Men lie the Most, Women tell the Biggest Lies.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men lie the Most, Women tell the Biggest Lies....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VoiceOfReason, Jan 26, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  A mans lie is, "I was at Kevins House...", A woman lie is like, "its your Baby".... CHRIS ROCK

  MY TAKE
  Although the guys is a comedian and he was Joking...., Lakini je kuna uongo mkubwa zaidi ya kumbambikizia mtu kiumbe????....
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Si wote...hii ni tabia tu wa wachache...na kama ujuavyo tabia si km ngozi ya mwili hivyo inabadilika! Kati ya watoto nane huwezi kukosa halali wawili
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  ofcourse sio wote hapa ni statistics..... mfano tukisema pikipiki ndio inaua sana sio kwamba kila ukipanda pikipiki unakufa au ukipanda gari hautakufa... No. alafu kumbuka that is a qoute nimechukua, na hapa swali ni kwenye mahusiano je kuna uongo zaidi ya huo ambao Chris Rock amesema?
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kuambiwa tu nakupenda na moyoni nimekupa V.I.P class ilihali ni third class(economy class) ni uongo sawa na kupakaziwa mtoto...
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Upo, kwa mfano 'huyu ni dada yangu' kumbe ni mpenzi, kimada, hawara au mke wa pili. Au fikiria mtu anayedanganya alikuwa anaangalia match kumbe alikuwa anafanya ngono na mwananke mwingine.

  I think men lie big and most; or mostly big lies.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhhh na wanaume wanaotembea nje mpaka anazaa na mtoto je???
  Anaepita kwa nyumba ndogo anafanya mambo yake alafu akirudi anasema alikua anafanya kazi overtime???Kachoka kazi nyingi kumbe hakuhitaji???Anakupenda wakati anajau fika anakutumia tu???Ntakuoa alafu siku ya siku huyooooo kapotea na kutambulishwa tayari??Anaedanganya mkewe amekufa kupata mdada kumbe si kweli??:suspicious:Hii nimeshuhudia!!!Na mengine mengi tu.....kama vitu vingine vingi hamna mshindi....pande zote zinaweza kudanganya sana na kwa uongo usiopimika!!!
  Ni hulka na sio jinsia!!!
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duh! Lizzy naona umekusanya makosa yote hujaacha hata moja? OFF TOPIC: hope your ok,missing you besti.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani hapa swali ni Je kuna uongo zaidi ya kumsingizia mtu mimba au mtoto ni wake.... now wanaume wanaweza wakawa na uwezo wa kudanganya zaidi kuliko wanawake au ni mashetani kuliko wanawake lakini the fact remains hata kama wanao uwezo huo lakini hawawezi wakazaa, kwahiyo wanadanganya according to their limits ambazo ni infidelity....., now the question remains from the quotation is infidelity a bigger lie than kumsingizia mtu mtoto.

  After all huyo mtoto alipatikana vipi kama sio through infidelity???
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna uongo mdogo na mkubwa, vyote hivyo vinauma tuu!! Tunashare Mwanaume bila ridhaa yangu wala matarajio yangu kinauma sana. Nakudanga mtoto ni wako kumbe sio kinauma sana vile vile.
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe...we lazima ukweli usemwe!!!


  Off Topic
  The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:
  Lizzy (Today)
  Mzima kabisa....you don't have to miss me...we can still talk bwana!!!Au CM kakukataza???:suspicious:
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I beg to differ..... lazima hapa tukumbuke mpaka unidanganye mtoto ni wangu basi ukweli ni kwamba kabla ya hapo uligawa penzi langu nje..., na nyongeza ni kusema kiumbe ni changu wakati sio changu, na nyongeza zaidi ni kwamba kuna baba wa watu masikini hajui kwamba amepata baraka ambayo sababu ya uongo wa mtu amenyimwa.....

  N.B Kumbuka hapa am just a devils advocate... ninamtetea Chris Rock.....:)
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahah lol
  oohh dear kumbe na wewe
  unampenda CR..lol

  mie kila nikisoma poster zako huwaga nadhai wewe ni wale watu
  wako series sana dear..
  mambo ya uchesi na vitu kama hivyo hufuatiliagi..

  mmhh i think im wrong..
  sorry my dear friend..
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hakuna uongo unaomzidi mwenzake maana uongo wowote ule unaweza kua na madhara sawa!!!
  Achana na swala la kusingiziana mtoto...hayo ni matokeo tu ya infidelity ambayo wote wanaweza kucomit!!!

  Madhara ndo yataonyesha ukubwa wa uongo kwa kutofautiana kati ya mtu na mtu!!Ndo maana kuna watu hawawezi kusamehe infidelity kwasababu kwao hicho ndio kikomo....na kuna wengine wanavumilia over and over again!!!

  Na je mtu anaemletea UKIMWI mkewe ndani alafu hamwambiii anamchekea tu huku akimwangalia anavyomomonyoka tumueke wapi???
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  AD afadhali nimekuona hapa maana nimepita kwako kule naona kimya!!!


  Kwa mimi ninavyohisi...Bibie Judy afaa kuitwa miss
  Jinale hajabadili...bado aweza kuitwa mwali
  Ikiwa hajaolewa ....na nyumbani hajatolewa
  Usianze kumdiss ...kwa yeye kukunyima kiss!

  Ujumbe wako huoo nimeacha kule nyumbani kwa LUGHA!!!:A S shade:
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I Love stand up comedies and I have watched all from Chris Rock, Eddie Murphy to a guy called Demetri...., I used to watch movies a lot and I read a lot I mean a lot.... I guess you can call me boring although I think am just reserved.....:), I am a guy you give me a book I can live alone in an island without getting bored.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Orait ngoja nijifanye nakubaliana na wewe for a sec.....

  Mume katoka nje ya ndoa....mke nae hajachelewa!!
  Mume kazaa nje...mkee kazaa nje!!
  Mume kagundulika kwa sababu ni rahisi kujua huyo mtoto sio wa mke wake...
  Kwasababu mke hawezi kutiliwa wasiwasi hajaulizwa ''huyu ni wangu??'' kwahiyo anaenda na ile sheria ya ''Don't ask....don't tell!!''
  Sasa hapo kadanganya nini???HAJASEMA tu....kaficha siri...kitu ambacho hata mume anaweza kufanya kwa upande wake!!
  Ngoma droo!!!
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhh siwajua wengi wao wamelala sahizi dear
  ndo maana malngo umefugwa na kuko kimya sana dear lol

  duuuhh kumbe hata wewe mashahiri unayadondosha hivyo..
  mmmhh kweli jana ulini ahidi unakuja kwa vishindo
  na nimekuamini dear..

  ngoja nirudi nyumbani haraka
  nikakundoolee senks zaidi
  maana kweli wastahili dear..
   
 18. LD

  LD JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Orait orat, to me uongo ni ule ule tu, hapo ni upana wa huo uongo ulivyo lakini pia ni kwa sababu kuna hio chance ya mama kumdanganyia baba mtoto, kwamba hata ingekuepo kwa mwanaume ingetokea vile vile. Tofauti ni kwa vile mwanamke anabeba mimba na mwanaume habebi. Tena nadhani wanaume wangekuwa ndo wanabeba kati ya watoto nane mmoja tu ndo angekuwa wa mama house.
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol
  mmhhh ok
  haki ya walakhi umenikosesha cha kusema dear..
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Uongo wote kuwa sawa I dont think so...., first of all uongo wowote ambao mwanaume anaweza kudanganya na mwanamke pia anaweza... that is its practically possible..., lakini wakumsingizia mtoto mwenzake hili ni mwanamke pekee ndio anaweza...., now madhara ya kufanya hivyo ni A kwa mwanaume anayedanganywa, B kwa mwanaume aliyenyimwa haki yake, C kwa mtoto mwenyewe kukosa kumjua the really father...., hilo la kumletea mtu ukimwi ni baya sana lakini practically all men and women can do it...:)
   
Loading...