Memorial: Pius Msekwa and Balozi Liundi

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
758
1,232
Mhe. Pius Msekwa na balozi Liundi enzi hizo
20190906_145037.jpg
 
Halafu Msekwa alikuja kuachana na huyo mkewe wa ujanani akaja kumuoa Anna Abdallah ambaye nae alitoka kwenye ndoa yake ya awali/mwanzo
 
Kuna Liundi wawili
Balozi Christopher Liundi
na George Liundi aliyewahi kuwa msajili wa vyama vya siasa baba Taji.
Msiwachanganye.
 
Back
Top Bottom