Membe: Janga la Corona tushirikiane na wenzetu la sivyo tutatengwa

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,689
22,702
Sikujua na wala sikufikiria kuwa janga hili la Corona lingaliathiri pia uhusiano wa kimataifa na hasa wa kikanda.Nilidhani janga hili lingalitufanya tushirikiane na wenzetu Duniani katika kupambana nalo kitaalam. Lazima tuende na wenzetu la sivyo tutatengwa na tutaumia sana!

20200506_203224.jpg
 
Walishajaribu kututenga na kuanzisha CoW wakagundua bila sisi hawawezi kwenda popote.. Tumekataa kusaini EPA, na EPA ikafa kibudu.. Mh Membe asiwe na hofu.. Sisi ni taifa kubwa na lenye nguvu nyingi Duniani.
Kijiografia, Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikifuatiwa na Nigeria ambayo ni ya 32 kwa ukubwa.
Mh Membe aendelee kutembea kifua mbele akifurahia kuwa raia wa nchi yenye nguvu kubwa inayoendeshwa vyema chini ya utawala wa 'boss kubwa' mh Dr Magufuli.
 
Mkuu ingekuwa imependeza zaidi pale mwisho kama ungemalizia kwa usahihi:

,,,, wa 'boss kubwa' Kinjekitile Ngwale.
 
Walishajaribu kututenga na kuanzisha CoW wakagundua bila sisi hawawezi kwenda popote.. Tumekataa kusaini EPA, na EPA ikafa kibudu.. Mh Membe asiwe na hofu.. Sisi ni taifa kubwa na lenye nguvu nyingi Duniani.
Kijiografia, Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikifuatiwa na Nigeria ambayo ni ya 32 kwa ukubwa.
Mh Membe aendelee kutembea kifua mbele akifurahia kuwa raia wa nchi yenye nguvu kubwa inayoendeshwa vyema chini ya utawala wa 'boss kubwa' mh Dr Magufuli.
Nchi inakuwaje kubwa duniani halafu wakati huo huo ni maskini wa kutupwa, maabara moja tu ya kupima Covid-19.

Maajabu ya karne haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walishajaribu kututenga na kuanzisha CoW wakagundua bila sisi hawawezi kwenda popote.. Tumekataa kusaini EPA, na EPA ikafa kibudu.. Mh Membe asiwe na hofu.. Sisi ni taifa kubwa na lenye nguvu nyingi Duniani.
Kijiografia, Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikifuatiwa na Nigeria ambayo ni ya 32 kwa ukubwa.
Mh Membe aendelee kutembea kifua mbele akifurahia kuwa raia wa nchi yenye nguvu kubwa inayoendeshwa vyema chini ya utawala wa 'boss kubwa' mh Dr Magufuli.
Huyo huyo aliyeziombea nchi masikini msamaha wa madeni ikiwamo Tanzania?Sifa na ubabe wa kijinga hautatusaidia lolote!
 
Ache watutenge Membe maana kila nchi ipambe kwa njia inayoona inafaa siyo njia wanayotumia US au Uganda nasi tutumie no, sababu makali ya virus vya Corona yanatofautiana hivyo hivyo na dawa pia kila nchi itumie dawa itakayo ona ni sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufinyu wa akili yako umeshindwa kuelewa hoja iliyoko mbele yetu!Iko hivi,Rais anapata wapi ujasiri wa kusema watumishi wa maabara wanatumiwa na mabeberu kumuhujumu katika sakata la Corona bila ushahidi?Vipi uchunguzi ukikamilika na mambo yakawa tofauti,hatuoni kuwa tumeharibu uhusiano na mataifa makubwa bila sababu za msingi?Tatizo JPM anapenda sana sifa na attention bila kufikiri!Hilo ndilo anazungumzia Membe!
 
Back
Top Bottom