Member wa Jamiiforums baadilisheni Profile picha na iwekwe hii! #FreeMaxenceMelo

Kwangu Haifunguki Pia
1481853634836.jpg
 
We jamaa jana ulikua unasema Melo atoe majina, aliyekubadilisha mawazo over night abarikiwe.
Hapana.vipi atakuwa na furaha jamii forums.wakati mwenye mtandao wake yuko rumande?tuungane pamoja#freemaxencemelo
 
Nielekeze namna ya kufanya

Mkuu kwanza bonyeza hiyo picha.Ukisha bonyeza chini ya picha unaona kimshale kwenye box bonyeza kimshale.Halafu utaona sehemu inasema "SAVE IMAGE " bonyeza hapo
Kwa hiyo picha imeseviwa kwenye albamu yako ya picha.
Sasa nenda kwenye account yako ya JF.
Kwenye avatar yako bonyeza.
Halafu bonyeza kwenye "Library " utaiona hiyo picha ya max kwenye album yako bonyeza
Mara avatar yako inabadilika.
 
[QUOTE="mgogoone, post: 18891292, member: 345944"]Mkuu kwanza bonyeza hiyo picha.Ukisha bonyeza chini ya picha unaona kimshale kwenye box bonyeza kimshale.Halafu utaona sehemu inasema "SAVE IMAGE " bonyeza hapo

Mara avatar yako inabadilika.[/QUOTE]
Samahani, penye red, hiyo picha ni ipi? Nimeclick picha ya melo it does not become active
 
Samahani, penye red, hiyo picha ni ipi? Nimeclick picha ya melo it does not become active[/QUOTE]

Mkuu ukibonyeza picha ya Melo screen inakuwa nyeusi.Kwa hivyo utaona picha Na box lenye mshale.
 
Samahani, penye red, hiyo picha ni ipi? Nimeclick picha ya melo it does not become active

Mkuu ukibonyeza picha ya Melo screen inakuwa nyeusi.Kwa hivyo utaona picha Na box lenye mshale.[/QUOTE]
Labda sijaelewa sawasawa, picha ya melo iko wapi? Nikibonyeza iliyochini ya avatar yako (anapoonekana yupo kwenye computer) it does not respond- screen haiwi nyeusi. What I am missing ni kujua hiyo picha ya melo ni ipi.
Nikibonyeza kwenye avatar yako, yes the screen comes black, not side box is seen with an arrow
 
Mkuu ukibonyeza picha ya Melo screen inakuwa nyeusi.Kwa hivyo utaona picha Na box lenye mshale.
Labda sijaelewa sawasawa, picha ya melo iko wapi? Nikibonyeza iliyochini ya avatar yako (anapoonekana yupo kwenye computer) it does not respond- screen haiwi nyeusi. What I am missing ni kujua hiyo picha ya melo ni ipi.
Nikibonyeza kwenye avatar yako, yes the screen comes black, not side box is seen with an arrow[/QUOTE]

Katika Hii mada ziko picha mbili za melo chagua moja kati ya hizo mbili Halafu bonyeza mara mbili tuanzie hapo
 
Labda sijaelewa sawasawa, picha ya melo iko wapi? Nikibonyeza iliyochini ya avatar yako (anapoonekana yupo kwenye computer) it does not respond- screen haiwi nyeusi. What I am missing ni kujua hiyo picha ya melo ni ipi.
Nikibonyeza kwenye avatar yako, yes the screen comes black, not side box is seen with an arrow

Katika Hii mada ziko picha mbili za melo chagua moja kati ya hizo mbili Halafu bonyeza mara mbili tuanzie hapo[/QUOTE]
Haifunguki, na wengi wamesema haifunguki, tazama post za watu mada hii, zote hazifunguki (kuwa active)
 
Katika Hii mada ziko picha mbili za melo chagua moja kati ya hizo mbili Halafu bonyeza mara mbili tuanzie hapo
Haifunguki, na wengi wamesema haifunguki, tazama post za watu mada hii, zote hazifunguki (kuwa active)[/QUOTE]

Duh pole jaribu hii
f3efeb94f6feef2850427eb0bb66be15.jpg
f48346b332b960dadc3cc60a1dc48389.jpg
 
Naona hata aibu, bado zote mbili hazifunguki. Just try yourself.

I don't have any problem.There are all working.
Try later Retired[/QUOTE]
Nimefanikiwa but with alternative route! Nimeclick avatar yako , Nimeisave kwenye desktop. Nikaenda kwenye avatar yangu, ikawa active, then nika upload picha. Thanks!
 
I don't have any problem.There are all working.
Try later Retired
Nimefanikiwa but with alternative route! Nimeclick avatar yako , Nimeisave kwenye desktop. Nikaenda kwenye avatar yangu, ikawa active, then nika upload picha. Thanks![/QUOTE]

Powa Mkuu
 
Back
Top Bottom