monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,479
- 13,011
Nawasalimu kwa jina la katiba mpya#Mbowe siyo gaidi.
Huu ni uzi wa memes kali.Screenshot memes kali then uzitupie kwenye uzi huu ili tufurahi pamoja lkn,tuendelee kumuombea Mh.Mbowe kwa kuwa yupo kwenye mikono ya watu wabaya.Pia,tuchukue tahadhar dhidi ya Corvid-19
Twende kazi mimi naanza na hizi!