Membe ni JK part 2

mharakati

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,271
391
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana mambo yatakua yale yale kwa watz wengine wasiotoka ukoo huo unaongoza kwa sasa..tafakari hatutaki tena episode za KiJK JK hizi zirudi
 
Mama Maria Nyerere angekua ananguvu.. ndio pekee alikua wa kusafisha chama na kugombea 2015... wote walio baki manyusi tu.. Mtake msitake thats the"eternal truth"
 
Hakuna cha membe wala maembe hawa wote ni mjizi tuu
watanzania 2015 tukifanya kosa tena tukawapa nchii hawa
majambazi ccm tutajuta kuliko sasa.
hawa magamba hakuna mwema hata 1 yote ni mafisadi
kama kweli tunaipenda nchi na ili tujitawale hakuna mbadala
ni kuyatoa haya mafisadi madarakani.

T 2015 CDM
 
hebu acha kujidhalilisha

watu millioni 40+ we unamwona kikongwe tu??

Una matatizo makubwa sana ya kutojiamini
 
Hakuna cha membe wala maembe hawa wote ni mjizi tuu
watanzania 2015 tukifanya kosa tena tukawapa nchii hawa
majambazi ccm tutajuta kuliko sasa.
hawa magamba hakuna mwema hata 1 yote ni mafisadi
kama kweli tunaipenda nchi na ili tujitawale hakuna mbadala
ni kuyatoa haya mafisadi madarakani.

T 2015 CDM

CDM wameshindwa kulinda kura za jimbo moja la Igunga wataweza nchi nzima? Labda CCM wasambaratike vinginevyo tutaendelea kuongozwa na serikali ya CCM hadi CCM watakapofarakana
 
Hivi mpaka 2015 shule za kata zitakuwa zimetoa matoleo mangapi vile.....Igunga CCM walibanwa sana ndiyo maana unashudia mauji
 
Mama Maria Nyerere angekua ananguvu.. ndio pekee alikua wa kusafisha chama na kugombea 2015... wote walio baki manyusi tu.. Mtake msitake thats the"eternal truth"

Tatizo sio kiongozi tu bali ni Chama chenyewe (hata Ghandhi akishirikiana na Mother Theresa) sidhani kama angeweza kuleta mabadiliko ya kweli

Cha Muhimu ni kifo cha CCM mali zetu zitaifishwe na kurudi mikononi mwa wananchi ili tupate upinzani wa kweli
 
nimekwambia mie nataka gombea
soma tena post yako...... huwezi kuja na kuanza kusema ccm nzima ni kale kab ibi ka watu ndio kanaweza, its an insult to yourself and your way of thinking

wewe unajua vizuri historia ya mama maria na mangapi mwalimu alipitia kwenye family yake??

Puffffffffff
 
Membe simwamini kabisa, in short ni jk-type yule. Naombeni compliment zake tangu aingie madarakani labda naweza kumwamini kidogo
 
CCM itafaa kuongoza nchi wakiyaondoa magamba na kuyafilisi kwani watasumbua na fedha zao wakiwa nje.
 
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana mambo yatakua yale yale kwa watz wengine wasiotoka ukoo huo unaongoza kwa sasa..tafakari hatutaki tena episode za KiJK JK hizi zirudi

umekunywa viloba vingapi?? maana nyie watu wa viloba na bia za bukubuku mkishalewa mnaleta pumba hapa.
 
ivi kwa nini jeshi lisiongoze nchi yetu? sioni mtu wa kuchukua iyo nafasi.
tungekuwa tunakodisha mapresidents basi tungemkodi mgabe.
cc tunahitaji rais mbabe na anayeweza kutumia nguvu ya umma,
sio rais anayechekacheka kama muuza karanga.
 
kuna jeshi hapa, au maigizo.
 
Membe simwamini kabisa, in short ni jk-type yule. Naombeni compliment zake tangu aingie madarakani labda naweza kumwamini kidogo

JK na Membe ni ndugu mtu na kaka yake.Baba mmoja mama tofauti.Waangalie wanafanana sana hata tabia zao ni zile zile
 
As long as mfumo wa CCM uko madarakani, hakuna Mende, Memba wala Membe anayeweza kuiongoza vizuri TZ, GO 4 ANY OPPOSITION PARTY apart from CUF n TLP!
 
As long as mfumo wa CCM uko madarakani, hakuna Mende, Memba wala Membe anayeweza kuiongoza vizuri TZ, GO 4 ANY OPPOSITION PARTY with the exception of CUF n TLP!
 
ivi kwa nini jeshi lisiongoze nchi yetu? sioni mtu wa kuchukua iyo nafasi.
tungekuwa tunakodisha mapresidents basi tungemkodi mgabe.
cc tunahitaji rais mbabe na anayeweza kutumia nguvu ya umma,
sio rais anayechekacheka kama muuza karanga.
mkuu hapo penye wekundu,, hofu yangu tusije kupata rais aliyepinda mdomo tu...........................
 
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana mambo yatakua yale yale kwa watz wengine wasiotoka ukoo huo unaongoza kwa sasa..tafakari hatutaki tena episode za KiJK JK hizi zirudi

kweli kabisa!sidhani kama ana jipya huyu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom