Members wengi humu ni madomo zege

Nimejikuta nacheka tu.
Haya madomo zege wale ambao hatuna maneno bali vitendo tu naomba tupange foleni upande huu.
 
Chama Cha Madomo Zege Tanzania (CHAZETA) kinawaasa wanachama kuwa watulivu kusubiri kauli ya chama juu ya upotoshaji huu.

Ahsanteni

Katibu Mkuu Taifa
CHAZETA
Na mkikanusha nawaita members wa kike wawataje ME wote waliowafata PM na swaga za PANDE ZIPI au VIPI MVUA HUKO
 
Niwazi members wengi kwenye mitandao ya kijamii hujifanya mashujaa wanapokua kwenye keyboard wanatyp pamoja na kwamba hawaonekani lakini bado zege zito lilojaa mdomoni huwafanya kushindwa kuwashawishi mabint na kuwateka kihisia na mwisho huishia kuumia kimyakimya na kuuliza maswali yaleyale ya kidomo zege eti!!:-

(1) Pande zipi

(2) Unaitwa nani

(3) Vipi mvua huko

(4) Karibu kwetu

(5) Naomba namba ya simu

(6) Mmeo hajambo

Kama umempenda mtoto mwambie ukweli hauwezi kupigwa makofi atakubali au kukukatalia........Amuka acha uboya View attachment 1110631
Ni dhahiri huendi mbinguni!
 
Back
Top Bottom