Membe na CHADEMA kukosekana kwenye msiba wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa inauma sana

Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga.

Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona mlijitenga hata kwenye misiba pia mnajitenga?

Kwa hiyo na nyie mkifa huko watu wawatenge? Yani CHADEMA ni waajabu sana mambo yenu huwa mnalazimisha yawe ya kitaifa, lakini matatizo ya wengine mnayachukulia siasa.

Kwa tabia yenu hii mkishika urais itakuwaje? Mtawaunganisha watanzania au mtawagawa?

Kwa tabia hii ya ubinafsi wenu hamfai kabisa na sijui mmekula maharage ya wapi.
Nahisi umevaa ped na Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi
 
Ni lini mmeanza kuutaka umoja wa nchi?
Lisu huyu huyu mlipanga saa na dakika ya kumuua na saa ya kumzika?
 
Kosa walilofanya ccm na Serikali kwa ujumla kuwazuia chadema wasiage mwili pale taifa. Kwa mwendo huu ccm na chadema watatuaribia taifa ni majeuri viburi . Kama ningelikuwa na uwezo vyama vyote viwili ccm na chadema ningevifungia kwa muda usiojulikana mpaka wajirekebishe tabia zao mbaya
Wewe ni TADEA?
 
Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga.

Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona mlijitenga hata kwenye misiba pia mnajitenga?

Kwa hiyo na nyie mkifa huko watu wawatenge? Yani CHADEMA ni waajabu sana mambo yenu huwa mnalazimisha yawe ya kitaifa, lakini matatizo ya wengine mnayachukulia siasa.

Kwa tabia yenu hii mkishika urais itakuwaje? Mtawaunganisha watanzania au mtawagawa?

Kwa tabia hii ya ubinafsi wenu hamfai kabisa na sijui mmekula maharage ya wapi.
Ukweli ni kwamba mambo ya CDM ni ya taifa zaidi manake hawa watu ndio wenye ushawishi mkubwa kwa sehemu kubwa zaidi ya umma wa Tanzania kuliko chama kingine. Siku wakiamua kuwashawishi wananchi basi na nchi itasimama.
 
Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga.

Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona mlijitenga hata kwenye misiba pia mnajitenga?

Kwa hiyo na nyie mkifa huko watu wawatenge? Yani CHADEMA ni waajabu sana mambo yenu huwa mnalazimisha yawe ya kitaifa, lakini matatizo ya wengine mnayachukulia siasa.

Kwa tabia yenu hii mkishika urais itakuwaje? Mtawaunganisha watanzania au mtawagawa?

Kwa tabia hii ya ubinafsi wenu hamfai kabisa na sijui mmekula maharage ya wapi.
MIMI UKANA SHILUNGO NILIKUWEPO.

MH MEMBE NA ZITTO ZUBERI KABWE WALIKUWEPO.

SEMA LINGINE, ACHA UONGO
 
Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga.

Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona mlijitenga hata kwenye misiba pia mnajitenga?

Kwa hiyo na nyie mkifa huko watu wawatenge? Yani CHADEMA ni waajabu sana mambo yenu huwa mnalazimisha yawe ya kitaifa, lakini matatizo ya wengine mnayachukulia siasa.

Kwa tabia yenu hii mkishika urais itakuwaje? Mtawaunganisha watanzania au mtawagawa?

Kwa tabia hii ya ubinafsi wenu hamfai kabisa na sijui mmekula maharage ya wapi.
Inauma sana ata Lisasi Alizotandikwa Lisu
 
Back
Top Bottom