Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Hivi ndugu yangu umeshawi kupanda jukwaa hata moja huko vijijini na kujaribu kama sauti yako inatoka au mikwara tu ya cyberspace :)

Kama vyama vikubwa like CUF na CHADEMA vinapwaya unafikiri mgombea binafsi atatosha kwa local context ya siasa za Bongo?
Hapa ndipo utajua kwa nini CCM hawataki mgombea binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii,mchezo walomfanyia Lowassa na yeye kafanyiwa. Yeye kakatwa jina kwa kufukuzwa kwenye chama. Magufuli ndo CCM kwa sasa.
Very true kingine Membe ndo alikuwa anangoza group na Mzee makamba kwamba Lowassa anataka kuombea na JK awamu ya pili leo na yeye anataka kufanya kilekile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndugu yangu umeshawi kupanda jukwaa hata moja huko vijijini na kujaribu kama sauti yako inatoka au mikwara tu ya cyberspace :)

Kama vyama vikubwa like CUF na CHADEMA vinapwaya unafikiri mgombea binafsi atatosha kwa local context ya siasa za Bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala ninaloongelea si kutosha au kutotosha.

Suala ninaloongelea ni mtu kupata haki yake ya msingi ya kikatiba.

Kuna mahojiano fulani Nyerere alifanya mwaka 1959 na Mama Eleanor Roosevelt New York, akaulizwa, hivi nyie Watanganyika mnadai uhuru, mko tayari kujiongoza wenyewe mkipewa uhuru?

Nyerere akajibu, akalishangaa lile swali.

Akasema sisi tulikuwa tunajitawala kabla wazungu hamjaja, tutashindwaje kujitawala?

Na hata tukishindwa, tuachieni tushindwe wenyewe.

Umenikuta mtu nina jacket langu mwenyewe, umelichukua, nalidai, unaniambia hili jacket halikutoshi, kama linanitosha au halinitoshi hiyo si hoja.

Hoja ni kwamba hili ni jacket langu, niachie mwenyewe.

Kama watu wataweza kushinda au hawawezi hiyo si hoja.Hoja ni kwamba watu wana haki ya kikatiba ya kuwa na ugombea binafsi, na wananyimwa haki hiyo ya kikatiba.

Kipindi kilirekodiwa na kipo Youtube

Na nyuma ya JPM kuna BWM ambaye ndiyo aliinusuru CCM 2015 upinzani ulipoungana
BWM kwa sasa hayupo nyuma ya Magu. Magu ndo boss wa CCM. Jeshi la mtu mmoja. Kwanza JK ndo alikosea kubadili katiba ya CCM na wenyeviti wastaafu wakawa hawaingii tena kwenye Kamati kuu. Asingebadili huenda leo Membe asingefukuzwa chama.Maana JK,Mkapa,Mwinyi wangehudhuria kikao.
 
Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.

View attachment 1372047,
Narudia tena CCM haimuhitaji Membe bali Membe anaihitaji CCM,bila CCM membe ni sawa na nyangumi aliyekwama pwani ya Kilwa baada ya kushtuka maji yamerudi kina kirefu na hatima yake ni kujiozea tu mchangani. Wenzake akina Makamba,Kinana wameopolewa, hata mpiga debe wake Kaflag katulizwa kama mpira uliotolewa upepo.
 
BWM kwa sasa hayupo nyuma ya Magu. Magu ndo boss wa CCM. Jeshi la mtu mmoja. Kwanza JK ndo alikosea kubadili katiba ya CCM na wenyeviti wastaafu wakawa hawaingii tena kwenye Kamati kuu. Asingebadili huenda leo Membe asingefukuzwa chama.Maana JK,Mkapa,Mwinyi wangehudhuria kikao.
Haha mlisema Membe hawezi kufukuzwa na baada ya kufukuzwa mumeanza uchawi mwingine eti BWM hayupo nyuma ya Magu, unachosema ni sawa na kusema hayati Mwalimu Nyerere hakuwa nyuma ya BWM, Magu atakuwa mtiifu kwa BWM hadi mwisho, yeye ndie aliyemuonyesha njia ni Godfather wake!
 
Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.

View attachment 1372047,
Mh Membe kaingia choo cha jinsi nyingine na kukutana uso kwa uso na mkwe wake akitimiza haja ya kimwili, fedheha gani hiyo, du!!!
 
Atajijua. Akagombee kupitia ACT.Kina Zitto watampokea kwa mikono miwili. Kama alishindwa kuwa Rais 2015 kipindi kaka yake anaachia ngazi,basi kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii Tanzania.
Mpaka sasa hana sifa kugombea urais 2020 kwa sababu sheria mpya za uchaguzi zinataka uwe mwanachama angalau miaka miwili kupitia chama unachotaka kiwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom