Membe!!!na ngonjera ya:"Nitawalipua wote wanaojificha na kuharibu nchi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe!!!na ngonjera ya:"Nitawalipua wote wanaojificha na kuharibu nchi"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwananchi wa Kawaida, Jul 15, 2012.

 1. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Jamani wana JF leo Membe atakuwa itv kipindi cha dk45 so tusikose saa tatu usiku maana ktk highlight anasema eti anawajua wanaofanya njama kuiharibu nchi na siku moja atawalipua,lini??au ndo zile ngonjera zao za nursery school zinazosahaulika na watoto kila wakijaribu kuimba
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Tuondolee upuuzi huo wa membe na itv tafadhali .unatia kinyaa
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu naomba ufuatilie atakachosema ili utupe updates na sisi tusiokuwa huko bongo tujue atakachosema.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kipindi cha DK 45 huwa kinarushwa JUMATATU saa 3 usiku, kwani kimeishabadilishwa na kuanza kurushwa JUMAPILI?
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aanze na wizara yake. Tuone
   
Loading...