Membe: Hatujapata taarifa kuhusu Israel!

Membe is basically saying "I don't know what to say". Which is sad given the time this brouhaha has been in the news. Anachosema ni kwamba kila anayekutukana ni lazima aandike barua yenye letterhead , mhuri na sahihi, ikiorodhesha matusi yote. Sad.

Ukisikia kitu kimetangazwa na XINHUA kwa watu wanaoelewa kuwa XINHUA ni mouthpiece ya serikali ya China, halafu zimepita siku kadhaa hakuna mtu aliyewajibishwa XINHUA, na aliyesema kapewa nafasi ya kuomba radhi kakataa, hajachukuliwa hatua yotote, na serikali ya China haijakanusha, mwenye akili unajua kwamba kuuliza kwamba "Huu ni msimamo wa serikali ya China au?" ni swali la kizushi.

So goes for Reshet Klitat HaAliya/ Radio Israel.

Obviously hii either ni rookie gaffe or Wa Israel hawajali diplomacy na hawaogopi kusema ukweli ulio undiplomatic, obviously serikali ya Israel pamoja na Barak hawataki kukubali kuomba msamaha, obviously kwa kukataa kukubali wanaifanya hii rookie mistake iwe position ya serikali kwa sababu kwao ku apologize kutakuwa embarassing zaidi ya kukubali kwamba hii ni rookie mistake.

Kwanza wanaona Tanzania hatuna hata uhusiano wa kibalozi nanyi, pili nyie watetezi wa Palestina kila siku, tatu mnamtetea Iran awe na nuclear weapons, kwa hiyo kwa nini tu apologize kwa mtu ambaye hatuna chochote cha ku gain kwake? It's not like we are going to compete realistically for the Tanzanian vote in the UN kwa resolution ya kutaka Palestine iwe a member state.

Kwa msingi huu visiwa vya Kiribati huko South Pacific, vyenye watu takriban 100,000 na zero natural resources apart from tourist attracting beaches vinaweza kuwa muhimu kwa Israel kuliko Tanzania.

Ignorant statements like these makes one want to justify Iddi Amining all Israel nationals out of Tanzania, but you can't punish people for the mistakes of politicians.

This should be an argument against the notion that Israel is "Taifa la Mungu". Kama mungu angekuwa na taifa certainly asingeumba waziri aliye stupid kufanya needless undiplomatic gaffes kama hii.

Hivi anmgesema tu kwamba Uingereza na Ujerumani ni muhimu na si kama nchi zisizoendelea point yake isingeeleweka? Kulikuwa na ulazima gani wa kununua controversy bila sababu?

Humtukani hata ombaomba irrelevant ambaye huna haja ya kumtukana sio tu kwa sababu si sawa na ni ushenzi, lakini pia kwa sababu hujui huyu ombaomba kesho atakuwa nani na anaweza kukusaidiaje.Ndiyo maana naiita hii "rookie mistake". It is a wanton disregard for the most basic principles of civility and diplomacy (especially when nothing is at stake). Generality.

Bravo Kiranga !

Membe namuona smart kama waziri wa mambo ya nje (Make no mistake: nikimlinganisha na aliyepita) lakini response yake kuhusu hili suala la Ehud Barak amenishangaza.Ehud Barak amekosea kidiplomasia tena kwa kukiuka kanuni za msingi kabisa za diplomasia na kanuni za ustaarabu.Sasa waziri wetu wa mambo ya nje pamoja na Balaozi wetu ndiyo wanazidi kuthibitisha kwamba kauli ya Ehud Barak ni ya kweli na ilitakiwa iwe hivyo.Hatujaonyesha any seriousness katika response yetu kuhusu hili suala linalotuvunjia heshima

Kitu kingine nimejifunza ni kwamba as a nation tunaelekea kubaya.Tumeamua kukubaliana au kukataa tamaa na nchi yetu.Tabia ya baadhi ya watu kuunga mkono hii kauli kwamba Tanzania ni Irrelevant kwa sababu ya makosa ambayo yamefanywa na viongozi wetu inashangaza na kusikitisha,haina tofauti na mashabiki wa mpira ambao ni watanzania kuzomea timu yao ya Taifa wakati ikicheza na timu pinzani kisa timu yao ya Taifa imecheza vibaya.Huku ni kujivua nguo na kutokujiamini tu

Ukiona chenga anazopiga Membe ni kwa sababu anatafuta majibu binafsi bila kufuata policy ambayo ingempa roadmap ya ku-deal na masuala kama haya na ndiyo maana nikasema Sera yetu ya mambo ya nje inastahili overhaul.

Our foreign policy must be defined in terms of the goals our nation need to officially seek to attain abroad, the culture and values that bring about those objectives and the instruments necessary to pursue the goals while taking into account other nation’s prevailing foreign policies that may be established against our national interest. The essential tripods of our foreign policy strategy must be linked together such that they add value to our nation. Unfortunately for Tanzania, our foreign policy is static, unprogressive and is not benevolent to most Tanzanians.

Ukiangalia hata balozi zetu nje zinavyoshughulikia maswala yenye maslahi kwa taifa na wananchi wake,utagundua wanafanya kiujanja ujanja na mara nyingi Interest za taifa na wananchi hazitiliwi maanani ukilinganisha na balozi za nchi nyingine.Perhaps, it is not surprising why a citizen of one nation is patriotic while a citizen of another work against the interest of his nation; why a citizen of one nation exhibits political fervor while citizen of another nation shows political apathy; and why a citizen of one nation is very passionate about his country while the citizen of the other looks for every available moment to make caustic statement about his country.

Tanzania’s foreign policies have historically exhibited stagnancy, political favoritism, sometimes involve political cronyism, clueless diplomats who have no idea of their functional responsibilities which is to represent Tanzania well in times of joyous ceremonies, defending the nation in hostile environment from a hosting nation, protesting citizens’ human right abuses in the countries where such human right abuses take place, chastising nations that flout citizen’s human rights and feverishly defending Tanzania’s national interests.
 
Inawezekana kweli hajapata,maana hizi taarifa hazitangazwi kwenye radio,TV na magazeti ya udaku!
Mumtumie facebook!
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]CHAMA CHA MAPINDUZI < <jarida la mkereketwa> >

Tamko la Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuhusu Palestina
[/FONT]


  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]NEC yaunga mkono Wapalestina katika harakati zao za kujikomboa[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yataka Israel isimuhamishe Arafat nchini mwake[/FONT]
  • [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Na Jumuiya ya Kimataifa yatakiwa kusimamia utekelezaji wa Road-Map[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imesema kwamba imepokea kwa mshangao na masikitiko makubwa, uamuzi wa Serikali ya Israel wa kutaka kumuondoa kutoka nchini mwake Rais wa Palestina, Mheshimiwa Yassir Arafat.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Katika tamko lililotolewa hivi karibuni Mjiji Dodoma, NEC ambayo ilikutana chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Benjamin Mkapa imesema kwamba uamuzi huo wa fedheha una shabaha ya kuvuruga jitihada zinazoendelea sasa za kuleta amani kati ya Israel na Palestina na katika Mashariki ya Kati kwa jumla.
“Hii inathibitisha kwa mara nyingine tena jinsi ambavyo Serikali ya Israel isivyokuwa na dhamira ya dhati wala utashi wa kisiasa wa kupata ufumbuzi muafaka na wa kudumu wa mgogoro baina yao na Wapalestina”, tamko la NEC lilisema.
Aidha, uamuzi huo na matendo kadhaa ya kikatili yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina vinadhihirisha wazi nia mbaya ya Serikali ya Israel ya kutaka kukwamisha Mpango wa sasa wa amani Mashariki ya Kati, maarufu kwa jina la Road Map, Mpango ambao hatimaye ungewezesha kuzaliwa kwa Taifa la Wapalestina lililo huru, na linaloishi bega kwa bega na kwa amani na Taifa la Israel.
[/FONT]
arafat.JPG
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kiongozi wa Palestine, Yasser Arafat akiongoza mkutano wa Kamati Kuu ya Chama cha PLO
(Palestine Liberation Organization)
[/FONT]​
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Katika tamko lake NEC imeazimia kuwa: “Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi inapenda kuelezea kutokufurahishwa kwake na uamuzi huo, na [/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]kuulaani vikali[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]. Kutekelezwa kwa uamuzi huo hakutaongeza usalama kwa Israel bali kutazidisha chuki na kuchochea ghasia zaidi. Hivyo basi, Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi inaitaka Serikali ya Israel kubadili uamuzi wake huo. Kimsingi Halmashauri Kuu ya Taifa inaisihi Serikali ya Israel kurudi kwenye mstari wa utekelezaji wa Mpango wa Amani wa sasa na Mkataba wa Oslo”.
“Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi inatoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa, hususan Umoja wa Mataifa na nchi za Marekani, Urusi, Uingereza na Ufaransa zilizotayarisha Road Map kufanya kila linalowezekana kusimamia na kuhakikisha utekelezaji wake”.
[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
“Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi inapenda kukariri msimamo wake wa kuwaunga mkono watu wa Palestina katika harakati zao za kujikomboa na kupata Taifa lao lililo huru wanaloliendesha wenyewe”.
[/FONT]


 
Thread hii imethibitisha kwamba taifa hili limejaa walalamishi. Yaani waziri aliyeongea kwenye radio station huko kwao tena kwa hoja zinazoeleza msimamo binafsi ndizo tunazotaka watu wakurupuke kuzijibu. Tutajibu mangapi hapa duniani maana kila mtu yuko entitled to express his opinion. Tunasikia mara kibao habari zinazoshutumu nchi mbalimbali lakini Kama hazing significance kwa nchi watu wanazikaukia. Kama mnapima utendaji wa serikali kwa kuangalia hoja hafifu Kama hii basi liko tatizo.

Hoja ya Cameron na Ushoga ilijibiwa kwa sababu ilikuwa na bearing kwa mustakabali wa nchi. Msimamo wa Barak, hata Kama ingekuwa ni wa Israel hauna chochote cha ajabu hasa ukizingatia kwamba ni nchi ambayo mahusiano yetu ni remote na kuunga mkono kwetu Palestine, ikiwemo kura ya hivi karibuni ya UNESCO lazima ingechochea hasira hiyo lakini, huwezi jibu kila ujinga.

Membe yuko likizo (ndivyo) ilivyoarifiwa. Angejibuje hoja ambayo hajaisikia, hajaitafiti na hajaitolea maamuzi? Hivi kutosikia habari iliyotangazwa kwenye FM radio ya Tel aviv ni kosa? Hebu jaribuni kupevuka jamani!
 
Ben, Membe ni waziri tu na kwa sasa yuko likizo na kuna mtu ambaye anakaimu nafasi yake. Amekiri hajji wall hakusikia kilichozungumzwa. Mimi nadhani alitakiwa aachwe aipate taarifa hiyo, au statutes aliyepo ofisini. Sasa suala la kutafuta majibu binafsi Linatoka wapi wakati yeye yuko nje ya Dar, tena yuko kijijini? Hata Kama kuna road map au policy, si lazima upate text ya shutuma hizo ndipo u-apply policy kujibu? This is an unfair criticism and blowing this small matter out of proportion.
 
Ben, Membe ni waziri tu na kwa sasa yuko likizo na kuna mtu ambaye anakaimu nafasi yake. Amekiri hajji wall hakusikia kilichozungumzwa. Mimi nadhani alitakiwa aachwe aipate taarifa hiyo, au statutes aliyepo ofisini. Sasa suala la kutafuta majibu binafsi Linatoka wapi wakati yeye yuko nje ya Dar, tena yuko kijijini? Hata Kama kuna road map au policy, si lazima upate text ya shutuma hizo ndipo u-apply policy kujibu? This is an unfair criticism and blowing this small matter out of proportion.

Hivi tunajidai tumeweza na mtu akienda kijijini ndio mwisho wa kusikika? duh! Ndio maana hamtaki kuhama Dar!

Hiyo likizo nadhani ni wewe tu uliye na taarifa... So hata yakitokea matatizo makubwa tungojee hadi arejee! na manaibu wziri wa kazi gani.... na Mawaziri kazi zao huwa ni Domo tu na pia wapo waliosaini mikataba wakiwa likizo iwe hili la kujibu kwa mdomo... tena dk zisizo zidi 30... Walio juu huwa hawapendi kuulizwa Mnaitumikia Taifa au Matumbo Yenu....
 
Hivi karibuni Israel ilikuwa na yule Ofisa wao anahusika na mambo ya biashara alikuwa anapita maofisini kuuza investments zao. Leo tena Baniani mbaya lakini kiatu chake kimekuwa dawa, maana fedha wanataka kwa kuuza biashara zao lakini kwa nchi hii wanadharau wananchi wake.
 
..sasa tangu aseme hana taarifa mpaka leo hii ni muda kiasi gani umepita?

..wizara ya mambo ya nje needs to respond, lakini inaonekana wamelala usingizi au wanagwaya.
 
Watu nchi yetu imetukanwa povu limewatoka, badala ya kumwandama yule mpuuzi alitukana wanamrushia mawe Waziri Membe!

Kwanza hakuna haja ya kumjivbu huyo Muyahudi aliyefilisika kisera. Kumbuka hawa Israeli ni taifa pekee wanaoendeleza ukoloni na ubaguzi wa rangi karne hii ya 21?
 
Watu nchi yetu imetukanwa povu limewatoka, badala ya kumwandama yule mpuuzi alitukana wanamrushia mawe Waziri Membe!

Kwanza hakuna haja ya kumjivbu huyo Muyahudi aliyefilisika kisera. Kumbuka hawa Israeli ni taifa opekee wanaoendeleza ukoloni na ubaguzi wa rangi karne hii ya 21?

Duniani kote hakuna nchi isiyokuwa na ubaguzi wa aina fulani ingawaje inaweza isiwe wazi lakini huo ndio ukweli kwa mfano hapa tz ukitembekea baa inayomilikiwa na mhaya basi itakuta asilimia kubwa ya watejs nivwahaya hivyo hivyo kwa makabila mengine ubaguzi mwingine ulio wazi hapa kwetu ni kuwepo na tabaka la watanzania weupe ambao ni wahindi wanomiliki asilimia kubwa ya uchumi na watanzania weusi tunabaguliwa sana na hawa wahindi mbona hamlalamiki
 
Lizzy, inawezekana hatuna umuhimu. Suala hapa ni kuwa kuna tatizo gani hadi atolee mfano Tanzania? Kwa taratibu za kidiplomasia haikubaliki hata kidogo.

Kama tuna matatizo ni yetu na tunapaswa tuyashugulikie sisi wenyewe. Israel haina sababu ya kuwa na ugomvi na EU halafu matusi yatupwe Tanzania.
Israel haijatoa matusi, imeelezea jinsi sie tulivyo. kinachosumbua hapa ni kuwa watz wengi hawapo tayari kusikia ukweli kuhusu ubabaishaji wao. Ndo maana hata viongozi wetu wanapenda sana kusifiwa lakini sio kukosolewa. Kama tuna uchungu na nchi hii tushukuru kwanza Barak ametupasulia jipu, maana siku zote ccm wanafanya kazi ya kutangaza taarifa uchwara kuwa sie ni taifa linaloheshimika sana duniani. Kwahiyo tutambue kuwa sie tunatakiwa tuanze kuwashughulikia waliotufikisha hapa. Tuache kabisa tabia ya kufumbia macho ukweli, tufanye mapinduzi ya kifikra na kiutawala.
 
Duniani kote hakuna nchi isiyokuwa na ubaguzi wa aina fulani ingawaje inaweza isiwe wazi lakini huo ndio ukweli kwa mfano hapa tz ukitembekea baa inayomilikiwa na mhaya basi itakuta asilimia kubwa ya watejs nivwahaya hivyo hivyo kwa makabila mengine ubaguzi mwingine ulio wazi hapa kwetu ni kuwepo na tabaka la watanzania weupe ambao ni wahindi wanomiliki asilimia kubwa ya uchumi na watanzania weusi tunabaguliwa sana na hawa wahindi mbona hamlalamiki
Kweli mkuu tena hapa ndio kuna ubaguzi sana, hawataki kuona mtu kutoka mbeya, kagera, arusha na kilimanjaro awe rais, hawataki kuona sie tunaoamini dini zingine kama urastafari, bahai, hindu na wapagani tuwe marais, wao wanatoa nafasi kwa waislam na wakristo wanaotokea kwenye makabila madogo yanayotokea kwenye mikoa isiyo na nguvu halafu wanahalalisha kwa kusema hiyo ndiyo inasababisha amani nchi. wakati kimsingi hamna amani hapa.
 
If membe doesnt have that information let him wait for Israel to came and announce to him xo that he can get something to tel the citizen! Imbecile!!
 
Taifa la mungu vs taifa teule la mungu tofauti ni nini?

Ukiwa taifa teule la mungu maana yake umekuwa taifa la mungu, hata kama yote ni mataifa ya mungu, na wewe ni taifa teule, kwa hiyo kila taifa ni second class likilinganishwa na wewe machoni pa mungu.

Hakuna taifa teule la mungu kwa sababu hamna mungu. Mungu gani anakuwa na upendeleo kufanya taifa fulani?

Hata kwa binadamu, mzazi kuwa na upendeleo kwa mtoto fulani, ceteris paribus, ni weakness si kitu cha kusheherekea. Sasa kwa nini tufikiri mungu anaweza kutoa upendeleo?

Ukweli ni kwamba biblia imeandikwa na Wayahudi mostly, na walivyoandika walikuwa na interest ya kisiasa kuboost morale ya watu kupigana vita ili kuchukua maeneo ya nchi jirani. So what do you do in that position? You write propaganda and give it a religious spin with the authority of a manufactured god, saying that your people are special. This propaganda is no different to Hitlers eugenics bs and the master race propaganda, the differences are cosmetic and non fundamental such as Hitler using science (the sometimes quasi-religion of the future) instead of religion (although he used religion and was highly supported by the then pope - see "Hitler's Pope: The Secret History of Pius XII") and therefore the Jewish master race seed is shrouded with religious respectability and the aura of passing the test of time, but even bs can last a long time until someone critical comes along to question. People thought heavier objects fall faster than lighter objects for 1600 years just because some know it all named Aristotle simply stated so, by pure "logical" reasoning. Then came Galileo and decided to test the theory, finding that this Aristotle fellow was completely wrong and under ceteris paribus all things fall at the same rate.

Wayahudi hawana uniqueness yoyote zaidi ya tradition yao ya kuwa na mapenzi na elimu, which explain their dominance in the sciences. Halafu wakati Christendom ilipo shun banking all over Europe (kwa sababu banking inahusisha usury, ambayo si biblical) the only people who could be bankers were the Jews ( see "The Ascent of Money: A Financial History of the World by Niall Ferguson" ). Kwa hiyo hizi habari nyingi za "Hili ni taifa teule la mungu etc" ni a self fulfilling prophecy na result ya mazingira kuliko chochote. Kuna watu wengi tu, hata "wasomi" Wamarekani wanaamini huu upuuzi.

Sihitaji kuua MuIsrael ku prove chochote, na usiongelee kuua kirahisi rahisi hivyo, mjinga mwingine anaweza kwenda kuua kweli, akasema nimeambiwa na fulani ukashtakiwa kufanya masterplan ya mauaji. Watu kibao washaua Jews kama sisimizi hapo ndani ya Germany na wameishi mpaka kufa kwa old age, na wengine wanadunda mpaka leo, every now and then tunasikia
mmoja kakamatwa. Na hawajakimbilia hata mwezini, sembuse Mars. Wapo tele Europe, North and South America.

So much for god and his chosen nation.

Kiranga, ingawa sikubaliani na hoja yako nimeona ni-argue kutoka kwenye kona hiyo hiyo. Hivi kama waisrael waliweza ku-device mechanism ya kuwahadaa wanadamu (kama ni kweli) kwa kuandaa maandiko yanayoonyesha kuwa wao ni taifa teule, huoni kuwa hiyo ni akili ya hali ya juu? Katika hili utake usitake Israel is and will remain to be a special nation in this world. Mataifa yote makubwa kijeshi na kiuchumi including USA yanafahamu hivyo na yanaiheshimu na kuiogopa Israel.
 
ama kweli mtu hazaliwi mzalendo. kila ninavyosoma "threads" zinazohusu hili suala ndio nazidi
kuuamini huo msemo. naamini watawala wetu wanapita humu na wanajionea jinsi tulivyo "wafu"
katika nyanja ya uzalendo. ufu huu wa uzalendo unatokana na mazingira yalipo nchini mwetu kwa sasa.

linalonitatiza zaidi ni kwamba mtu anazaliwa mwananchi (mfano tinazaliwa watanzania) lakini mtirirko
wa hoja zinazotolewa hazionyeshi kwamba utanzania wetu tunaukumbatia kwa wivu mkuu bali nao tumeamua
kutouonea wivu na hata kufikia kuukejeli. dah!

Mungu ibariki tanzania
 
Back
Top Bottom