Member of Parliament demand audit findings on four companies

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,820
287,886
Member of Parliament demand audit findings on four companies

By Damas Kanyabwoya, Dodoma
THE CITIZEN

MPs yesterday asked the Government to explain why audit reports on three controversial companies did not appear in the Controller and Auditor General's report tabled in Parliament recently.

The companies are Alex Stewart Assayers (ASA), Meremeta and Mwananchi Gold.

The Leader of the Official Opposition in Parliament, Mr Hamad Rashid (Wawi-CUF), demanded that the Government explains to why it paid ASA Sh60bn and yet the information did not appear in the CAG's audit report.

He was debating the Public Accounts Committee's report for the year 2006/2007 tabled by committee chairman John Cheyo (Bariadi East-UDP).

How come after spending billions of shillings of taxpayers money, the Government is still very reluctant to let the same taxpayers know the truth?" he asked.

Mr Hamad also demanded the tabling of reports on Meremeta and Mwananchi Gold companies.

�The Government even admitted here in Parliament that it co-owned Meremeta Gold Company. Why then can't audit reports on the company be released?" he posed.

But the CAG, Mr Ludovick Utouh, said the two companies did not feature in his report because he was not furnished with the relevant documents.

What shall I audit if there are no documents? he asked during a telephone interview with The Citizen.

We audited a total of 158 parastatals, but neither Meremeta, or Tangold, nor Mwananchi Gold were not there.

Auditing is done based on documents submitted by the relevant authoritiesn I wasn't given any document relating to these companies and that is why the 2006/7 audit didn't cover them, he said.

Mr Hamad also wanted to know why an audit of Tanzania Government Diamond Sorting (Tansort) was not contained in the CAG's report. Also unanswered were queries raised by PAC in 2004 on Tansort.

In 2004, PAC conducted an investigation that revealed shocking details on Tansort. We demanded an explanation from the Government, but no reply has been forthcoming, Mr Hamad told the Parliament.

The little-known Tansort, which is based in London, was established in 1966. It was meant to assess the price of diamonds that are exported to Great Britain from Mwadui Diamond Mine in Shinyanga Region.

It was also tasked with collecting the government's 5 per cent royalty from Mwadui, which is 75 per cent owned by DeBeers Company. The Government owns the remaining 25 per cent and DeBeers pays Tansort $4.5 per carat.

Between 1994 and 2000, the firm paid $4.05 million to Tansort for the sorting 901,300 carats of diamond.

Production (in carats) for seven years was: 1999 (20,800), 1995 (35,000), 1996 (121,500), 1997 (121,000), 1998 (87,500), 1999 (196,5000) and 2000 (319,000).

But according to government officials, no money paid by DeBeers to Tansort has been remitted to the Treasury.

In 2004, PAC, then chaired by Mr Rashid, was tasked with investigating Tansort's activities and methods of payment of royalties from diamond sales.

The investigation revealing gross misappropriation of funds was tabled in Parliament, but the Government has so far failed to give a detailed explanation on the firm�s activities and why it does not remit money to the Treasury.

Hansard records indicate that on July 17, 2006, when tabling the budget for the ministry of Energy and Minerals, the then minister, Dr Ibrahim Msabaha, said Tansort was to be allocated with Sh1.2 billion for the training of its officials.

The sum was also meant to meet office rent expenses for the company, which, according to the minister, was to be moved to Tanzania.

Debating the PAC report yesterday, MP Estherina Kilasi (Mbarali-CCM) said it was disappointing that after the 10-member PAC probe committee on Tansort spent millions of shillings on investigations, the Government did nothing on the report.

Parliamentary committees should be respected and from now on we will not approve ministries budgets unless the minister concerned explains questionable expenditures pointed out by the CAG and committee reports, she said.

For instance, she said, the former ministry of Higher Education spent Sh16 billion in 2005/06 while university students were complaining of bureaucracy in getting loans.

Debating the Electricity Bill of 2007 on Tuesday before it was passed, Mr John Lwanji (Manyoni West-CCM) said the fact that Sh2 billion paid as capacity charge to independent power producing companies per month seemed to end up in corrupt officials and politicians pockets showed that corruption in the country had reached alarming levels.

We still have some clean people, though, like Vice-President Mohammed Shein, Prime Minster Mizengo Pinda. Mzee Rashid Kawawa was also an honest person when he was serving this country, he said.
 
Pyeeeeeeee ...kipenga kimelia, madudu yote yaliyofanywa tunayaomba yakusanyike kati.
wananchi watachambua wenyewe.
Bravo wabunge wote mnaolilia haki zetu.
to hell na wabunge wanaokwenda kulala tu bungeni.
to hell na mafisadi
 
pamoja na kelele zote hizi,kikwete na kundi lake wamelala usingizi.na sasa ndio mbaya zaidi maana wanapojiuzulu wanapata pa kujipumzikia na kula maraha kama kawa.
 
Orodha ya MAFISADI WALIOKUBUHU
1. Zakhia Meghji:-
(A) aligawa holela vitalu vya uwindaji akaipotezea Tanzania Tsh 3,304, 903,050/- akiwa waziri wa Mali Asili na Utalii.Ovyo zaidi hata wanafamilia wake walijiingiza katika ufisadi huo kwa kumiliki baadhi ya vitalu kibadhilifu
(B) Alipotosha ripoti ya mkaguzi wa BOT mwaka 2005/2006
(C) Kuchonga bajeti angamizi ya mwaka 2007/2008
(D) Kuidhinisha matumizi mabovu zaidi ya millioni 143 kwa mawaziri mafisadi kwenda kuifagilia bajeti ya kihuni ya 2007/2008 mikoani. Mafisadi hao hawakusita kukomba millioni 143 Tsh kwenda kuzomewa mikoani.
(E) Kufumbia macho shughuli fisadi na za kitaprli za BOT ambayo iliipatia Tangold ltd Kampuni feki kiasi zaidi ya Sh 37.7 billioni ambayo haikuwa na usajiri wowote, akidanganya kuwa ni matumizi nyeti ya serikali kumbe ni ulaji wake na vigogo wenzake
(F) Kubarikli uporaji wa fedha BOT tsh 18,465,755,495.39/- zilizopelekwa kwenye makampuni mbalimbali feki kuanzia decemba 2005 hadi 2007.

2. Benjamini Mkapa:
(A) Kufanya biashara akiwa ikulu ambacho ni kinyume kabisa na katiba ya nchi yetu
(B) Kuanzisha makampuni mufilisi akiwa ikulu ambayo yamelipora taifa zaidi ya Tsh 908,798,045,050/- akiwa ikulu hadi leo kwa makampuni ya kihuni kama ANBEN ltd, Fosnik ltd na Tanpower
(C) Wizi wa zaidi ya Tsh Trillioni 8,86 BOT kwenye kampeini za uraisi na ubunge zilizotuwekea rais mufilisi. Mkapa anatakiwa asimame kuelekea kizimbani na kujibu wizi huo ulioifilisi nchi ikawa kama dampo la umasikini
(D) Uporaji fedha za taia hili kupitia ununuzi wa rada feki Tsh 50 billioni ambayo aliishupalia kama ruba
(E) Uuzwaji angamizi wa mashirika ya umma na viwanda kwa hila zote, kwani hata yale yaliyokuwa yakijiendesha kwa faida kubwa yaliuzwa kwa bei ya tupatupa (throw away prices)
(F) Kushiriki mikataba mibovu ya madini alilipotezea taifa zaidi ya Tsh 959,588,789,005/- kwa kipindi chote Hivyo huyu ni fisadi lililokubuhu.


3. Edward Lowassa
(A) Anahusika moja kwa moja na ufisadi kupitia kampuni haramu ya RICHMOND na shoga wake DOWANS ambao wamelipora taifa zaidi y ash billioni 273/- kwa umeme hewa
(B) Upotevu wa sh millioni 12.5 /- kupitia kampuni feki ya Water City ambayo aliibariki licha ya kuambiwa kuwa ilikuwa haifai, lakini E.L. aliingilia kama alimasi
(C) Kuliingiza taifa kwenye mkataba mufilisi ,fisadi na angamizi wa Buzwagi . E.L. alikuwa pamoja na fisadi kuu Karamagi kusaini mkataba angamizi na filisi hotelini uingereza. Hivyo analipotezea taifa zaidi ya billioni 3,895/- kila mwaka kwa muda wa miaka 25 kama ulivyo mkataba
(D) Kujiingiza kwenye uporaji kwa kutumia ujenzi wa mahekalu ya hoteli ambayo hayalingani na kipato chake, akibisha data hallisi tutazianika hadharani.
4. David Ballali
(A) Amelipotezea taifa kifisadi zaidi ya sh 693,795,398,805.39/- kupitia BOT kwa malipo hewa kwa makampuni hewa ya kitapeli ya EPA, Jeetu P.ltd, Alex Stewart, Tangold ltd, Mwananchi gold co.ltd, Green F. Co.ltd na mengine mengi,
(B)Kulipotezea taifa matrillioni ya fedha kwa kukwamisha ukaguzi halisi wa BOT
(C) Trillioni 5.3 alizochota kwa ajiri ya kampeini haramu za urais za mwaka 2005 zilizozaa rais mlea mafisadi. The breeder of corrupt leaders at all level
5. Basil Pesambili Mramba
(A)Alibarikina kuhusika na uporaji wa sh 17,697,556,594.85/- kutoka BOT akiwa waziri wa fedha kwenda kwa makampuni mbalimbali feki na watu binafsi hasa magabacholi wa kihindi na kiarabu
(B) ununuzi wa ndegefeki ya rais, rada feki ya rais. Alitangaza Watanzania hata wakila majani ndege feki ya rais lazima ingenunuliwa. Je, mr.. Mrmba, uliona Watanzania ni mbuzi hata wale majani?
(C) Uuzaji feki wa Air Tanzania kwa makaburu. Asingeiingilia kikwete Hapa Mrambaji angetajirika ukomo. (D) Ubinafisaji holela na kwa kiburi na uhujumu wa rasilimali za tiafa kwa masilahi yake akiwa waziri wa fedha , walishirikiana na fisadi ambaye ni rafiki wake wa damu -Abdallah Kigoda
6. Andrew Chenge
(A) Kalipotezea taifa zaidi ya sh 17,857,616,400/- zilizoporwa na Tangold ltd kutoka BOT . Chenge hili hawezi kukwepa kwani alikuwa mkurugenzi wa Tangold ltd at the same time akiwa mkurugenzi wa BOT
(B) Kulipotezea taifa mabillioni ya fedha kwa kuridhia mikataba mibovu/feki/angamizi ya madini akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Takribani zilipotea zaidi y ash 2,890,687,084,573/- kwa kipindi chake chote. Kama anabisha tutazitoa kwa unyambulisho wake.
(C) Zaidi ya billioni 800 zianpotea kwa mwaka kwa mikataba mibovu ya ujenzi wa barabara ama kwa kuweka makampuni feki ambayo huishia kuchota fedha na kutoroaka nchini na vitita vya fedha. Ana kurugenzi wezi wizarani kwake lakini amefumbia macho kwa manufaa yake binafisi. Chenge unasubiri nini kungCcā,?ā"catuka?
7. Gray Mgonja
(A) Alibariki na kuhisika na uporaji wa sh 17,857,616,400/- BOT kwenda kampuni yao ya tangold ltd akiwa mkurugenzi wa BOT pia hapo hapo akiwa mkurugenzi wa Tangold ltd kampuni ambyo hikuwa na usajili.
(B) Kunyamazia ufisadi wa uporaji wa trillioni za fedha BOT kenda kwenye makampuni hewa akiwa mkurugenzi BOT
8. Peter Msolla
(A) Uporaji wa sh billioni 5 zilizokuwa zimetolewa na EUROPEAN OVERSEAS AGENTS miaka ya 90 akiwa makamu mkuu wa SUA. Fedha hiyo ilikuwa imetolewa kukiendeleza chuo(SUA) kitaaluma, miundo mbinu kama barabara za ndani , tafiti mbalimbali na kuwa dila ya maendeleo ya kanda ya mashariki mwa Tanzania (Morogoro, Pwani, Tanga, Dar-es salaam). Cha ajabu fedha hiyo iliishia kwenye midomo ya mamba mafisadi (Prof Msolla, Prof Ishengoma, Mr A.. Magoma (Mhasibu wa kufoji ), keshia Prof Mgongo na maswahiba wao.. Planner mkuu wa wizi huo alikuwa Magoma wakisaidiana na Msolla. Wakaamua kununua magari ya kifahali na kujenga majumba ya kifahari yakiwapo magesti house kwa siri.
(B)Uporaji wa fedha za DANIDA millioni 490 zilizokuwa zimetolewa kwa ajili ya mradi wa OTAITISI (OTITIS) .Fedha hiyo iligawanywa hapo vet SUA na kunguru mafisadi wachache. Msola akachukua 80% ya fedha hiyo na kujenga majumba makubwa ya kifahali . Ngombe wa Mradi huo wakaishia kulala kwenye matope yafikayo kwenye kimo cha tumbo lao wakiwa wamesimama.. Wafadhili walikasirika kupita upeo, wakajitoa. Ukweli huu hauhitaji hata kupeleleza pale VET-SUA.
(C) Hujuma ya fedha ya punguzo la wafanyakazi SUA Tsh 2,245,045,000/- ilyotolewa na benki ya dunia 30/6/1996. Ilipangwa kwamba mtu mwenye mshahara mdogo kabisa apewe Tsh millioni 8. Jambo la kushangaza ni kwamba kila mtu aliyepunguzwa kazi alipewa asilimia kumi tu (10%) ya malipo yake. Hivyo mwenye mshahara mdogo alipewa sh 300,000/- tu. Aliyekuwa anatakiwa kulipwa millioni 20/- alipewa millioni tatu tu. Yeye Msolla na mafisadi wenzie (A.Magoma, Prof Luoga akiwa VC-SUA, Prof Mgongo, keshia na maswahiba wao waligawana 90% ya fedha yote iliyotolewa na benki ya dunia... Mafisadi hawa wakawa wanaishi kama wapo peponi. Wakanunua magari ya kifahali na kujenga majumba ya KUFURU yakiwamo magesti house bubu (kwa siri) na kununua mashamba kila kona Mkoani Morogoro.
(D) Wizi wa millioni 442 SUA kuamkia tarehe 22/4/2006.Yaani, Kati ya shs 442, shs millioni 400/- zilikuwa peti keshi zilizokusanywa kwa miaka miwili . Hivyo Msolla, Keshia, Prof Luoga na Magoma waliziiba zile millioni 400/- mchana kweupe tarehe 21/4/2006 kutoka kwenye sefu, baadaye wakaingiza sh millioni 42/- za malipo ya wafanya kazi SUA, ndipo kesho yake tarehe 22/4/2006 wakatangaza kuwa sh millioni 42/- za malipo ya wafanyakazi SUA ziliibiwa. Kwa uhakika zilizohamishwa kiporaji zilikuwa sh millioni 442(millioni 42 zikiwa malipo ya wafanyakazi SUA na millioni 400 zikiwa peti keshi ) . Sababu ya uporaji huo wa kifisadi ni: (i) kujiandaa kwa kustaafu kwa prof. Luoga, Mr Magoma na Msolla (ii) Kutokuwa na imani na Kikwete kwani SUA walitegemea Sumaye ndiye angekuwa rais ambaye ni fisadi mwenzao. Hata hivyo hawakujua kuwa hata Kikwete ni mama na mlezi wa mafisadi (iii) Kupata fedha lukuki za kufanyia kampeni za ubunge kwa Msolla na hatimaye uwaziri. Hivyo kesi hiyo aliisimamia Prof Monera kwa ahadi kwamba kama angefanikiwa kuivunja kesi hiyo angekuwa VC. Monera alifanikiwa kuizima kesi hiyo, Prof Luoga na Msolla wakampendekeza kwa rais awe VC ili siri hii isifichuke. Kikwete akaingia kwa jeuri yake kichwakichwa akaweka fisadi pandikizi kuwa VC- la SUA ambalo linakomba fedha ya SUA na ya wafadhili likishirikiana na Mufilisi mwenzie Prof Msolla kiasi kwamba, fedha ya wafadhili inayopitia Wizarani (Sayansi na Elimu ya juu) kwenda SUA igawanwe na kukombwa vizuri.
9. Joseph Mungai :(A) Aliingiza silabasi feki kuanzia chekechea hadi elimu ya sekondari kwa Watanzania wa kawaida huku watoto wao wanasoma nje ya nchi.Watoto hapa nchini hawakujua walichokuwa wanasoma, si jogg ama mchemsho. Akaua elimu kupindukia. Alifanya hivyo ili fedha nyingi zibaki wizarani ili azitumie na mafisadi wenzie kwa masilahi binafsi. Zaidi ya billioni 300 zilikuwa zinaliwa wizarani kwa ufisadi huu. (B) Alikula takribani sh millioni 8/- za bima na likizo za waalimu na mapunjo mbalimbali ya waalimu yakiwamo ya mishahara ya walimu wa shule za msingi na sekondari.Waalimu wakapiga kelele kudai haki zao wakaonekana kutimiza usemi kwamba KELELE ZA MLANGO HAZIMKOSESHI USINGIZI MWENYE NYUMBA. (C) Kupora fedha inayobaki wizarani mwisho mwa mwaka. Kapuya alichagua baadhi ya maofisa wa elimu wa mikoa/wilaya na mahedimasta wa shule za sekondari ambako alikuwa akituma fedha mwishoni mwa mwaka (mwezi wa 5) na baadaye kutuma wahasibu mafisadi kuifuata fedha hiyo. Alikuwa akipora kati ya sh billioni 3-4 kwa mtindo huo kila mwaka alitafuna na maswahiba wake

10. Juma Ngasongwa

(A) Kalipotezea taifa zaidi ya sh Billioni 9,845/- kwa kipindi akiwa waziri wa Mali Asili na Utalii kwa kupewa pipi kidogo na kuachia uwindaji haramu na angamizi kwa rasilimali na uchumi wa nchi. Ufisadi huu ulimfanya afukuzwe uwaziri wakati wa MZEE RUKSA kwani mzee ruksa alikuwa makini. Hakuwa kama Kikwete ambaye amefunga ndoa na mafisadi kama Kapuya, Ngasongwa, Meghji, Ballali, Msolla, Diallo, Benno Ndullu nk.
(B) Kuchochea vurugu SUA... Yeye alipoona kuwa wanafunzi wa SUA wamemkataa kwa kuwa alikuwa haeleweki anachofundisha , si DS ama DESKI CHAFU, alianza vurugu zilizomfanya afukuzwe kazi SUA katika miaka ya 90. akakimbilia siasa. Vilevile mzee ruksa akamfukuza kazi Mali asili na utalii katika miaka ya 90. Bwege Mkapa akamrudisha kuhujumu, pia Kikwete akameza matapishi hayo hayo.
11. Stephan Wasira
Mamillioni ya fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kupunguza makali ya mbolea ameyakomba.. Yaani, fedha ya sabsidi ya mbolea zaidi ya sh billioni 12,5 ameifagia na kufanya bei ya mbolea kuanza kupaa juu kama kunguru kila kukicha katika mikoa ya nyanda za juu kusini The big four (Mbeya, Iringa, Ruvuma na Rukwa). Kilimo katika mikoa hiyo hutegemea mbolea asilimia mia moja(100%). Sasa mbolea haishikiki kwa wakulima wengi (90%) kwani ni kati ya sh 40,000/-sh 55,000/- kwenye mfuko wa kilo 50. Kwa ekari moja inahitajika mifuko 4-5 kutegemea na hali ya udongo husika. Mbaya zaidi , si Kikwete wala Wasira anayetembelea mikoa ya Mbeya, Iringa ama Rukwa tangu wawahadae wananchi kuwaletea maisha mazuri. Huu ni utapeli wa unaotakiwa ulaaniwe na kila mpenda haki. Kila leo utamwona Kikwete akitembelea KWA WASUKUMA (MWANZA NA SHINYANGA), BUKOBA NA MUSOMA, PWANI NA MOROGORO MAANA AMEYAONA MAJITU HAYO ZUMBUKUKU.
11. Nazir Karamagi
(A) Kufanya ufisadi wa kusaini mikataba angamizi ya madini kama ya Buzwagi nje ya nchi hotelini!!!!!!!!!!!! Uliolikosesha taifa sh 9,239,389,394.25/- kwa kipindi chote
(B) Kuligharimu taifa zaidi ya billioni 173 kutokana na uroho wa kujitumbukiza kwenye sakata la kampuni tapeli ya RICHMOND na binti yake DOWANS
(C) Kunyamazia kupanda kwa umeme kwa walipa kodi maskini ili kufidia gharama angamizi za TANESCO zinazotokana na mafisadi vigogo kutolipa gharama za umeme.
12. Ibrahim Msabaha
(A) Kulipotezea taifa zaidi ya sh billioni 174 kutokana na kufunga ndoa na kampuni mufilisi , feki na tapeli ya RICHMOND . Anatakiwa akamatwe atiwe ndani na alipe deni hilo .
13. Benno Ndullu
(A) Kabariki ufisadi na uharamia wa sh 693,795,398,800/- zilizohamishwa kijambazi na kaka zake (Ballali, Mramba, Zakhia M) akiwa naibu gavana wa BOT. Hili halikwepi. Tunajua amewekwa pale na Kikwete ili kuficha ushahidi wa mafisadi wenzie wakiwemo watoto wa vigogo. Hapa tayari anaingia kwenye kundi la mafisadi.
(B) Kutomshauri Kikwete avunje bodi inayoshughulikia kutafuta kiini cha ufisadi BOT, kwani bodi hiyo imejaa mafisadi kama G. Mgonja, Zakhia Meghji nk Hivyo hakuna chochote kitakachofanyika zaidi ya kwenda kuficha ushahidi.
14. Edward Hosea
(A): Amekomba zaidi ya billioni 65 kwa kupokea rushwa nene na kutoa taarifa feki kwenye uchunguzi wa RICHMOND , sakata la Buzwagi, mikataba mibovu ya madini, sakata na hujuma za wahindi kupanga kwenye nyumba nzuri za National Housing kuliko wazawa, Sakata la DOWANS na hujuma nyingine nyingi... Ni fisadi anayetakiwa ajiuzuru mara moja.

USHAURI KWA WAPINZANI
(1) Shinikizeni kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi itakayochaguliwa na wabunge mseto. Yaani wabunge 2 CCM, 2 CHADEMA, 2 CUF, I TLP, I UDP na isiwajibike kwa kingunge yoyote bali kwa maslahi ya kitaifa. Msipofanya hivyo, mtakuwa wasindikizaji watindikiwa katika uchaguzi wa mwaka 2010. Hata taahira huwa hashiki moto.
(2) Tembeleeni vijijini mkawaelimishe watu wanaodanganywa na CCM kila kukicha, kwani huko ndiko kuna zaidi ya 85% ya wapiga kura nchini..Wanaishi maisha magumu kama wako mahabusu ya uhaini ndani ya nchi yao lakini hakuna wa kuwaelimisha Kikwete ndio amewasusa watu wa Mbeya, Iringa, Rukwa na Ruvuma huku akiita mikoa hiyo THE BIG FOUR na kunadi kuwa kilimo ni uti wa mgongo na kuwasuta akisema kuwa mbolea ya ruzuku haipo , wasibweteke, watainunua tu hata kama bei yake inapaa kama tai kila kukicha.. Kwa akili finyu ya watanzania, mwaka 2010 atajipitisha kwao na kuwafanya wasahau kuwa aliwahi kudondoka chini akiwahadaa maisha bora katika kura za mwaka 2005. Hivyo wapinzani tembeleeni vijijini maana mjini watu wanawaelewa.
(3) Piteni mkiwaambia watanzania kuwa MAFIGA MATATU YA KIKWETE ni kurudisha utawala wa chama kimoja wenye kubariki kila ufisadi na mafisadi wa uchumi wetu na rasilimali za taifa. Utawala wa kidikiteta na mufilisi bila kuhojiwa na mtu yeyote kwani bunge linakuwa na mafisadi wanaotetea mafisadi , ufisadi na hujuma ya kila aina kwa Watanzania ili mradi tu yapore utajiri wa taifa hili.

USHAURI KWA JK
(1) Wale wote wanaohusika na ufisadi usiwarudishe madarakani (uwaziri ama ukatibu mkuu ama ukurugenzi, kwa mfano:

(A)WIZARA YA MIFUGO IMEOZA TANGU WAZIRI WAKE,MAKATIBU WAKUU NA KURUGENZI ZAKE NDIYO MAANA HAIPAFOMU CHOCHOTE. FEDHA ZAIDI YA MILLIONI 600 ZIMEKUWA ZIKITUMWA KWENYE RANCHI ZA KUZALISHA MITAMBA NA KWENDA KUCHUKULIWA BILA KUFANYA KAZI ILIYOKUSUDIWA

(B) WIZARA YA KILIMO OVYO M KWANI MBOLEA ZIMEPANDA NA ZINAPANDA KILA KUKICHA, WASIRA AMEKOMBA FUNGU LA MBOLEA ZA RUZUKU TAKRIBANI BILLIONI 12.5... DATA TUNAZO.
(2) ACHANA NA KUCHAGUA WATU KWA KUFUATA URAFIKI, UKOO, NAFIKIRI UMEYAONA MWENYEWE
 
Yeah that is the spirit, tuwaulize watueleze accounts za meremereta kampuni ya wa Tanzania ambayo bwana Chenge anachota mamilioni ziko wapi? Bunge la aina hiyo ndo linatakiwa ili kumkomboa Mtanzania wa kawaida.
 
kpleo.jpg


.........Kilele cha ukiukaji wa maadili kiutendaji, haki na kijamii Tanzania vinamlenga kinara mmoja.
 
Pole pole tutafika tu. CAG kwa nini akose documents? Wamezichoma au? mimi nafikiri CAG yuko kisheria kwamba kila anachotaka anatakiwa apewe, sasa inakuwaje aseme hana documents.
 
Yaani mimi naweza kuwaona in my mind's eye wananchi wa vijijini wamechoka, hawajui kinachoendelea, wanakufa kwa njaa, umasikini na maradhi yanayoepukika.Imebaki wanasubiri zamu yao tu kufa an early death, with absolutely no hope.Tena kuna wengine hawana hata ndugu mijini, hamna hata nguzo moja ya familia kusema huyu kasoma ndiye atatutoa.... Inasikitisha.Kuna watu tunalalamika hapa lakini kuna facts fulani hatuzijui kwa sababu huko ndani ndani hata waandishi wa magazeti hawafiki!

Huku viongozi wetu waliowachagua wana mamilioni ya fedha, tena katika ma account nchi za kigeni katika Euro na dollar, hawana hata huruma ndogo ya kibinadamu.Wanaona sawa tu.

Mwishowe hata vijana wa leo wanaoingia katika public service na moyo wote wa kubadili mambo mabaya wanakosa nguvu na pole pole wanaingia katika machinations za kifisadi, na kusalimu amri kwa kanuni za msituni kama "mwenye nguvu mpishe" na "kila mtu kivyake". Najua rafiki walioingia serikalini miaka michache iliyopita wakiwa very critical, wakiwa na moto wa kubadili vitu, baadaye wakawa wanaelezea uozo ulivyo serikalini in private, siku hizi wanaonekana kusema "Mtumikie kafiri upate ujira wako".Hata hawa nao wameondolewa empathy na enthusiasm yao yote ya kubadili uozo huu.

Mimi siamini mungu lakini hawa wanaojifanya wakristo na waislamu na wanamjua mungu ni wanafiki wakubwa, kani hata mtu aliye "secular humanist" tu asiye na dini anafahamu how morally unjust stealing from an impoverished population is, this is what greed leads to, pillage and wanton gluttony, with no empathy or remorse, leading to such comments such as "visenti" and hata mkila majani.

And even though I believe in the rule of law and due process and that violence is never my first choice, and like a guru I almost always unleash the effect of my voice,I wonder why somebody doen't just shoot them, if only to make a strong statement.
 
MPs quiz CAG on Alex Stewart and Meremeta

2008-04-24 10:43:31
By Judica Tarimo, Dodoma

The government and the Controller and Auditor General (CAG) were yesterday accused of deliberately omitting from the latest CAG`s report the audited accounts of dubious mining projects worth billions of shillings.

``The government had corruptly paid Alex Stewart, Mwananchi Gold Mining and Meremeta huge sums of money. This money is not seen in the latest CAG audited report. It is a serious omission,`` said leader of the opposition in the House, Hamad Rashid (CUF).

The legislator was contributing to reports of both the Public Accounts and Local Government Authorities` Accounts Committees tabled in Parliament for discussions.

The reports were presented by chairmen of the House`s Public Accounts and Local Government Authorities` Accounts Committees, John Cheyo (UDP) and Wilbrod Slaa (Chadema) respectively.

The reports revealed gross embezzlement of public funds in central and local government authorities, largely triggered by violation of public procurement laws by relevant officials.

The heads of both parliamentary watchdogs, Cheyo and Slaa, blasted the government for failure to implement recommendations made by the House organs, which had shed light on plugging existing corruption and embezzlement loopholes in local and central government circles.

MPs who contributed to the debate accused both the government and CAG of deliberately excluding the audited accounts of the controversial mining projects - Alex Stewart, Mwananchi and Meremeta - which were under the custodianship of the Bank of Tanzania (BOT).

``Where is 60bn/-which is said to have been paid to Alex Stewart? Where is 8bn/- paid to Mwananchi Gold Mining project? Where are billions of shillings paid to Meremeta mining project?`` queried MP Hamad Rashid.

``Where is this money? Why is it not indicated in the CAG?s latest report? The omission is serious, bearing in mind that the CAG had already made his report public, but audited accounts of these projects are not seen. Why?`` asked the MP.

The MP criticised government excuses of lack of experts in the course of signing dubious and corruption-triggered contracts.

``The problem of expertise is non existent. There is no way the government could controversially pay 8bn/- to Mwananchi Gold Mining and come here saying they were wrongly paid the amount due to lack of experts,`` said MP, adding:

``Lack of experts should not be used as an excuse while billions go into the pockets of a few people through dubious and corrupt contracts.``

Estherina Kilasi (Mbalali, CCM) tasked ministers to give a feedback on how they implemented recommendations made by parliamentary watchdogs in the previous financial year before seeking endorsement of new budgets.

``How can you submit new budgetary proposals before we get a feedback on progress made in plugging corruption and embezzlement loopholes, as recommended by the Public Accounts Committee?`` she asked.

The MP advocated the setting up of a formal and binding system for ministers to provide feedback on implementation of proposals that had been made by House committees.

``It is disappointing to see that most of the heads of ministries are not here (in the House) as the parliamentary public accounts and local government accounts committees are presenting their reports, which, in fact, touch on all ministries,`` she said.

SOURCE: Guardian
 
Yaani mimi naweza kuwaona in my mind's eye wananchi wa vijijini wamechoka, hawajui kinachoendelea, wanakufa kwa njaa, umasikini na maradhi yanayoepukika.Imebaki wanasubiri zamu yao tu kufa an early death, with absolutely no hope.Tena kuna wengine hawana hata ndugu mijini, hamna hata nguzo moja ya familia kusema huyu kasoma ndiye atatutoa.... Inasikitisha.Kuna watu tunalalamika hapa lakini kuna facts fulani hatuzijui kwa sababu huko ndani ndani hata waandishi wa magazeti hawafiki!

Pundit,

Si umesoma jinzi David Holella alivyo wakoromea Wabarabag na kuwatisha kuwa ana Polisi na Jeshi na wasipohama atawatoza kodi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom