Membe: Hatujapata taarifa kuhusu Israel!

Mbona umeanza vizuri tu, asante sana jwa kunielewa vizuri, umemtamka Ahmedinajad, yeye ni Head of State sio sectoral minister, anazo full powers za kutamka msimamo wa nchi kimataifa. Kwa uelewa wako tu, wenye mamlaka ya kutoa misimamo ya nchi ni head of State or goverment( diplomat number 1), Foreign Minister (Diplomat number 2)na Balozi wa Nchi ambao kwa wadhifa wao ni extraordinary and plenipotential. Hiyo ndio tradition ya diplomasia. Wengine wote wataweza kutoa misimamo kwenye specific context tena wa vibali (credentials au Special Envoy).

Akitoka hapa PM Pinda akaenda kutoa kauli ambayo ikaudhi nchi ningine watakwenda foreign kutafuta ufafanuzi maan Waziri Mkuu wa tanzania hayumo kwenye order of precedence ya diplomacy. Ukishaelewa hili, wala sina haja ya kujibu hoja zako nyingine.
Barak anaweza kuongelea masuala yake ya sekta ya ulinzi lakini sio mahusiano kati ya nchi na nchi.
Inawezekana ni upungufu wa kuelewa hiyo diplomacy. Nadhani balozi wa Rwanda anaelewa diplomacy vizuri sana labda kama tutachukulia Rwanda kwa 'context' ya Ehud.

Balozi alisikia waziri Ngeleja(kama nipo sahihi) akisema '.......kama mauji ya Rwanda'. Waziri hakuwa katika order of precedence ya diplomacy lakini balozi kwa niaba ya nchi yake alipeleka malalamiko serikali ya Tanzania rasmi na kutaka nchi iombwe radhi.

Anyway, inawezekana Balozi wa Rwanda naye hajui diplomacy kama mimi ndio maana naweza kumnukuu na yeye anaweza kufanya kinyume cha diplomasia halisi.

Inawezekana balozi wa heshima bwana Kirikich naye pia hakuliangalia jambo hili kwa mtazamo wa diplomasia ndio maana akapeleka malalamiko kwa waziri wa mambo ya nje wa Israel na kisha sisi kupata taarifa.

Na ukweli unabaki kuwa mimi si mwana diplomasia, naliangalia jambo kwa upeo kidogo na uzooefu tu wa habari n.k.

Nakumbuka nilipohitimu kakozi kadogo nilijua najua kila kitu kwasababu nimesoma kwenye vitabu na kufaulu mtihani. Siku nilipoanza ajira niligundua kuwa kumbe yale ya kitabuni ni kunipanua uwezo wa kuelewa na kuunganisha mambo kadhaa ya kikazi, in real world kuna vitu vinakwenda tofauti na vile vya vitabuni na kuna wakati busara na uzooefu ilibidi vitumike.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Inahusu nini? Jwanza hatuna hata hayo mahusiano ya kibalozi,istoshe hawaijui Tanzania,halafu,kwa nini tusiwe busy kuendelea mbele? Tujiulize wenyewe,siyo kwa nchi nwingine yoyote acha tu Israel!
 
[h=2]ir·rel·e·vant[/h]   /ɪˈrɛl
thinsp.png
ə
thinsp.png
vənt/ Show Spelled[ih-rel-uh-vuh
thinsp.png
nt] Show IPA
adjective 1. not relevant; not applicable or pertinent: His lectures often stray to interesting but irrelevant subjects.

2. Law . (of evidence) having no probative value upon any issue in the case

Kwa uelewa wangu Tanzania is irreleavant to Israel, so Israel to Tanzania. So what is the big deal! Naoana watu wamechemka sijui Isreal imetudhalilisha etc, for what. Who really cares what Minister wa Ulinzi wa Isreal anasema kuhusu Tanzania. Nimeona wengine wanasema kuhusu Iran na Tanzania, still Tanzania kussuport Iran is irrelevant to Israel.

Lets face it, kanchi ketu hakajulikani wala hakasikiki kwa lolote zuri, zaidi ya umaskini, ukimwi na rushwa. Kenya Uganda, Rwanda zinasikika kuliko Tanzania, labda tujiulize kwa nini?

Mfano mdogo tu, Rwanda waliuana kwenye vita vya kimbari, hakuna nchi iliyojitoa kuzuia mauaji ya halaiki, Bosnia walipigana kidogo tu, US ikaingia kuzuia mauaji zaidi, tukisema kuwa Rwnda was irrelevany to US at that time tutakosea?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Serikali imesema haijapata taarifa za Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Ehud Barak, kutoa matamshi kwamba Tanzania sio nchi muhimu kwake. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu kauli hiyo jana kwa njia ya simu, alisema kwamba hajapata taarifa kamili kuhusu suala hilo.

Hata hivyo, alitaka apigiwe simu jana mchana, lakini alipopigiwa simu yake ya mkononi ili kueleza msimamo wa serikali, simu yake iliita bila kupokelewa. Kauli hiyo kwamba Tanzania si muhimu kwa Israeli ilitolewa na Waziri Barak alipofanya mahojiano na Radio Israel na kunukuliwa na vyombo vingine vya habari vya nchi hiyo wiki iliyopita. Waziri Barak alitaja nchi muhimu na zenye maslahi kwa Israel kuwa ni Ujerumani, Uingereza na Ufaransa na siyo baadhi ya nchi maskini, ikiwamo Tanzania.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa wa Chadema, John Mnyika, alisema kupitia kauli ya kiongozi huyo wa serikali ya Israel, inaiona Tanzania sio nchi muhimu. “Tunamtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa, Bernard Membe kuitaka serikali ya Israel kuomba radhi kufuatia kauli hiyo au kueleza wazi iwapo mazungumzo hayo ya Waziri Barak ni msimamo wa nchi hiyo kuhusu uhusiano wa kidiplomasia wa mataifa yetu,” alisema Mnyika.

Chanzo: Nipashe

UPDATE

And the deputy minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Mahadhi Juma Maalim, told The Citizen Tuesday that the government has taken the issue seriously and is holding consultations over recent derogatory remarks.

“We are holding meetings to see how we can respond to Mr Barak’s comments. We will let you know when we are ready,” he said during a telephone interview. Mr Barak has refused to apologise to Tanzania after branding the country as irrelevant as far as Israel’s relations with other nations are concerned.

Source: Israel


Blessing in disguise....Mizigo tuliyokuwa nayo inayofuja mali asili ya Tanzania tayari inatuelemea. Mheshimiwa B.C. Membe tafadhali waambie hao Waisrael, hata sisi Israel haina umuhimu wowote kwetu...:coffee:
 
Mkuu, Kwanza yafaa tujiulize, Mauritania ambayo nayo imetamkwa na Bw. Barak nayo imetoa tamko? Kama haijato bas kuna fumbo.

Kwa hiyo tusibiri mpaka Mauritania watoe tamko ndio sisi tutoe tamko letu? Kwamba we're too dependent to the extent that can't even stand on our own feet kutoa hata statement? Labda tuwaambie wakiandaa tamko watupe nakala. Au Membe alikuwa anasubiri taarifa rasmi kutoka Mauritania?

Fumbo la kwanza ni kuwa, Serikali yoyote makini haiwezi kukurupuka kujibu kauli ya Waziri wa Ulinzi ambaye kimsingi hana mamlaka ya kutamka msimamo wa nchi yoyote. Katika nchi yoyote dniani kuna sera mbili kubwa, Sera ya Ndani inayojumuisha sekta zote ikiwemo Ulinzi na Sera ya Nje. Kauli rasmi juu ya msimamo wa nchi hutolewa na Waziri au Wizara ya Mambo ya Nje na si vinginevyo. Ni sawa na kwenye familia, kauli ya baba ndio kauli rasmi, hauwezi kuchukulia kaul ya mtoto kuwa sehemu ya familia ingawa huwezi kuipuuzia maana inawakilisha discontect ndani ya familia. Hivi ndivyo ilivyotokea Israel. Kauli ile ingetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje bila shaka Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ingejibu haraka na mapema iwezekanavyo ikiwemo kuchukua hatua;

Kama serikali haiwezi kukurupuka, mbona Consular wa Tanzania Tel Aviv ame-file official complaint? Au yeye haiwakilishi Tanzania? Kwanza sidhani kama issue hapa ni kukurupuka. Issue ni kujichanganya. Membe anasema serikali haijapokea taarifa kuhusiana na hayo matamko, lakini naibu wake anadai wana hold meeting kujadili jinsi ya ku-respond. Kama hawajapokea taarifa yoyote hiyo meeting itajadili nini? Na huyo Consular wa Tanzania Tel Aviv baada ya ku-file official complaint, huwa hatumi taarifa yoyote kwa mkuu wake wa kazi?

Fumbo la Pili ni kuwa mahala kauli yenyewe ilipotolewa inawakilisha uzito wa kauli yenyewe. Kauli yenyewe ya Waziri Barak ameitolea kwenye kipindi cha radio ndani ya Israel akihojiwa na wala si kwenye Mkutano wa Kimataifa. Katika Mkutano wa Kimataifa, Waziri wa sekta yoyote anaweza kuiwakilisha nchi na kutoa msimamo wa nchi kwa niaba ya Serikali yake. Ndio maana wanapoenda kwenye mikutano ya kimataifa, mawaziri hupewa hati za uwakilishi(credentials) ambazo hutambulisha mawaziri hao kuwa ni wawakilishi halali wa nchi, hati hizo husainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje au Rais wa Nchi. Na kama kunahusisha kusaini Mkataba wowote wa Kimataifa, basi Waziri huyo kama ni Waziri mwingine tu (kwa maana si Waziri wa Mambo ya Nje )hupewa "Instrment of Full Powers" hati ambao humuwezesha kusaini Mkataba kwa niaba ya nchi. Hivyo, mazngira aliyotolea kauli Bw. Barak hayakidhi haja kuwa alikuwa akitoa msimamo wa nchi bali maoni yake.

Sidhani kama the weight the comments depends on where it was delivered. The fact is that the comment were made by him as defense minister of the Government of Israel na sio maoni yake. Mkuu sioni mambo ya kusaini mikataba ya kimataifa inaingiaje hapa. Hapa ni kwa Waziri wa Israil ametoa comments. It does not matter amezitoa wapi. BTW kwani comment ya Cameron aliitoa wapi? Kwenye mkutano wa kimataifa au media (BBC)?

Mkuu kwanza inabidi ujue hizo comments alizitoa in what context. Tarehe 20 Decemba 2010, Ufaransa, Uingereza, Ureno na nchi nyingine za Ulaya ambazo ni Members was UN Security Council walitoa a joint statement condemning Israel kwa kwa kupanua shughuli kwenye maeneo ya Wapalestina wanayoyakalia. Baada ya hiyo statement kutolewa Israeli foreign ministry issued a condemnatory statement, saying that the US Security Council members had interfered in Tel Aviv's affairs. Denouncing his own Israeli foreign ministry's response to the EU members of the UN Security Council's criticism against Israeli settlement activities in the occupied West Bank, Barak said last week that "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."

Katika mazingira hayo, nchi yoyote makini itawasiliana rasmi na Serikali mwenzake kupitia Wizara ya Mambo ya Nje kuuliza ikiwa kauli hiyo ndio msimamo kamili wa Serikali au la kabla ya kuchukua hatua yoyote. Nci kurupuka na kuanza kujibu kauli kitakachotokea ni Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi ile kukushangaa na kusema kuwa kauli rasmi ingetoka Wizara yao na si Wizara ya Ulinzi. Hivyo ndivyo Diplomasia inavyofanya kazi. Na kwenye Diplomacy mambo humalizwa kupitia njia za kidiplomasia (diplomatic channels) kwa kuwamlengo la msimgi la diplomasia ni kuboresha mahusiano na kinyume chake ni vita.

Sure, especially when "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania."

Katika hili naamini Wizara ya Mambo ya Nje inalifanyia kazi suala hili katika levels za kidiplomasia. Haiwezekani ikawajibika kwa hisia zetu tu zinazotokana na uelewa wetu mdogo wa sekta hiyo. Ni kawaida yet kuingilia masuala ya kitaalamu na kuweka emotions. Mfano ni kawaida kwa Watanzania kukosoa madaktari, makocha wa mpira na wataalamu wengine. Hatuna sababu ya kuingiza siasa kila mahala. Naamini kauli ile ingetolewa na Waziri Mkuu wa Israel au Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel naamini Tanzania ingeshuka kama nyuki kama ilivyofanya dhidi ya Waziri Mkuu Cameroon wa Uingereza. Na hapa si Waziri Mkuu pekee, bali Waziri Mkuu mwenye Executive Powers.

Unaaminije wakati Membe mwenyewe kasema serikali haijapata taarifa? Pia kumbuka hapa hatuongelei hisia bali ni mkanganyiko ulijitokeza kwa viongozi husika. Huyu anasema hili, yule anasema lile. Tumwamini nani? Ni heri wote wangesema hatujapata taarifa kingeeleweka.

Siamini kama kuna mtu mzima humu hata mmoja mwenye busara na hekima atakayekwenda kugombana na jirani yake kwa matamshi aliyoyasikia kutoka kwa mtoto wa jirani. Kama hii ndio busara basi tunatatizo vichwani mwetu.

Mtoto wa jirani ni yupi hapa? Barak? Nilifikiri ni Muisraeli kumbe anatoka nchi jirani?
 
He was trying to say Britain, France and Germany are very important to Israel and not like some "third world" country with no influence. He did not need to name Tanzania to make that point
I read and hear you dude!
No formal embassies, I believe we have some sort of honorary consular (the one who filed complaints with the government of Israel)Tanzania and Israel don't see eye to eye as pointed out before. Tanzania is mainly pro Palestine and advocates for Iran to gain legal access to nuclear technology. Israel is at the opposite end of that spectrum
Israel has the grudge! intellectual arguement bro !
I am not aware that is the fact. As far as I understand, some of us are protesting being insulted, especially unnecessarily. This is not equal to saying we are saying we are an important ally to Israel. Barak could have made his point without insulting Tanzania
This is the main point some of us don't want to comprehend wittingly or unwittingly.
And whether we are poor or not, Barak has no right to insult us, especially needlessly. Unless this is a calculated diplomatic undiplomatic passive-aggressive statement
It's non of his business, let him keep his Israel we will keep our shoddy Tanzania
This violate the basic rules of civility and international diplomacy, which is not based on facts
Israel has violated so many international laws and her civility is in question by the US and Quartet.
This is a new low in international diplomacy, even Berlusconi-like buffoons and borderline burgeoning burlesques of the sort did not have the temerity to trapeze troupe themselves in trivial tantrums
I don't recall Idd Amin to have such a silly mind.
This is not the finery of a foreign policy, it's more like vagabonds drunk with power. You would expect this talk from some semi-literate dictatorfrom a banana republic, not from the so called "taifa teule la mungu" ( see Barack, I did not need to name any country to ridicule Israel's foreign policy)
He was once a PM! Hooligan could have different way of communication I guess.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ir·rel·e·vant

   /ɪˈrɛl
thinsp.png
ə
thinsp.png
vənt/ Show Spelled[ih-rel-uh-vuh
thinsp.png
nt] Show IPA
adjective 1. not relevant; not applicable or pertinent: His lectures often stray to interesting but irrelevant subjects.

2. Law . (of evidence) having no probative value upon any issue in the case

Kwa uelewa wangu Tanzania is irreleavant to Israel, so Israel to Tanzania. So what is the big deal! Naoana watu wamechemka sijui Isreal imetudhalilisha etc, for what. Who really cares what Minister wa Ulinzi wa Isreal anasema kuhusu Tanzania. Nimeona wengine wanasema kuhusu Iran na Tanzania, still Tanzania kussuport Iran is irrelevant to Israel.

Lets face it, kanchi ketu hakajulikani wala hakasikiki kwa lolote zuri, zaidi ya umaskini, ukimwi na rushwa. Kenya Uganda, Rwanda zinasikika kuliko Tanzania, labda tujiulize kwa nini?

Mfano mdogo tu, Rwanda waliuana kwenye vita vya kimbari, hakuna nchi iliyojitoa kuzuia mauaji ya halaiki, Bosnia walipigana kidogo tu, US ikaingia kuzuia mauaji zaidi, tukisema kuwa Rwnda was irrelevany to US at that time tutakosea?

Ukisema Tanzania ku support Iran kupata nuclear technology ni irrelevant to Israel unajionyesha hufuatilii mambo.

Ahmadinejad anataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia, Tanzania ina support Iran iwe na nuclear technology (caveat, kwa matumizi yasiyo ya kijeshi, but still) Hapa ona wame test long range missiles

BBC News - Iran test-fires long range missiles in Gulf

Sasa utasemaje Tanzania ku support Iran ni irrelevant kwa Israel? Wakati kitu kinaweza kutumwa kutoka Iran kikapiga Tel-Aviv? Na waIran hawawapendi waIsrael (at least serikali anyway).

Halafu, nchi ikishakuwa member state wa UN, na wewe Israel member state UN, hakuna nchi itakayokuwa that irrelevant (kama ulivyodefine hapo juu) kwa sababu hata hivyo vi island nations vya watu 10,000 vinavyotishiwa kumezwa na bahari navyo vinapiga kura UN.

Halafu ni upuuzi kusema Tanzania ni irrelevant kwa Israel kwa sababu hata kama kuna mu Israel mmoja tu maisha yake yanategemea biashara na Tanzania, tayari Tanzania inakuwa relevant kwa familia hii, na jinsi Waisrael walivyosifiwa kwa kuthamini raia wake hapo juu, hata kama akiathirika mmoja itakuwa na effect kubwa kwao, sasa sijui huyu Barak alimuuliza kila muIsrael ili kujua wanagapi wana interest na biashara Tanzania, wangapi wako Tanzania, wangapi wana prospects za kufanya biashara kesho na yeye kaharibu vipi prospects hizi. Needlessly.

Idiot.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Acha watukatae, hata wewe mtaani au kijijini kwenu wakigundua ni ombaomba watakuvumilia ila wakichoka iko siku atatokea wa kukupa "black and white". Kwa nini wakae roho juu, viongozi wa Tanzania wakionekana tu huko nje utakuta wameenda kuomba. Muombaji mwenyewe basi (Tanzania) bora angekuwa mlemavu la hasha ni mzima mwenye viungo vyote kiasi kwamba ingestahili yeye ndiye atoe misaada kwa wasojiweza.
Naomba na nchi zingine zijitutumue kutwambia ukweli pengine tutaamka. BIG UP EHUD BARAK and go on calling a spade a spade and not a spoon as most Tanganyikan like.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
1) What was the context of Ehud Barak's interview vis viz purpoted comments on Tz?

Well, Israel has recently unveiled tenders for the construction of 1,028 new illegal settler units in the East al-Quds (Jerusalem) and the West Bank. Tel Aviv occupied East al-Quds and the West Bank in 1967 and later annexed them in a move not recognized by the international community. But, Palestinians, who want East al-Quds as the capital of their future state, have repeatedly said that the new round of talks with the Israeli regime cannot be resumed unless there is a complete halt in settlement expansion activities.

Thus on Tuesday, December 20, Britain, France, Germany, and Portugal, the four European members of the UN Security Council, issued a joint statement condemning Israel's increased settlement activities in the occupied Palestinian territories. Shortly after, Israeli foreign ministry issued a condemnatory statement, saying that the UN Security Council members had interfered in Israel's affairs.

However, the Israel Minister of Defence, Ehud Barak, denounced the Israeli foreign ministry's response to the EU members of the UN Security Council's by saying that "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."

2) What was and is the diplomatic status between the two countries?

In his official letter to Israel's Foreign Minister Avigdor Lieberman, the Tanzania's consul, Kasbian Nuriel Chirich said that Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when Tanzania gained her independence

3) Why do we [NOW] think we're important ally to Israel? Historical facts proves the opposite.

In the letter, which Mr Chirich wrote last Sunday, he noted that Tanzania was one of the most reputable and was the largest country in East Africa with a population of nearly 46 million. "Tanzania is an important country that Israel should not ignore," Chirich wrote.

4) Is Barak's statement the reason for poverty, injustice, weak leadership etc so enclave Tz in its miserable 50yrs of statehood?

Do you think so?

5) Why did we swap truth for abuse? Seriously, being "not important to someone" is an insult or a fact?

It depends on the nature of the relationship.
 
Katika kudodosa nimesikia kuwa Membe yuko likizo ya mwaka. Hivyo alichojibu ni sahihi. Naibu Waziri wake ndio kaimu Waziri kwa sasa na msimamo wake utakuwa sahihi.

Si angesema basi yuko likizo? Au hakutaka tujue kama yuko likizo? Yeye alipoulizwa alisema hajapata taarifa. Hakusema kuwa yuko likizo.
 
Well, Israel has recently unveiled tenders for the construction of 1,028 new illegal settler units in the East al-Quds (Jerusalem) and the West Bank. Tel Aviv occupied East al-Quds and the West Bank in 1967 and later annexed them in a move not recognized by the international community. But, Palestinians, who want East al-Quds as the capital of their future state, have repeatedly said that the new round of talks with the Israeli regime cannot be resumed unless there is a complete halt in settlement expansion activities.

Thus on Tuesday, December 20, Britain, France, Germany, and Portugal, the four European members of the UN Security Council, issued a joint statement condemning Israel's increased settlement activities in the occupied Palestinian territories. Shortly after, Israeli foreign ministry issued a condemnatory statement, saying that the UN Security Council members had interfered in Israel's affairs.

However, the Israel Minister of Defence, Ehud Barak, denounced the Israeli foreign ministry's response to the EU members of the UN Security Council's by saying that "Germany, France and Britain are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania. These are very important countries in the world and we have no interest in increasing the tensions with them."



In his official letter to Israel's Foreign Minister Avigdor Lieberman, the Tanzania's consul, Kasbian Nuriel Chirich said that Israel and Tanzania maintain extensive financial, diplomatic and security relations which go back to the early 1960s, when Tanzania gained her independence



In the letter, which Mr Chirich wrote last Sunday, he noted that Tanzania was one of the most reputable and was the largest country in East Africa with a population of nearly 46 million. "Tanzania is an important country that Israel should not ignore," Chirich wrote.



Do you think so?



It depends on the nature of the relationship.

Mwanasiasa makini hapo ange focus kwenye issue at hand, kujenga ushawishi wa kujaribu ku reverse hiyo joint communique ya wazungu, sio kutaka kuanzisha vi diplomatic row na nchi nyingine unnecessarily ambavyo vitawa distract watu kutoka mission yako.

Barak kachemsha na hakufanya what is in Israel's interests.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Membe shutting his mouth on the matter was a blessing in disguise and the right move; for my belief is ange haribu tu! It is really degrading (as much as much of it is our own doings) for that is a direct insult to Tanzania and a direct HIT at the Government. It is good thou... for the Tanzanians..... This in some way has shown that the sorry state of our poor nation is not only from within but also externally and at an international level, Barak saying that is some kind of message to Tanzania and other poor nations; for he (Barak) could have ignored the fact and the message he intended on emminating would have been delivered without a problem.

On the other side Tanzania has to face the facts, If she can not look at herself through her broken mirror as least she has someone to tell her what she is about (even if she does not like it and portrays a bad image of her).
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nimekukubali.

Laiti tungekuwa open minded na critical tungekuwa humu ndani tunadebate along those lines. Lakini kwa bahati mbaya waliomo humu ndio critical thinkers tuliojaaliwa nchi hii. Kama hii ndio 'creme de la creme' ya nchi, basi tuna kazi huko mbeleni. Afadhali ya hawa wazee tunaowaita magamba kuliko vijana wa werevu wa aina hii wanaokuja kuchukua madaraka.
Katika kudodosa nimesikia kuwa Membe yuko likizo ya mwaka. Hivyo alichojibu ni sahihi. Naibu Waziri wake ndio kaimu Waziri kwa sasa na msimamo wake utakuwa sahihi.

Can you reconcile these two posts of yours? Do you think great thinkers rely on hearsay au kudodosa dodosa?
 
Inawezekana ni upungufu wa kuelewa hiyo diplomacy. Nadhani balozi wa Rwanda anaelewa diplomacy vizuri sana labda kama tutachukulia Rwanda kwa 'context' ya Ehud.

Balozi alisikia waziri Ngeleja(kama nipo sahihi) akisema '.......kama mauji ya Rwanda'. Waziri hakuwa katika order of precedence ya diplomacy lakini balozi kwa niaba ya nchi yake alipeleka malalamiko serikali ya Tanzania rasmi na kutaka nchi iombwe radhi.

Anyway, inawezekana Balozi wa Rwanda naye hajui diplomacy kama mimi ndio maana naweza kumnukuu na yeye anaweza kufanya kinyume cha diplomasia halisi.

Inawezekana balozi wa heshima bwana Kirikich naye pia hakuliangalia jambo hili kwa mtazamo wa diplomasia ndio maana akapeleka malalamiko kwa waziri wa mambo ya nje wa Israel na kisha sisi kupata taarifa.

Na ukweli unabaki kuwa mimi si mwana diplomasia, naliangalia jambo kwa upeo kidogo na uzooefu tu wa habari n.k.

Nakumbuka nilipohitimu kakozi kadogo nilijua najua kila kitu kwasababu nimesoma kwenye vitabu na kufaulu mtihani. Siku nilipoanza ajira niligundua kuwa kumbe yale ya kitabuni ni kunipanua uwezo wa kuelewa na kuunganisha mambo kadhaa ya kikazi, in real world kuna vitu vinakwenda tofauti na vile vya vitabuni na kuna wakati busara na uzooefu ilibidi vitumike.




Nashawishika kukujibu tu kuwa inapokuja katika uwanja wa diplomasia, kwa kigezo chochote kile huwezi kuilinganisha Rwanda na Tanzania. Hivyo, mfano uliotoa kwanza haukidhi haja. Sina shaka hata kidogo kuwa Wizara itakuwa imeshawaandikia Israel kuomba ufafanuzi na tamko rasmi la Wizara ya Mambo ya Nje. Tofauti kati ya Rwanda na Tanzania ni ukomavu wa kidiplomasia. Mmoja atakwenda kwenye media na kupiga mayowe mwingine(Tanzania) ita-handle suala hilo hilo kwa njia za kiutu uzima. Kama alivyojibu Naibu Waziri umma utajulishwa katika wakati ambao Serikali itaona ni muafaka. Kinachogomba hapa ni sisi mashabiki tulio nje tunaotaka kuwa ndio wasemaji, tunataka kuona tunafanya kama wanavyofanya Rwanda. Kwa taarfa yako utafiti wangu mdogo umeonyesha kuwa incidence kama hizi ni nyingi mno ikiwemo hiyo ya Ngeleja uliyonukuu, baadhi ya mawaziri wetu wameshafanya kama alivyofanya Barak na Serikali imekuwa ikiyamaliza kwa niia ya diplomasia.
 
Si angesema basi yuko likizo? Au hakutaka tujue kama yuko likizo? Yeye alipoulizwa alisema hajapata taarifa. Hakusema kuwa yuko likizo.

Ndugu EMT, toka lini waandishi wetu wa habari wamekuwa malaika? Isitoshe pale inasomeka kuwa aliombwa atafutwe baadae, naamini alitaka kuwasliana na ofisi ajue kinachoendelea
 
Membe bana... kwa hiyo anasubiri bahasha yenye matusi kutoka kwa Ehud? aendelee kusubiri ipo melini yaja
 
Kinachogomba hapa ni sisi mashabiki tulio nje tunaotaka kuwa ndio wasemaji, tunataka kuona tunafanya kama wanavyofanya Rwanda.

Kwa hiyo assumption yako ni kwamba wanaochangia kwenye huu mjadala wako nje ya nchi? Na kwamba kwa vile wako nje ya nchi basi inaadhiri uchangiaji wao kwenye hili suala? Kwamba kwa vile wako nje basi wanataka kuona tunafanya kama wanavyofanya Rwanda?
 
Taifa la mungu vs taifa teule la mungu tofauti ni nini?

Ukiwa taifa teule la mungu maana yake umekuwa taifa la mungu, hata kama yote ni mataifa ya mungu, na wewe ni taifa teule, kwa hiyo kila taifa ni second class likilinganishwa na wewe machoni pa mungu.

Hakuna taifa teule la mungu kwa sababu hamna mungu. Mungu gani anakuwa na upendeleo kufanya taifa fulani?

Hata kwa binadamu, mzazi kuwa na upendeleo kwa mtoto fulani, ceteris paribus, ni weakness si kitu cha kusheherekea. Sasa kwa nini tufikiri mungu anaweza kutoa upendeleo?

Ukweli ni kwamba biblia imeandikwa na Wayahudi mostly, na walivyoandika walikuwa na interest ya kisiasa kuboost morale ya watu kupigana vita ili kuchukua maeneo ya nchi jirani. So what do you do in that position? You write propaganda and give it a religious spin with the authority of a manufactured god, saying that your people are special. This propaganda is no different to Hitlers eugenics bs and the master race propaganda, the differences are cosmetic and non fundamental such as Hitler using science (the sometimes quasi-religion of the future) instead of religion (although he used religion and was highly supported by the then pope - see "Hitler's Pope: The Secret History of Pius XII") and therefore the Jewish master race seed is shrouded with religious respectability and the aura of passing the test of time, but even bs can last a long time until someone critical comes along to question. People thought heavier objects fall faster than lighter objects for 1600 years just because some know it all named Aristotle simply stated so, by pure "logical" reasoning. Then came Galileo and decided to test the theory, finding that this Aristotle fellow was completely wrong and under ceteris paribus all things fall at the same rate.

Wayahudi hawana uniqueness yoyote zaidi ya tradition yao ya kuwa na mapenzi na elimu, which explain their dominance in the sciences. Halafu wakati Christendom ilipo shun banking all over Europe (kwa sababu banking inahusisha usury, ambayo si biblical) the only people who could be bankers were the Jews ( see "The Ascent of Money: A Financial History of the World by Niall Ferguson" ). Kwa hiyo hizi habari nyingi za "Hili ni taifa teule la mungu etc" ni a self fulfilling prophecy na result ya mazingira kuliko chochote. Kuna watu wengi tu, hata "wasomi" Wamarekani wanaamini huu upuuzi.

Sihitaji kuua MuIsrael ku prove chochote, na usiongelee kuua kirahisi rahisi hivyo, mjinga mwingine anaweza kwenda kuua kweli, akasema nimeambiwa na fulani ukashtakiwa kufanya masterplan ya mauaji. Watu kibao washaua Jews kama sisimizi hapo ndani ya Germany na wameishi mpaka kufa kwa old age, na wengine wanadunda mpaka leo, every now and then tunasikia mmoja kakamatwa. Na hawajakimbilia hata mwezini, sembuse Mars. Wapo tele Europe, North and South America.

So much for god and his chosen nation.

Mzazi umeeleza deep sana,ambae hajaelewa atakua pumbavu tu......hawa jamaa ni wa**nge tu...taifa la mungu my ***ss!
 
Back
Top Bottom