babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,182
Wewe jifanye kauzu wa mwanzaJina la embe hilo
Wewe jifanye kauzu wa mwanzaJina la embe hilo
Linasura mbaya halafu linakambakamba..🤣Wewe jifanye kauzu wa mwanza
Mbingun utapasikia tuLinasura mbaya halafu linakambakamba..
Napajua basi..😅Mbingun utapasikia tu
Utapajuaje mtu mwenyewe wewe?Napajua basi..
Hehe! Bora Mimi wewe mdogo wake na shetwani hata usiseme..Utapajuaje mtu mwenyewe wewe?
Si ndio hapo sasaHehe! Bora Mimi wewe mdogo wake na shetwani hata usiseme..
Hayo majitu ya 254 ni manyang'au si mijanaume si mijanamkeTuwashukuru wanawake wetu wa kibongo hata kama wanafanya vituko lakini wanawake wa pande hiyo hapana aisee.
Halafu sijui kwann wanapenda kuzionea?pamoja na kujificha huko uchochoroni kabisa ili zisibughudhiwe lakini wapiii..kama si kisu basi teke or zivutwe weee...Korodani zimekuwa victim, wakati zenyewe haziingii kokote... Zipo tu hapo kwa nje..
Sorry BabyFancy, unamsifia huyo mhalifu >>???, imagine amefanyiwa hivyo Kaka yako !!!Mama shujaa huyo
Duuh!Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata siku moja wakati wanapofanya tendo la ndoa.
Tukio hilo limetokea wakiwa nyumbani kwao Igembe, Chifu wa eneo hilo la Ntunene aitwaye Edward Mutalii amesema alipata taarifa na alipofika eneo la tukio alikuta korodani ya Mwanaume huyo ikiwa chini baada ya kuvutwa sana mfuko wa uzazi na Mkewe na kuikata korodani moja.
Polisi wamemkamata Mwanamke huyo na kwa sasa anashikiliwa akisubiri kufikishwa Mahakamani lakini Mwanamke huyo anasisitiza amefanya hivyo kwakuwa kamwe Mumewe hajawahi kumridhisha wakati wa kufanya tendo la ndoa.
View attachment 2018666