member wa rock city mwanza mwanza nipokeeni


LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,014
Likes
5,697
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,014 5,697 280
member wa jf mliopo mwanza mm nimgeni wenu jamani sijawahi fika mwanza ndio mara ya kwanza nakuja rock city.
natokea dar es salaam natarajia kuwa huko kwa siku zisizopungua 3 so ningefurahi sana kama nitaweza onana na member wenyeji wa huko wa ki jf zaidi.
sina mwenyeji huko kuna dili nimeitiwa huko one time.
kama utataka kuwa mwenyeji wangu haina shida mm nipo tayari kuwa mgeni wenu popote pale na kwa yeyote yule.
sitochagua jinsia dini au kabila.
mm natarajia kufikia NYEGEZI sasa sijajua ni wapi hapo.
kwa atakaye penda/taka kuonana na mm unaweza wasiliana nami kwa namba hii

0717 228 064.

POPOTE KAMBI
 

Forum statistics

Threads 1,252,277
Members 482,061
Posts 29,802,493