Men in love-movie kali ya kibongo

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
Kati ya movie ambazo wabongo wamecheza ki umakini zaidi ni hii ya men in love ambayo inahusu mapenzi ya jinsia moja,nimependa characters na director jinsi alivyojitahidi kuchezesha character accordinly,hii movie inahusiana na vijana wa chuo wanaoingia na tamaa ya kuishi maisha mazuri hatimaye wanajiingiza kwenye mahusiano ya kinyume na maumbile.dannie kijana handsome na mwenye akili anashawishika kufanya uchafu na jamaa aitwae reonald,kwenye mahusiano dannie anaonekana kutofurahishwa na mchezo huu,ila badae anakuwa chronic na kufanya huu uchafu na kila mwanaume anayemwona mbele yake,mwisho wa siku anapata ukimwi na aibu,huyu jamaa ni mgeni kwenye sanaa ila kaonyesha ufundi wa hali ya juu sana,anajua kucheza na camera vibaya nadhani ni mkenya,tafuta hii movie nimenunua jana ni nzuri ina mafundisho sana kuhusu vijana wetu,na wahusika hawakuvaa nguo za kike kama ma gay but ni wavulana kamil ukiwaona but wanayofanya hatari,BIG UP
 
yani kabisa mtu.unayoa hela yako kwenda kununua muvi ya maliberali duh?? hongera mimi nilishahasahahu muvi za kibongo aka copy and paste
 
Kama ni mtanzania ni vizuri kununua cd za kitanzania na kama. Kuna makosa nivuri kusema kuliko kuwacha kabisa nishauri tu ( mtoto. Akinyea mkono utaukata?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kama ni mtanzania ni vizuri kununua cd za kitanzania na kama. Kuna makosa nivuri kusema kuliko kuwacha kabisa nishauri tu ( mtoto. Akinyea mkono utaukata?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Cloud 112 kweli ni bora kujivunia vya kwetu kwa kununua na kuongeza kipato kwa wasanii wa ndani!
 
Last edited by a moderator:
sasa hiyo muvi inahamasisha nini katika jamii yetu ya kitanzania?
 
Kama hii wameiruhusu kwanini waliipiga stop ya Mlela.
Movie ya kipumbavu sana

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ukweli ni kwamba ushoga upo Tanzania na umesambaa sana tu. Mara kibao utasikia habari za wanaume kufumaniwa au mume wa mtu kufumaniwa na mwanaume mwingine. Movie zina takiwa kuadress ishu zinazo gusa jamii na kutoa fundisho. Kama movie inatoa fundisho sioni ubaya wake. Kukwepa kuzungumzia tatizo haliondoi hilo tatizo.
 
Hivi vitu si vya kuzungumzia au kupromoti! Kuangalia na kununua mikanda kama hii ni kama kupromoti hayo mambo!
 
ok..labda nimependa tu mwisho kua kavuna alichokipanda..haya mambo yapo..yanahitaji tu kukemewa na kuwalea vijana wetu ktk njia zifaazo tangu wakiwa wadogo..lakini tukikataa tu kua hakuna iko kitu na tusichukue hatua,itakua sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom