MEN: Dont play with women's feelings!

Sipati taswira huyo jogoo wake asivyowika, mbona anaipata freshi ya shamba!! Eerrr

Anaitaji ushauri wa haraka huyu jamaa ili kunusuru ndoa yake, mwezi wa 4 huu wanatizamana tu na mkewe ndani, looh! Anatamani usiku usiwepo
 
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?

Cacico wewe....!
 
utapanda ulichovuna, usimtende mwenzio kitu ambacho hutotamani kutendewa wewe. Akimwombe bibie msamaha kwa kumtosa hata kama hahusiki ktk hayo yaliyomkuta.
 
Hii Kitu iliwahi kunitokea ...this is the true story...ni kweli kabisa uchawi upo lakini na Mungu aliye hai yupo anaishi yupo..Nilikuwa na Demu nikamwambia laivu mimi sina mpango wa kuoa kwa sasa tuwe friends...baadae mimi nikaenda shule nikaachana na yule demu...ilinipata same case baadae lakini moja kwa moja ndani yangu nikashuhudiwa Rudi kwa Mungu wako Tubu pambana sikuwahi kumsimulia mtu hii kitu ila yule binti niliyekutana naye kwa mara ya kwanza baada ya kuachana na yule Demu mwanga wa kwanza ...aliniambia wewe vipi wewe kumbe haufanction sasa kwa nini umenitokea ...nikamwambia mimi cjui lakini kama ingekuwa hii ni kawaida yangu ya nini nikutokee wakati najijua kuwa sina uwezo ili ni adhirike..hii sio kawaida kwangu..hatua ya kwanza niliyofanya nilkwenda nikachoma vitu vyote nilivyopewa kama zawadi na yule demu mwanga..baada ya hapo kwa Mungu wangu kwa sana maombi kwa kwenda mbele...nilipokuta na yule binti tena mambo shwari na sasa tunaye Mtoto mmoja she is my wife....Jina la Yesu ni ngome imara litamkwapo jina hilo mapepo yote yanalala mbele..ndugu aliyepatwa na shida hii tubu kwa Mungu wa Mbinguni kama kuna agano lolote kwakutokujua ulifanya na yule binti mwingine make sure you break that covenanty
 
Masikini pole zake but pengine hajafanyiwa lolote bana hahahha mie huwa ninaamini sana kwenye machozi ya mtu! Yaani mtu akiumia moyo kwa ajili yako (Ukimwuumiza bila sababu) iko siku utamkumbuka. So far my belief have not been nullified!
 
Dah thats not fair play kabisa....sasa kwa nini uolewe na mtu asokupenda bhana...
Dah yaani kutaabishana ivyo sio freesh...
 
lol... yani nimecheka sana.. plz sweetlady dont kill me with kicheko.. Eti mbo ...ga za majani, i like the writen tafsida lol

Ckeka mpendwa manake kicheko kinaongeza thiku za kuishi.....lol. Nimefurahi kama nimeweza kukuchekesha neggirl
 
Last edited by a moderator:
Jamani tumsaidie kijana mwenzetu kwa ushauri na hapo hapo tujifunze, not to play with women's feelings.

Huyu jamaa aliwagonganisha wanawake wawili, wao hawakujuana kwa muda wa miaka3. Jamaa alipoamua kuoa, akamtosa mmoja. Yule alotoswa alimpenda sana jamaa na aliumia sana jamaa alipooa ila alimwambia kuwa iko siku atajuta kumuacha.

Soon baada ya harusi, jamaa alipoteza uwezo wa kufanya mapenzi na mkewe wa ndoa. Huu ni mwezi wa 4 sasa jogoo hawiki! Jamaa amehangaika sana hospitali, kwa waganga wa kienyeji na hata kwenye maombi lakini wapi, bado tatizo liko pale pale. Mkewe hadi sasa yuko nae bega kwa bega katika kutafuta suluhu ya tatizo ila hajui kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine.

The guy is desparate, hajui la kufanya. Yeye anahisi yule mdada alomtosa ndo kamsababishia hilo tatizo. Aliniomba nimshauri ila nikaona nije kwenu waungwana mnisaidie ushauri wa kumpa.

NOTE:WANAUME, MSICHEZE NA HISIA ZA WANAWAKE!

pia the same to wanawake
 
Anaitaji ushauri wa haraka huyu jamaa ili kunusuru ndoa yake, mwezi wa 4 huu wanatizamana tu na mkewe ndani, looh! Anatamani usiku usiwepo

dah,inamaana mtu akioa usiku ndo wakat wa majamboz eeeenh,nawauliza wanandoa mnisaidie,ili nikioa nisje nikakiuka taratibu za NDOA
 
utapanda ulichovuna, usimtende mwenzio kitu ambacho hutotamani kutendewa wewe. Akimwombe bibie msamaha kwa kumtosa hata kama hahusiki ktk hayo yaliyomkuta.

hiyo ni methal,nahau,msemo,au tamathali ya semi??????
 
Jamani tumsaidie kijana mwenzetu kwa ushauri na hapo hapo tujifunze, not to play with women's feelings.

Huyu jamaa aliwagonganisha wanawake wawili, wao hawakujuana kwa muda wa miaka3. Jamaa alipoamua kuoa, akamtosa mmoja. Yule alotoswa alimpenda sana jamaa na aliumia sana jamaa alipooa ila alimwambia kuwa iko siku atajuta kumuacha.

Soon baada ya harusi, jamaa alipoteza uwezo wa kufanya mapenzi na mkewe wa ndoa. Huu ni mwezi wa 4 sasa jogoo hawiki! Jamaa amehangaika sana hospitali, kwa waganga wa kienyeji na hata kwenye maombi lakini wapi, bado tatizo liko pale pale. Mkewe hadi sasa yuko nae bega kwa bega katika kutafuta suluhu ya tatizo ila hajui kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine.

The guy is desparate, hajui la kufanya. Yeye anahisi yule mdada alomtosa ndo kamsababishia hilo tatizo. Aliniomba nimshauri ila nikaona nije kwenu waungwana mnisaidie ushauri wa kumpa.

NOTE:WANAUME, MSICHEZE NA HISIA ZA WANAWAKE!

Si amkabili tu ili ajuwe ukweli? Asipasuwe jipu kwa mkewe kwanza mpaka ahakikishe kuwa iwapo kweli huyo aliemtosa anahusika. Hatuw zozote zinazomuhusisha aliemtosa zifanyike baada ya kupata uhakika. Inawezekana alietoswa hahusiki na kumtaja ni kujichongea kwa mkewe. Iwapo alietoswa anahusika basi asisite kumpa ukweli mkewe ili wamkabili muhusika.
 
Amechezea wale viumbe wa majini huyo, mbona ss tulijichanganya na tukaamua kutulia sasa hivi mechi za ugenini mwiko lakini bado ngoma inafanya kazi mpaka wife maji anaita mma.
 
Back
Top Bottom