Membe live on Chanel ten akijadili tathmini ya uchaguzi wa Zimbabwe

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
709
Wadau,Bernad Membe yupo live on Chanel ten akitoa tathmini ya uchaguzi mkuu wa Zimbabwe.
Anasema uchaguzi kwa maana ya zoezi zima la kupiga kura ulikuwa fair,lakini kwenye kampeni STATE MEDIA HAIKUTOA FAIR COVERAGE.
Anasema kuwa mwaka 2008 Mugabe alishindwa,na Tanzania ilimlaani Mugabe kwa kuwa hakukubali kushindwa(kwenye ubunge MDC ilipata viti 99 ZANU PF ilipata viti 100).
Anasema kuwa kosa kubwa walilolifanya MDC ni kuamini idadi ya watu kwenye kampeni,na coverage ya media.
Mnaweza kufuatilia zaidi.
 
kwa nini waliishia kummlaani tu? kwa nini JK asingepeleka vikosi wamung'oe kama walivyo fanya kwa Abdala Sambi wa visiwa vya Comoro? au anaangalia na ukubwa wa nchi?
 
Back
Top Bottom