Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Watoto wa kike ni Asset, Wala sishangai, Nina watoto wa kike tupu na wananipenda balaa, ndio faraja yangu na furaha Yangu. Sina mpango wa kuzaa nje eti nitafute wa kiume. Waweza kwenda kumpata huyo wa kiume na ndio aje kukusumbua, namshukuru Mungu Kwa mabinti hawa na i am very happy as a responsible Dad
Good for you mkuu. I wish happiness in your family
 
Back
Top Bottom