Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Kama huo ni ukweli sasa HOFU aliyoipata aliposikia Membe anataka kuchukua form ya kugombea uenyekiti ilitoka wapi hadi akaamua kumfukuza chama!? 🤔

Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
 
Weka tweet yake hapa
Hiyo hapo
Screenshot_2020-06-13-20-46-36.jpeg
 
Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Kama mnajua hivyo kwa nini sasa mnahaha? Unamfutaje uanachama kisa tu kusema ati atagombea urais kwa ticket ya CCM..

CCM ya leo imekosa maadili !!
 
Form ya Urais wa JMT ni moja tu haina photocopy na hiyo ina printiwa ikiwa na jina la John Magufuli typed kabisa
...na hiyo inaprintiwa ikiwa na jina la John Magufuli typed...
Mkiambiwa acheni kiduku muende shule,mnasema,ooh, Kilimanjaro walipendelewa,oooh,hivi na vile.
Pale Mwanambaya kwako nasikia uliozwa kwa mmoja wa wasaidizi wa AHM ukiwa na miaka 12,ndio maana unasema hukupata wasaa wa kuendeleza "kipaji" chako.
Pole sana bibie.
 
Ni 98% ya Watanzania

una matatizo wewe, ni wewe na washamba wenzio labda, watu wenye akili na walioelimika hawaungi mkono juhudi yoyote shikeni masikio hao wachumia tumbo wa chechemee, membe shika usukaniii wewee, kaza uziii membeeee
 
Ile u turn mliyopiga 2015 na matukio ya aibu yaliyolifuatia hilo tukio kuu ndo imewafikisha hapa mlipo(chama fedheha) sio hila za yeyote
Matukio gani ya aibu? Wenye mbwa wanajua kwamba watapata tabu sana, wewe huwezi kuelewa, utaelewa kampeni zikianza!
 
Kwa nini ccm inaogopa Tume Huru ya Uchaguzi kama hawaiogopi upinzani????????!?????????Rais anaogopa nini kwa nini asiruhusu Tume Huru? Amefanya maendeleo mengi sana Tz. Na njia moja ya kuhakikishia uma wa Tanzania kuwa utawala huu unapendwa ni Tume Huru tu siyo kingine!
 
What is happening toTz in recent years leaves a lot to be desired! Hasa bunge na polisi! Their behavior leaves a lot to be desired. In the past if you have a problem you called a police but today you have no one to call except a doctor?, Bunge! Lol! Disaster! We hardly hear our problems be discussed?
 
Kuna technique ya siasa Member ashabugi naona anavuta muda kuomba Radhi ili abrand utiifu kwa rais. Msipoteze muda kumfuatilia Membe
 
Back
Top Bottom