Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Mimi situmii TECNO
f25763d6d006e78f12d7da7d2d8c0a29.jpg


Sent from my SAMSUNG-SM-G530AZ using JamiiForums mobile app
Grand prime hio.
 
Werevaa ndio mpango mzima

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada acha kuzingua bana...mi natumia simu gani kama we mjanja????

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Tecno C-8, kubwa kuliko H6 yangu.

Anyway, kama wewe unafanana na Masogange kweli, kama kwenye dp yako. Nitakupa iPhone 6s plus yangu bureeeee. Inatoa pics kali mpaka bacteria wanaonekana.

-callmeGhost
 
Kumbe aina ya simu inauhusiano na fikra na hoja za mtu

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
 
Kuna simu za tecno zina bei kubwa kuliko hizo zenye brand kubwa kama Samsung, sasa sijui kwa nini mtu unajiona una wadhifa sanaaa kisa tu hutumii tecno, lakini mmewahi jiuliza tecno ndio brand ya pili Afrika kwa mauzo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app



Simu yenye uwezo mkubwa na ya ghali tecno ni laki 6 na haitambuliki kwenye soko la dunia while SAMSUNG kuna mpaka a million
 
Kwa Tanzania Soko linaenda hiviii,
Watu wengi wanapenda kutumia simu kubwa YES!! sababu imani yao ni mtu akimiliki simu kubwa ni ya gharama na ina mvuto, ataonekana nayeye ni mtu
Lakini, katika Ubora wa simu ndio utata maana simu zenye quality nzuri na zinazoaminika kimataifa ni gharama
Tecno waligundua watanzania wanapenda mambo makubwa kwa gharama ndogo kitu ambacho ni ndoto, hakuna kampuni inayoweza kutumia vifaa vyenye uhakika kutengeneza bidhaa na kupata hasara
Tecno wakaja na simu kubwa ili mradi zenye ubora hafifu kwa bei rahisi sana
Hakuna simu zenye quality mbovu kama Tecno,
Dunia inajua,Wachina wanajua, hata watumiaji wanajua
Tusidanganyane ati kuna mtu anatumia tecno kwa kupenda ni umasikini tu hivyo hakuna namna
Rubii so far, I am you JF number one fan. Yani umepasua mule mule.

Acha ukweli usemwe tu. Mwenye H6 yangu nilinunua kabla ya iPhone. Maisha yalivyonyooka.


-callmeGhost
 
Namimi imetokea signature au...

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Tecno ilikuwa smartphone yangu ya kwanza kununua

Salute kwa watengenezaji wa Tecno

Kwa sasa natumia Kibamia Tz

Sent from my KIBAMIA TZ Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Rubii so far, I am you JF number one fan. Yani umepasua mule mule.

Acha ukweli usemwe tu. Mwenye H6 yangu nilinunua kabla ya iPhone. Maisha yalivyonyooka.


-callmeGhost


Ah! Ukweli lazima usemwe bhana!
Binafsi mwanaume anaetumia tecno huwa namuona pompompo tu
 
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
Point yako nini sasa....

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom