Men are cruel to single women

Uwe mnyenyekevu utaolewa lakini ukibaki na misimamo yako hiyo kila utakayekutana nawewe atakukimbia tu
 
Unakubali nini unakataa nini?! Mnapenda slope, ila ni nature hali halisi na tunaikubali ndio maana tunawaoa etc.
Hahahha mi nakataa hio kwamba tunapenda slope,Naturally ni slope kwa mwanamke wether unapenda au hupendi, pride ya mwanaume akulee mwanamke
 
Wacha tuwe makatili tu. Mkishazalishwa huwa mnajifanya mna manners kweli kweli na mnazitafuta ndoa kwa udi na uvumba, ila wakati bado hamjazaa nyodo zilikuwa hazihesabiki, mtu hata ukisalimiwa kuitikia ni shughuli, jua likishaiacha alasiri mnaanza kuhaha.

Binafsi sina huruma hata kidogo na single mother, tena nikishakujua hivyo, nikikuita ukitaka uje, ukitaka usije, sina muda wa kuhangaika na ndaza mie.
 
Hahahaaaa!!! Monopese ndio fimbo wanayotumia kutuchapia.
Kuna wanaume utawaonea huruma wanavyohangaika, basi tu yetu ndio yanaonekana. Hata 'wake' ni adimu kama walivyo 'waume'
Pia nyie wanawake ni wengi kwa idadi kulinganisha na idadi ya wanaume
 
HIVII MWANAUME HUNA HATA KIANZIO JAMANI UTALAUMU WANAWAKE? MKUU NILIKUWA NATANIA TU SITAKI MWANAUME TAJIRI ILA AT LEAST MWENYE MALENGO NA DIRA .SASA WENZETU NYIE MPO KISEX TU .MIMI SIWEZI KABISA
Misimamo yako na muonekano wako utakujastuka ushaanza kuitwa bibi.Napita tu......
 
Good writer, wanaotaka mke huyu hapa sasa. Anajua kupangilia point zake. Na nahisi ashajifunza kutokana na makosa. Hongera nimependa mwandiko na narration ya points.

The way you pigierd chapuo yourself will certainly work.
 
Yaani akiondoka na aende tu walaaa hauna haja ya kujilaumu sana, mengine hutokea ili anaestahili aje. Walaa siji kuregret na kuliwazia. Yawezekana alikwenda akafanikiwa ndio lkn angekuwa na mimi hakuna rangi ningeacha ona. Watu waache kuwa waoga na kufurahisha watu kwa kung'ang'ania muhogo mchungu.

Kuna mwanaume mmoja rafiki yangu aliniuliza 'umeolewa'? Nikamjibu bado, akaniambia hata usithubutu maisha ya ndoa sio kabisa. Nilimjibu tu, wewe kwakwa yako imebuma it daznt mean na yangu itabuma au zote zimebuma, kwani hakuna wanaofurahia ndoa zao?

The right one will come and i'll get married, am not praying for anything bad to happen, and my Lord will never dissapoint me.

Dota hakuna kitu kinamnyima mwanaume kujiamini kama kutokuwa na pesa, wanajitutumua tu ila ukweli wanaujua, ndio maana utaona comment zao zote zina mrengo huo, usione huwa nahubiri pesa wananichukia bure ila nawatafutia confidence.


Kumbe ndio siri ya mahubiri yako!,...smart You.
Nimejifunza kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom