Members wengi humu ni madomo zege

Na mkikanusha nawaita members wa kike wawataje ME wote waliowafata PM na swaga za PANDE ZIPI au VIPI MVUA HUKO
Mimi kama katibu ningependa kukujulisha julisha kuwa mitongozo yetu ni salama, yenye ustadi, yenye uhakika wa mafanikio na yenye kufuata hatua zote za ubora wa utongozaji kama ilivyoainishwa na viwango vya ubora duniani.
 
watakuja akina #khantwe na wenzake kuthibitisha
 
Tunasikitika kukupoteza mwanachama mwenzetu ww ulitegemewa kuwa nguzo imara ndani ya chama.

Wanachama wachache kama nyie pasipo kufuata utaratibu mmeleta sifa mbaya kwa CHAZETA
 
Sinaga domo zege na siangalii sura popote na zama nasaka nyama
 
Kwenda kutongoza mwanamke mmekutana jf hamjuani sura wala majina na wapo wanaokubaligi kabisa au? Au labda mnaowafuata kuwatongoza mnakuwa tayari mmeshawajua?
Mnajuana baada kupeana promise izee sana
 
Yaani unakuwa umemjua humu humu jf kwenye posts unamfuata pm unamuuliza maswali na anayajibu yote vizuri halafu unamtongoza kisha unamuomba muonane naye anakubali au iko tofauti na hivyo ninavyowaza mimi?
 
Back
Top Bottom