Memory card not formatted, format now!

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Msaada na mm jmn
cm yangu (nokia 3120classic) niikingia kwenye Galley kufungua memory card inaniambia 'memory card not formatted' format now
nifanyeje na mm ctak kuiformat
 
Kama ulikuwa unaitumia zamani na imeanza kuleta hilo tatizo gafla weka kwenye pc then right click memory card go to tools then click check now, weka tick hizo sehemu zote mbili and click ok
 
Njia nyingine. Weka memory card kwenye pc kisha ukopi files zote uweke kwenye pc kisha rudisha kwenye hiyo nokia yako uFormat baada ya hapo rudisha tena kwenye pc kisha chukua zile files ulizokopi kila file uweke kwenye folder ambalo liko related with that file. Important, Usirudishe zile folder ulizoCopy kama zilivyo bali tumia zile ambazo simu imetengeneza wakati wa kuFormat. OK?
 
Na mimi ninayo 4gb imegoma!!kuifomati sijui niifanyeje nasubiri wajanjawajanja watupe mautaalamu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom