Men married to Israelis to be stripped of citizenship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men married to Israelis to be stripped of citizenship

Discussion in 'International Forum' started by ngoshwe, Jun 8, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Cairo - A Cairo court on Saturday upheld a ruling to strip Egyptian men married to Israeli women of their citizenship in a case that has highlighted national sentiment towards Israel.

  Judge Mohammed al-Husseini, sitting on the Supreme Administrative Court, said the interior ministry must ask the Cabinet to take the necessary steps to strip Egyptian men married to Israeli women, and their children, of their citizenship.

  The court said that each case should be considered separately, in a ruling that cannot be appealed.

  The ruling reflects Egyptian sentiment towards Israel, more than 30 years after Egypt signed an unpopular peace deal with the Jewish state.

  Before reading the verdict, Husseini said the case would not apply to Egyptian men married to Arab Israeli women.

  "The case for (Egyptian) men married to Israeli Arab women is different to those married to Israeli women of Jewish origin because (Israeli Arabs) have lived under Israeli occupation," Husseini told the court.

  "The court's decision is taking into account Egypt's national security," the judge said.

  Lawyer Nabil al-Wahsh said he originally brought the case to court in order to prevent the creation of a generation "disloyal to Egypt and the Arab world."

  Children of such marriages "should not be allowed to perform their military service," he said.

  The number of Egyptian men married to Israeli women is thought to be around 30 000, according to Wahsh. Only 10% of them are married to Arab Israelis.

  "This ruling is for the benefit of Egypt, a nation of leadership, history and civilisation," Wahsh said. "It is for the protection of Egypt and Egypt's youth and its national security."

  "The decision comes as Israel continues its assault on those who love peace. The latest example is the aggression against the aid boat which was heading towards the blockaded Gaza Strip," he added.

  On Monday, Israeli naval commandos raided a humanitarian flotilla carrying aid to the blockaded Gaza Strip, in a bungled operation that left nine pro-Palestinian activists dead and scores injured.

  A lower court ruled last year that the interior minister must look into the cases of Egyptian men married to Israeli women, and their children, in order to "take the necessary steps to strip them of their nationality."

  The interior and foreign ministries had appealed the case, saying it was for parliament to decide on such matters.

  Thousands of Egyptians, particularly a large number who lived in Iraq and returned after the 1990 Gulf War over Kuwait, moved to Israel in search of work and married Israeli women.

  In 1979, Egypt became the first Arab country to sign a peace deal with Israel.

  - AFP
  http://www.news24.com/Africa/News/Some-men-to-lose-citizenship-20100605
   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Waarabu nadhani uwa wana matatizo ya kufikiri - IQ zao zipo Ki-boflo zaidi!
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wanadhani wanawa komoa wa islael
   
 4. d

  damn JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  afterall ni nadra sasa mwanamke wa kiisrael kuolewa na mwarabu.
   
 5. October

  October JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Miarabu ndivyo ilivyo.

  Minafiki kupita kiasi.

  Ingekua Israeli ndio wamefanya ubaguzi huu wa waziwazi Ungesikia Maandamano kila Mahali duniani (Including Tanzania), Lakini kwa vile 'Mwaarabu mwenzao' amefanya ubaguzi hutasikia wakifungua mdomo.

  Hii ndio ideology ya 'Kiarabu'. They do what they are not saying and say what they are not doing.


  Doube Standards!!
   
 6. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  30,000 very 'nadra' huh! lol.. This is politics and if Israel is running an apartheid state then acha na watu wao nao waonje the same thing elsewhere..Fair to be honest.
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ndugu yangu, ukisikia israel si kila kitu kinahusi wayahudi....asilimia kama 78% ya population ya waisrael ni jews..kuna kama percent kumi na kitu hivi ni waarabu mchanganyiko na wapalestina na watu mbalimbali pale...so, sio kwamba hao wamisri wanakuwa wamewaoa ma jews...hapana, wanakuwa wamewaoa waisrael wa kiarabu ambao sio jews....myahudi hawezi kuolewa kwa mtu mwingine hivihivi..ni kitu nadra na wanazuia hata Mungu alishawakataza....wanaoana wao kwa wao...hivyo usifikiri kuwa wanawakomoa wayahudi wa israel, no wanawakomoa waarabu wenzao ambao wana uraia wa israel na ambao ni waislam wenzao..
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  elfu thelathini hata hao ni wachache..kuna kama more than a million arab israelis kule holy land....na wana uraia wa israel, na wanapiga kura kama waisrael..kama uliona kipindi kile cha uchaguzi, ndo walijitokeza sana kuwa na kasauti kwasababu walikuwa hawataki kumpigia kura netanyau....hivyo....wamisri maisha yao magumu sana, kule israel maisha ni mazuri ni westernised country kabisa, very industrialised na ndo nchi pekee ya middle east inayoongoza kwa viwanga na technologia ya kisasa....hivyo wamisri wengi huenda kuwaoa waarabu raia wa israel ili wapate pa kuingilia...yaani wanazamia kule...wengi tu wanafanya kazi kwenye mashamba ya wayahudi na viwanda vyao...na wanalipwa pesa nzuri...hivyo ni sawa tu na wabono wanapozamia ulaya alafu wakifika kule wanaoa mzungu...

  ndivyo wamisri wanavyofanya.....lakini cha ajabu ni kwamba, hata kama watapata uraia badaye...hawatakiwi vitani/hawalazimishwi vitani hata kwenye majeshi yale ya kujitolea, kwenda kwenye mazoezi ya jeshi kabla ya kuanza university/collage etc...hawa waarab hawatakiwi...ni wayahudi tu...na kuna significant number sasa ya wayahudi weuzi toka ethiopia..unakumbuka namna walivyowapandisha ndege miaka ile, hadi leo bado wanawachukua, wanawabadilisha kuwa sawa kwenye Judaism, na wanakuwa raia wema wanaoenjoy rights zote kama myahudi kuanzia vitani hadi shuleni...
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kuna great thinkers wa ajabu humu ndani,ebu tujifunze kuwaachia matatizo yao wenyewe kwa wenyewe hayatuhusu.kila nchi ina sheria yake, cha ajabu western country yoyote ikitangaza kuwakataza waarabu kujifunika uso mnashangilia na kuwaunga mkono kwamba ndio sheria yao ya nchi.sasa leo hawa wameweka sheria yao mnawaona wa ajabu.

  wakuu tujifunze ku-ignore mambo yasio tuhusu kama hatuwezi kuwa fair kwenye maoni yetu.
   
 10. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhh! hapa umechemsha! kuna idadi nzuri tu ya Western Jews hasahasa America wameolewa na watu wa dini nyingine, kati yao wameolewa na waislamu.
  Binafsi nilikuwa nimuoe mwanamke wa Kiyahudi! but thats another story.
   
 11. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  :violin:
   
 13. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Musraeli ni muisraeli tu, hata akiolewa na mwarabu au akizaliwa na baba mwarabu hautupi Uyahudi wake. Kesho na keshokutwa atakumbuka kwao na watu wake. Na atakuwa tayari kufanya lolote kuwatetea dhidi ya wale waliomwoa (kama ni mwanamke) au waliomlea - rejea kisa cha Musa katika Agano la kale. Hii ni mbinu ya Isareli ya kufanya uspai kwa maadui wake. Atatumia wayudi wanawake (kwa kuolewa na warabu) na watoto waliozaliwa na baba waarabu hata kama watakuwa wamesilimu. Waarabu kama wanataka usalama wao labda waachane na wanawake hao, vinginevyo hao wamama ndo watakuwa kitanzi chao. Muyahudi si mchezo.
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  :A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
   
 15. B

  Bettina Member

  #15
  Jun 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani ila hakuna ukweli katika haya maelezo!!!!!
  hata koffi anani ana mke wa kiyahudi(jew):lie:
   
 16. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Usijidanganye, halafu Musa hakuwa Myahudi.
  Utasema nini kuhusu watoto waliokuzwa Waislamu?! hili "tatizo" linajulikana wazi na Ma Rabbi na wanajaribu kulipigia kelele sana.
  Kweli Mayahudi si mchezo! walitumia zaidi ya agents 26 kwenda kumua mtu mmoja Dubai ,asiye na silaha na ambaye hakutegemea kushambuliwa na habari zikakuzwa na kuonekana kuwa wao ndio wenyewe!
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Inatusaidia nini watanzania
   
 18. M

  Mkabera JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  find this articles in Jamii forum most of the times debating on Arabs and hate of Arabs.
  Yet it is sickening since Arabs seldom write anything against Africans. What is wrong with some of your people? Is this how to advance friendship?
  How comes Jamii forum allow such hate debates? Would you have liked to see a forum in Arabia writing abusive words on Africans? l
   
Loading...