Member maarufu anayejidai mnyarwanda na mwenye stories za ujasusi kumbe ni mbilikimo .

😂😂😂😂😂😂😂😂😂 JF ni burudani tosha.
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.

Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk

Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.

Genta gwan man.
 
Huyu jamaa unayemsemea nimeanza kumhisi tangu lile sakata la JK na PK.

Alitetea sana upumbavu, akaja akapotea fulani hivi, kuja kuibuka nashangaa amekuwa star JF.

Jamaa ni mnyarwanda kweli, ana sifa za kipumbavu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.

Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk

Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.

Genta gwan man.
Afadhali, nilidhani mbilikimo ni mimi tu JF Member
 
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.

Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk

Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.

Genta gwan man.
Uko na kavideo au kapicha?
 
Bibles Inataja Zakayo Alikuwa Ni Mfupi Wa Kimo
Utaelewa Kimo Cha Vp Ikaendelea Mbele Zaidi
Akapanda Kwenye Mkuyu Ili Kumuona Bwana Yesu

Wakuelewa Waelewe/Wasioelewa Basi!!😁😂😀😀
 
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.

Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk

Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.

Genta gwan man.

IMG_2029.png

bila shaka
 
Inaonekana unamfuatilia sana hadi kujua maumbile yake! Hayo ni ya Mungu wewe sikiliza asemayo huyo member na utoe ya kwako on his/her topics AU SIYO!? Hilo ndio muhimu, habari ya KIMO chake - achana nacho, acha kudiscuss watu!
 
Back
Top Bottom