usimtongoze, atakuona nyuki wa mashine. Hizi kauli zimelostisha wana wengi sana. Unamtongoza demu anayekupaga deals, mkishakuwa wapenzi then mkagombana usitegemee akupe tena zile deal.

Hata uwe unatembea na pisi mpya kila wiki, hutoweza wamaliza wote, maana on everage wapo wengi kutuzidi. Japo Opportunities are endless, ila ukianza kutongoza kila unayemuona, slowly you will be blocking your connections.

Nakumbuka kipindi nilipoamua kuondoka home baada ya kugoma kusoma HKL. Mshua badala ya kunisihi nisikimbilie Dar na umri ule mdogo, tena bila ya kuwa na ndugu, yeye alinikumbushia tena hili swala, then akaendelea na mishe zake (nilisota sana huko nilipoenda, ila nikanyooka).

Wakuu, kuwa mwanaume ni pamoja na kusimamia unachokipigania, kuweza kucontrol hisia zako.

Regards.

Analyse.
Nimeelewa kitu na nitaifanyia kazii
 
Sad truth , be blessed ogopa kutongoza unafanya nae kazi ofisi Moja kuvirudisha Ile gharama ni ngumu
 
Chai
 
Wanawake wazuri tunaowa na kuweka ndani ila hizi pisi kali sijui warembo ni mwendo wa checheeeeee ila play nice play safe
 
Back
Top Bottom