Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 6,781
- 12,506
Katika utafiti wangu niliofanya, niligundua kwamba wanawake wengi wanalalamika Sana kwamba wanaume wanawacheat na wanawake wengine.Ina maana katika mahusiano mengi asilimia 75 ya wanawake wapo loyal Sana kwa wanaume zao.
Wanawake mnatakiwa mjue kwamba we're (men) polygamous in Nature.Mungu katuumba hivyo kwahyo punguzeni kulalamika mtakuja kufa bure kwa presha za mapenzi.Mkishajua tu kwamba Duniani hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja Basi hamtokaa msumbuliwe na hivyo vitu vya kuitwa presha za mapenzi.
Mwanaume rijali anatakiwa amiliki wanawake zaidi ya mmoja.Tafiti zenyewe zinaonyesha kwamba idadi ya wanawake Ni kubwa kuliko idadi ya wanaume Duniani kote.Kwahyo mnaposema eti Kila mwanaume akomae tu na mwanamke mmoja Sasa mnataka hawa wanawake waliobakia wamilikiqe na Nani?
Juzi Kati mlisimsikia mfalme wa Swaziland Mswati akiwaamurisha wanaume wote wa nchini kwake kwamba Kila mwanaume aoe wanawake 5 angalau waweze kupunguza idadi kubwa ya Wanawake nchini humo.
Hata tukitumia mifano ya kwenye Biblia utaona kwamba mfalme Suleiman alikuwa na wake zaidi ya 200.
Mfalme Daudi naye alizini na mke wa Uriah.Hii mifano miwili inatosha kudhihirisha kwamba sisi wanaume tuko polygamous ikija kwenye suala nzima la umiliki wa wanawake.
Binafsi Nina wachumba 5 na bado naongeza idadi yao.Basi nyie wanawake acheni kupapatika Bali kubalianeni tu na nature yet kwani tumeumbwa hivyo.