Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Wood Stone

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
647
1,000
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Mbwekaji wa taifa, naona CCM ina jembe jipya kwa sasa linaitwa Musiba.
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
5,302
2,000
muwe mnafanya utafitikwanza bila kulopoka tu. et trason ni kwa rais wa nchi tu...

treason
trēzən]

NOUN

high treason (noun) · high treasons (plural noun) · treasons (plural noun) · petty treason (noun) · petty treasons (plural noun)
 1. the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill the sovereign or overthrow the government.
  "they were convicted of treason"
  synonyms:

  treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
  antonyms
  :

  allegiance · loyalty
Basi unaona umemaliza!!?
lete kifungu cha sheria mahususi kutoka kwenye penal code......
 
Zakaria Lang'o

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,596
2,000
Sikubaliani na Membe.

Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.

Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.

Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.

Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Vipi umepima asilimia za upendo wa Watz kwa boss wako katika siku hizo tatu!!!?
 
MANIAJE

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
246
500
Sikubaliani na Membe.

Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.

Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.

Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.

Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Uzishi wa kuzushiwa kufa wewe unaona ni uzushi mdogo.?? Pevuka basi asee .
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
5,120
2,000
Mpe vidonge huyo japo vchungu
Waziri alimkanya Musiba, lakini Musiba ameendelea kuisemea serikali na hachukuliwi hatua, maaskofu waliiuliza serikali ikiwa haimzuii Musiba na wengi wanaamini serikali inamtuma, kwanini serikali isijitenge naye na asiruhusiwe kuisemea serikali, na imchukulie hatua.
Waziri alimuonya hadharani na alisema akirudia vyombo vya dola vita mshughulikia.
Tunaona tena kafanya yale yale, sasa tusemeje?! Uhakika upi ungekufaa wewe?!
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,445
2,000
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Kwanini hajapelekwa mahakamani? au na yeye keshaandika barua kwenda kwa DPP?
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Kelele za majuha wa Twitter hazinisumbui kabisa.
Kumtetea mgonjwa hakuondoi ugonjwa wake. Toka jumapili mpaka leo hajaonekana fonti fedi ujue bado hajapona vizuri, muda ni mwalimu mzuri sana black and white zitajulikana tu. Kwanza kuugua siyo dhambi au huyo Jiwe wenu huwa haugui?Kwahiyo mnataka kutuaminisha malaika mkuu Jiwe huwa haugui siyo?
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,352
2,000
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
And here's the first Puppy...
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,746
2,000
Sikubaliani na Membe.

Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.

Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.

Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.

Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Alichokitarajia Membe kimefeli,utajibuje mambo ya kijinga,unamjibu nani,kwa mara nyingine mtego wake Membe umembwekea mwenyewe na mbilikimo wake.
 
Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
2,000
haya mabilioni ulimpa wewe mkuu? au na wewe ni mbwekaji wa Taifa
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
 
Fedor von Bock

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,308
2,000
Wewe ni bogus kweli unafikiri ki-academically sana umekwenda ukabeba general definition ya treason. Mimi naongelea definition according to our Penal Code wewe vuvuzela!!

UNAJIPYA NGOSHA MKUBWA MTEMBEA NA REDIO
KAOGE UONDOE HARUFU YA MAZIWA NA MBOLEA YA NG'OMBE
PHACOCHERE MKUBWA WEWE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom