Men at work

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Does it mean kuwa hakuna construction workers wanawake?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    7.5 KB · Views: 89
Nadhani tatizo ni kudumu kwa mfumo dume. Taratibu haya mambo yatakuja kubadilishwa. Hii ni changamoto kwa feminist activists.
 
Serikali zinahubiri kuwa ni mfumo dume na wanaharakati wanaita udhalilishaji ama ukatili wa kijinsia lakini makanisa na misikiti wanahubiri mke kumlea na kumtumikia mume kama mtoto na mumme kumtunza mkewe kama yai..hapo naona vita ni ngumu maana vitabu vingine vinasema mungu aliumba msaidizi wake kutoka ktk ubavu wake wa kushoto sasa leo hawataki
 
Why not People at work?

Men is meant to include all sex is some generalization items. Ndio maana hata wengine wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa hata maneno ya kutofautisha jinsia ya kike bado yanabeba dhana ya uume ndani yake mfano;
Fe-male, Wo-man, he-r etc
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom