Membe: Hatujapata taarifa kuhusu Israel!

On the contrary, nadhani he meant it. Maana alisema mara mbili, sio mara moja! mara ya kwanza alisema sio muhimu, na mara ya pili akasema hawezi kuapologize, he has more important matter to attend to! alafu kumbuka Tanzania has condemned Israel actions in Gaza in the past...

Not only Tanzania has condemned Israel actions in Gaza, but it has also argued at the highest level for the state of Palestine. In his remarks when addressing the 66th United Nations General Assembly, United Nations, New York, on September 22, 2011, President Kikwete said this with emphasis added in red:

"We believed at independence, as we believe now and always, that all human beings are equal and deserve equal pursuit and protection of their civil, political, economic, social and cultural rights as outlined in what has come to be known as the International Bill of Rights. It is in this spirit that I wish to reaffirm our solidarity with the Palestinian people in their rightful quest for an independent homeland. Our plea is for the fulfilment of the vision of two states: The State of Israel and a sovereign, independent, democratic and viable Palestine, living side‐by‐side in peace and harmony. That is why we also remain in full solidarity with the people of Cuba in demanding the end to all embargos against them. The people in these two countries have suffered far too long, it is time their burdens are eased from their shoulders."

Kwa staili hii usitegemee kuwa "ally" wa Israel.
 
Lizzy, hakuna mtu anawalazimisha waisrael kuwathamini Watanzania. What we need to see ni reaction ya Tanzania kama taifa baada ya Israel kutamka mara mbili kua sio nchi muhimu, na kumaintain good relation na Tanzania sio muhimu.
Watanzania mnasema nini? Tanzania kama taifa inasema nini? Je, itaendelea kua na uhusiano na nchi hiyo? Those are the question Membe needs to address publicly.
....

Hana cha kujibu. FULL STOP.

Waisrael, wababe wanaodunda almost Arab World yote itakuwa Tanzania? Tuko busy kujadili rais ajae wakati hatuna umeme, mafuta ya shida, mafuriko, chakula hakitoshi, mishahara hakuna. Kwa mtaji huu, kama sisi wenyewe ni disaster kila kona na kila kukicha, Waisrael wana haja gani ya kutuona wa muhimu?
Zile enzi za umaarufu kwa ujiko wa Nyeyere are gonne.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kumbuka Tanzania has condemned Israel actions in Gaza in the past...
Who hasn't? Mauritania and Tripolitania surely have done so...plus any country you could think of (as far as Ehud Barak is concerned) that seems to rhyme with "ania"...lol!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
One one hand, Membe anasema serikali hajapata taarifa, lakini naibu wake anasema kuwa the government has taken the issue seriously and is holding consultations. Which is which?

The government is confused......
 
  • Thanks
Reactions: EMT
  • Israel na waisrael ni watu amabo wanajishughuisha na biashara ya madini. baadhi ya makapuni na wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya dhahabu ni waisrael
  • Tanzana haina uhusianoa Israel. Kenya Ina mahusiano ya moja wa moja na israel
  • Kenya inafanya biashara ya dhabau na madini kuliko yale yanayochimbwa kenya. Inaonekana uhusino wa kenya na Isarel na siasa za mwaka 47 za mambo ya nje za Tanzania zinawanufaisha wakenya na kuumiza Tanzania. Israel has nothing to loose
  • Sababu ya siasa mbovu mbovu Tanzana inajikuta inapokea wawekezaj makapi ( 2nd tier r 3rd tier )badala ya waweezaji halisi. Waisrael and the likes wanaotaka uwekeza Tanzania wanapitia Souta africa au nchi kama kenya . So tunajipunja wenyewe kwa kutoangalia maslahi ya taifa na sera mbovu za mambo ya nje.
Tunajidai hatuna ubalozi nao lakini kupitia maliasil yetu(dhahabu) wao wananufaika na wanafaidisha nchi kama Kenya na south africa sababu tumewafungia milango ya kuja moja kwa moja na wanakuja kwa mlango wa nyuma kama makampuni ya kenya na southafrica.

Bila sera ya mambo nje kuwa reviewed rasmi kutoka ile ya mambo ya UKombozi na na kulenga dunia ya sasa ya mambo kama madini ,teknlojia, viwanda, kilimo mwasiliano hatuwezi kujua nani anatkiwa kuwa mshirika wetu daraja A nani B na nani C

Kifupi Membe anatakiwa afanye strattegic review ya Wizara yake. Tunataka tuone balozi zinauwa na involmet kubwa zaidi kwenye uchumi,teknolojia,bishara utalii na sio siasa tu. badala ya mafisa wambata wa kijeshi tunatakiwa tusikie vijana wanapta kazi balzini na za kuwa maafisa wambata wa utalii, biashara teknolojia .

Hivi hawa kina membe hawajaona zile cable. za USA waone wenzao wanavyofaya kazi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Not only Tanzania has condemned Israel actions in Gaza, but it has also argued at the highest level for the state of Palestine. In his remarks when addressing the 66th United Nations General Assembly, United Nations, New York, on September 22, 2011, President Kikwete said this with emphasis added in red:

"We believed at independence, as we believe now and always, that all human beings are equal and deserve equal pursuit and protection of their civil, political, economic, social and cultural rights as outlined in what has come to be known as the International Bill of Rights. It is in this spirit that I wish to reaffirm our solidarity with the Palestinian people in their rightful quest for an independent homeland. Our plea is for the fulfilment of the vision of two states: The State of Israel and a sovereign, independent, democratic and viable Palestine, living side‐by‐side in peace and harmony. That is why we also remain in full solidarity with the people of Cuba in demanding the end to all embargos against them. The people in these two countries have suffered far too long, it is time their burdens are eased from their shoulders."

Kwa staili hii usitegemee kuwa "ally" wa Israel.

Hata kama hiyo speech ingekua haikuwahi kutolewa, ama ingekua upande wa waIsrael bado sioni kitu ambacho kingetufanya muhimu kwao. Binafsi naukubali ukweli, kama tunataka kuheshimika na kuonekana wa maana tuanze kwa kuitengeneza nchi yetu, zaidi ya hapo tukubali kwamba hatuna maana kwa mataifa makubwa kama ilivyofanya serikali yetu mpaka sasa.Tumezee tu. . .sawa na mtu kukuita mjinga na wewe ukijua fika kweli ni mjinga.
 
Not only Tanzania has condemned Israel actions in Gaza, but it has also argued at the highest level for the state of Palestine. In his remarks when addressing the 66th United Nations General Assembly, United Nations, New York, on September 22, 2011, President Kikwete said this with emphasis added in red:

"We believed at independence, as we believe now and always, that all human beings are equal and deserve equal pursuit and protection of their civil, political, economic, social and cultural rights as outlined in what has come to be known as the International Bill of Rights. It is in this spirit that I wish to reaffirm our solidarity with the Palestinian people in their rightful quest for an independent homeland. Our plea is for the fulfilment of the vision of two states: The State of Israel and a sovereign, independent, democratic and viable Palestine, living side‐by‐side in peace and harmony. That is why we also remain in full solidarity with the people of Cuba in demanding the end to all embargos against them. The people in these two countries have suffered far too long, it is time their burdens are eased from their shoulders."

Kwa staili hii usitegemee kuwa "ally" wa Israel.
I am afraid there was no diplomatic agenda to back those statement. And now that Israel attacks, they need to regroup an think about what to say and what to do. Katika hali ya kawaida a President should only say that if it is inline with his political/international agenda.
Remeber President Newman of the US, in 1947, when he decided that the US "will free other nations from domination". he spoke as if he just wanted to affirm the US vision of a free world but in fact it was the beginning of the cold war (some believe). From there the US had the lawful right to influence countries' internal policies and to campaign for capitalism agaisnt communism.
Sasa JK alipo sema hivo, what was the plan behind? Is he creating an alliance with some communist power (I mean China or Cuba)? Atoe tamko basi... He never speaks but hata kwa ishara aseme tu chochote.:A S-omg:
 
Membee(11).jpg

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe

Serikali imesema haijapata taarifa za Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Ehud Barak, kutoa matamshi kwamba Tanzania sio nchi muhimu kwake.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu kauli hiyo jana kwa njia ya simu, alisema kwamba hajapata taarifa kamili kuhusu suala hilo.

Hata hivyo, alitaka apigiwe simu jana mchana, lakini alipopigiwa simu yake ya mkononi oli kueleza msimamo wa serrikali, simu yake iliita bila kupokelewa.

Kauli hiyo kwamba Tanzania si muhimu kwa Israeli ilitolewa na Waziri Barak alipofanya mahojiano na Radio Israel na kunukuliwa na vyombo vingine vya habari vya nchi hiyo wiki iliyopita.

Waziri Barak alitaja nchi muhimu na zenye maslahi kwa Israel kuwa ni Ujerumani, Uingereza na Ufaransa na siyo baadhi ya nchi maskini, ikiwamo Tanzania.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa wa Chadema, John Mnyika, alisema kupitia kauli ya kiongozi huyo wa serikali ya Israel, inaiona Tanzania sio nchi muhimu.

“Tunamtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa, Bernard Membe kuitaka serikali ya Israel kuomba radhi kufuatia kauli hiyo au kueleza wazi iwapo mazungumzo hayo ya Waziri Barak ni msimamo wa nchi hiyo kuhusu uhusiano wa kidiplomasia wa mataifa yetu,” alisema Mnyika.

CHANZO: NIPASHE
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa staili hii usitegemee kuwa "ally" wa Israel.

EMT unaweza kuwa allywa Israel kama unajua yeye anataka nini na wewe unataa nini. Mnaweza kuamua kufaya siasa kudangya dunia lakini nyuma ya Pazia mnajua nini mnafanya. Mnajua Kila mmoja kaamua ku-compromise nini ili apate nini .

Israel ni Ally wa Egypt na ni ally wa hata uturuki. ilikuwaje ?

Kama Israel ni ally wa hizo nchi basi anaweza kuwa hata ally wa Tanzania.Na Kwani Msimamo wa kenya juu ya tatizo lISRAEL vs PALESTINE ukoje.?

Tatizo ni kwamba sisi TANZANIA hatuna DIRA .Problem are solved as they arise. hatuna strategic VISION kwamba sera yetu sasa izingatie mambo haya. Kama ipo VISION ni ya Kisiasa tu. Ndio maana hata membe anapata kigugumizi
 
Nadhani imetokea tu kwamba, incidentally, the names "Mauritania" and "Tripolitania" just happen to ryhme with "Tanzania" (off the bat at as it presumably were). Lakini, at the same time, looking at the bigger picture, Ehud Barak wasn't exactly deluded at saying what he didespecially given the inferior and virtually obscure status of Tanzania internationally.

Nimesoma sehemu kwamba sababu ya kuchagua hizo nchi (pamoja na governate/ state ya Tripolitania )zinazoishia na -ania ni kutaka ku-rhyme na matamshi ya Hebrew ya jina la Uingereza ("BRYTaNYaH").

Which makes it even more stupid.

Unaweza kununua vita hivi hivi kwa kutaka kujionyesha u-MC wakati hata si fani yako. But then again labda kaona Watanzania hawawezi kufanya lolote, exactly his point.

So if it's any comfort Watanzania wajue, apart from kutokuwa na uhusiano wa kibalozi na kuwa nchi maskini, sababu tumechaguliwa kama mfano ni kwamba jina la nchi yetu lina rhyme na Jina la Uingereza katika Ki-Hebrew. Le sigh.
 
I am afraid there was no diplomatic agenda to back those statement. And now that Israel attacks, they need to regroup an think about what to say and what to do. Katika hali ya kawaida a President should only say that if it is inline with his political/international agenda.
Remeber President Newman of the US, in 1947, when he decided that the US "will free other nations from domination". he spoke as if he just wanted to affirm the US vision of a free world but in fact it was the beginning of the cold war (some believe). From there the US had the lawful right to influence countries' internal policies and to campaign for capitalism agaisnt communism.
Sasa JK alipo sema hivo, what was the plan behind? Is he creating an alliance with some communist power (I mean China or Cuba)? Atoe tamko basi... He never speaks but hata kwa ishara aseme tu chochote.:A S-omg:

Tatizo ni kwamba Tanzania haina foreign policy, na mainly huwa tuna adopt regional bodies' / AU consensus/ position kuwa Foreign Policy yetu. Ndiyo maana hata ku recognize serikali mpya ya Libya imekuwa kazi.

Na hapo unaambiwa the best minds serikalini ndio wanaoenda Foreign, hatuna hata Foreign policy yetu wenyewe.

Sasa inapotokea mtu katutukana gangster style kama hivi, waziri lazima asijue cha kusema.
 
Nimesoma sehemu kwamba sababu ya kuchagua hizo nchi (pamoja na governate/ state ya Tripolitania )zinazoishia na -ania ni kutaka ku-rhyme na matamshi ya Hebrew ya jina la Uingereza ("BRYTaNYaH").
Which makes it even more stupid.
Unaweza kununua vita hivi hivi kwa kutaka kujionyesha u-MC wakati hata si fani yako. But then again labda kaona Watanzania hawawezi kufanya lolote, exactly his point.
So if it's any comfort Watanzania wajue, apart from kutokuwa na uhusiano wa kibalozi na kuwa nchi maskini, sababu tumechaguliwa kama mfano ni kwamba jina la nchi yetu lina rhyme na Jina la Uingereza katika Ki-Hebrew. Le sigh.
Kiranga, did Mr. Barak say that or was it just somebody's interpretation?
In both case, if he did then he is a very poor politician (but could have a career as a raper) . And if it is a journalist or political analyst's view then it lacks some depth, to say the least...
 
Ni reporter nakumbuka, aliangalia kuna connection gani kati ya nchi (na governate)zilizotajwa akaona zote zinaishia na -ania, kama "BRYTaNYaH", jina la Uingereza katika Hebrew, which is pretty reasonable.

Huwezi ku swim deep katika maji yaliyo shallow. Barak kwa kuchagua kutaja nchi sehemu ambayo hakulazimika alishafanya analysis ya kutafuta reason (or rhyme, literary in this case) iwe bound kuwa ndani ya shallow waters.
 
Kuna mambo mawaili labda nijaribu kuyaelezea kwa kadri.
1. Kuna kitu kinaitwa serikali ambacho ni chombo kinachoongoza nchi. Serikali inakuwepo nchi ikiwepo kwahiyo nchi ni Tanzania na serikali ni ya Tanzania. Inaitwa ya Tanzania kwasababu ni ya nchi hiyo lakini inaweza kuwa serikali ya CCM au CHadema inayooongoza nchi. Endapo Ehud angesema serikali ya Tanzania huenda tungemuelewa akimaanisha akina Kikwete,Membe n.k wanaotuongoza. Hapo angeweza kusema Cameron au Sarkozy sio sawa na Kikwete na tungeweza kusita kuhoji. Aliposema Tanzania ni kuwa ameutukana utaifa na hapo kwa lugha ya diplomasia haikubaliki.

a) Makamu wa rais wa marekani Joe Biden alipotembelea Israel, siku anafika Jiji la jerusalem likatangaza kuongeza makazi ya masetla ili kumuonyesha Obama kuwa hawawezi. Serikali ya marekani na wananchi wote walilaani kitendo kile bila kujali itikadi zao kisiasa au sera za Obama. Walilaani kuonyesha hasira zao kwasababu Joe Biden ni mwakilishi wa Marekani na kumdharau ni kuidharau Marekani.

Benyamin Netanyahu ikabidi aende kuomba radhi, na Obama alimpokea kupitia receptionist jambo la dharau kubwa tena bila kuwa na 'communique' juu ya mazungumzo. Wamerekani walifurahi kwasababu Obama alilinda heshima ya taifa na si kama Obama, hata kama wapo wasiokubaliana na sera zake za mashariki ya kati. Hapa ni utaifa na si mtu/watu

b) Waziri wa Tanzania alipotoa mfano wa mauaji ya Rwanda serikali ya nchi hiyo ilitaka maelezo. Ilitaka maelezo kwasababu Rwanda ni nchi na hakuna sababu ya kuikejeli hata kama ina matatizo.

c) Mugabe alipokwenda kwenye mkutano wa World economy forum kule Rome, serikali za nchi za magharibi baadhi zilipinga, lakini Italia haikumzuia kwasababu hakwenda kama Mugabe bali Zimbabwe na kumzuia ni kuzuia Zimbawabwe. Pamoja na matatizo yote ,Zimbawabe ni nchi na haipaswi kudharauliwa.

d) Ahmadinajed aliposema Israel inatakiwa ifutwe katika ramani ya dunia, ulimwengu ulihamaki. Moja kati ya hoja ni kuwa Israel ikiwa mwananchama wa UN haiwezi kufutwa katika ramani na nchi nyingine na kilikuwa kitendo cha daharau. Kama tunakubaliana na hilo kwanini Israel hiyo hiyo iwe na haki ya kudharau nchi nyingine tena bila sababu?

e) Yule mwandishi wa Kenya Warigi Kamau alipotoa kauli kuhusu Tanzania sote tulisaimama kidete na kusema hapana, mambo ya Watanzania waachiwe Watanzania. Kwani Israel ina umuhimu gani kwa mambo ya Watanzania kiasi cha kupewa uhalali wa kututukana. Kwanini akemewe Warigi Kamau na si Ehud Barak

2) Kuna kitu kinaitwa diplomacy, hiki kina vitu kama mawasiliano baina ya taifa na taifa. Lugha aliyotumia Ehud si ya kidiplomasia. Hakuwa na sababu ya kuitaja Tanzania hata kama ni nchi ya wapuuzi na wajinga. Alitakiwa ajibu hoja inayomhusu kama ilivyo.
Mara nyingi kauli mbovu huzua kitu kinaitwa ' Diplomatic row' na ndicho tunakiona sasa hivi.

Hitimisho: Mambo ya Watanzania waachiwe Watanzania wenyewe, hakuna mgeni mwenye haki ya kudhihaki Watanzania. Kama yupo mwenye ugomvi na serikali ya Kikwete basi aseme hivyo lakini si nchi ya Tanzania.

Kinachomgusa Ehud ni msimamo wa Tanzania kuhusu Wapalestina. Anafahamu kuwa wakati wa Nyerere, Arafat naWapalestina walipata msaada mkubwa wa ushauri. Ni kutokana na influency ya namna hiyo nchi nyingi hasa 'non alignment' na zile za kusini mwa sahara zilibali msimamo. Kauli ya Kikwete UN inamkubusha mzimu anaohisi unaweza kurudi. Haiwezekani Ehud afikirie Tanzania na si Kirabati, Fiji, Tonga, Haiti, Vanuata au basi Somalia bila sababu.

Kama sera za nchi yetu ni mbaya basi ni sisi wa kuamua si Israel, kama Rais wetu hafai ni sisi wa kuamua si Israel. Kama Israel ni muhimu basi ni muhimu kwa jews na sio Watanzania. Tanzania ni muhimu kwa Watanzania ndio maana licha ya matatizo yote bado tuna matumaini na Tanzania.

Wagiriki wana matatizo, Wapakistani wana matatizo, Waitalia wana matatizo, Wamarekani na hata Waingereza. Licha ya matatizo yao ya ndani hakuna mtu atakayethubutu kuwakejeli kama taifa hata kidogo. Sisi Watanzania tunaona ni bora Waisrael watutukane! Tumeipata wapi hii hoja?
 
Damn right! We are garbage.

Ndio maana alisema "These [England, Germany and France] are very important, very relevant countries and we don't have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies", which could be interpreted as to mean Tanzania and the other countries he mentioned are unimportant, irrelevant and they [Israel] may have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies.
 
Magazeti na wanasiasa wa kitanzania walikuwa wanasema kuwa 'amani ya mashariki ya kati haipatikani mpaka israel iondoke katika arhi inayokalia kimabavu" wakati usemi kamili ulikuwa 'amani ya mashariki ya kati haipatikani mpaka nchi za kiarabu ziitambue israel na israel iondoke mara moja katika ardhi ilizoteka katika nchi za kiarabu"

uliisha ona wapi israel ilikasirishwa na kauli hizo za uongo wa viongozi wa kitanzania kuhusu mgogolo wa israel na palestina? leo hii ehud Barak kasema neno kama hilo, eti watanzaniania kupitia CHADEMA WANAKUJA JUU!!! huyu mnyika ni mtoto wa miaka 23 hakuzaliwa akishuhudia matusi yaliyokuwa yanatolewa na viongozi wa kitanzania katika risala za kila mwaka kusherehekea palestinian day.

mbona watanzania hawakuchukua hatua kuilaani Libya kuhusu kuisaport uganda kukalia ardhi yetu? mbona watanzania hawakuchukua hatua kuilaani ilipotaka kutufanya sisi vibaraka wake? leo hii tuchukue hatua ya kuvunja uhusiano wa kibalozi kwa taifa lilisema eti tanzania siyo ya maana kuliko kwa mataifa yalioshiliki kutuulia ndugu zetu vitani na kutaka kutunyang'anya raha ya uhuru wa kujitegemea wenyewe? huu ni utoto na sio ujanjanja!!!!!!!!
 
Membe is basically saying "I don't know what to say". Which is sad given the time this brouhaha has been in the news. Anachosema ni kwamba kila anayekutukana ni lazima aandike barua yenye letterhead , mhuri na sahihi, ikiorodhesha matusi yote. Sad.

Ukisikia kitu kimetangazwa na XINHUA kwa watu wanaoelewa kuwa XINHUA ni mouthpiece ya serikali ya China, halafu zimepita siku kadhaa hakuna mtu aliyewajibishwa XINHUA, na aliyesema kapewa nafasi ya kuomba radhi kakataa, hajachukuliwa hatua yotote, na serikali ya China haijakanusha, mwenye akili unajua kwamba kuuliza kwamba "Huu ni msimamo wa serikali ya China au?" ni swali la kizushi.

So goes for Reshet Klitat HaAliya/ Radio Israel.

Obviously hii either ni rookie gaffe or Wa Israel hawajali diplomacy na hawaogopi kusema ukweli ulio undiplomatic, obviously serikali ya Israel pamoja na Barak hawataki kukubali kuomba msamaha, obviously kwa kukataa kukubali wanaifanya hii rookie mistake iwe position ya serikali kwa sababu kwao ku apologize kutakuwa embarassing zaidi ya kukubali kwamba hii ni rookie mistake.

Kwanza wanaona Tanzania hatuna hata uhusiano wa kibalozi nanyi, pili nyie watetezi wa Palestina kila siku, tatu mnamtetea Iran awe na nuclear weapons, kwa hiyo kwa nini tu apologize kwa mtu ambaye hatuna chochote cha ku gain kwake? It's not like we are going to compete realistically for the Tanzanian vote in the UN kwa resolution ya kutaka Palestine iwe a member state.

Kwa msingi huu visiwa vya Kiribati huko South Pacific, vyenye watu takriban 100,000 na zero natural resources apart from tourist attracting beaches vinaweza kuwa muhimu kwa Israel kuliko Tanzania.

Ignorant statements like these makes one want to justify Iddi Amining all Israel nationals out of Tanzania, but you can't punish people for the mistakes of politicians.

This should be an argument against the notion that Israel is "Taifa la Mungu". Kama mungu angekuwa na taifa certainly asingeumba waziri aliye stupid kufanya needless undiplomatic gaffes kama hii.

Hivi anmgesema tu kwamba Uingereza na Ujerumani ni muhimu na si kama nchi zisizoendelea point yake isingeeleweka? Kulikuwa na ulazima gani wa kununua controversy bila sababu?

Humtukani hata ombaomba irrelevant ambaye huna haja ya kumtukana sio tu kwa sababu si sawa na ni ushenzi, lakini pia kwa sababu hujui huyu ombaomba kesho
atakuwa nani na anaweza kukusaidiaje.Ndiyo maana naiita hii "rookie mistake". It is a wanton disregard for the most basic principles of civility and diplomacy (especially when nothing is at stake). Generality.

Nimekupata mkuu lakini vinchi vingine kama haka kakwetu acha vidharauliwe. Kama kanchi kenyewe kameshindwa kujenga heshima kama alivyofanya Nyerere hapo awali, kanawezaje kupata heshima ya mataifa mababe kama Israel! Ebu angalia rais wa haka kanchi anavyorandaranda duniani na bakuli la kuhemea wakati ameacha resources kibao kwake ambazo angesimamia vizuri asingelazimika kutembeza hilo bakuli! Jamani, mimi sipendi sana kumlaumu Barak kwani heshima hata kwa mtu mmoja mmoja inaletwa na mhusika mwenyewe na siyo wengine.

Halafu mkuu naomba nisahihishe kidogo statement yako moja. Israel ni taifa teule la Mungu siyo taifa la Mungu. Kuna tofauti kubwa tu ya hizi statements. Suala hili haliwezi kupingwa kisiasa siasa tu wala kijazbajazba tu. Ni ukweli usiopingika kuwa wayahudi wana uniqueness fulani ya akili na weledi katika nyanja zote za maisha. Isitoshe, hata survival yao katikati ya msitu wa waarabu inatokana na attribute hiyo. Vinginevyo, kwa location yake kanchi kenyewe kangefutika kwenye uso wa dunia kama rais wa Iran alivyowahi kutishia siku za nyuma. Lakini pamoja na udogo wake na idadi ndogo ya wananchi Isarel imeendelea na itaendelea kuwa taifa superior duniani. Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba kiongozi yeyote duniani anayeilaani Israel hawezi kubaki salama. Akatoa mifano mingi sana wa mwisho ukiwa ni wa Kanali Gaddaf.

Mwisho, naomba niseme kitu kimoja kwamba ukitaka uijue Israel vizuri basi usipate shida hata kidogo wewe fanya njama ya kumwua muisrael mmoja na tangaza kabisa kwamba unahusika na mauaji hayo. Hata ukikimbilia kwenye sayari ya Mars utafuatwa tu. Kama hutaki kuamini waulize wamisri, muulize Iddi Amin, waulize wasyria, muulize Fujimori aliyekuwa rais wa Peruu.
 
Tunahitaji uongozi kama uleee....uliosema mataifa yakasikia, uliponyamaza mataifa yakaufata kutaka kujua kulikon, wako wapi sasa
 
Wakati mwingine huyu jamaa huwa anatoa remarks which are "inconveniently" true. Mwaka 2008 alisema mkuu mpya wa intelligence could leak information to Iran. Turkey summoned the Israel ambassador for questioning.

Just mwezi uliopita aliulizwa if he were Iranian he would want a nuclear weapon, akasema ndiyo because Iran are not doing it just for Israel but because the world is full of nuclear weapons from Indian, Pakistan, Korea to Russua.

Wakati wa vita ya Libya alisema kuwa kama Gaddafi were allowed to turn nuclear, no one (Berlusconi or Sarkozy nor Cameron) would have dare to order the recent events. Mwaka 1999 alisema kuwa if he was a stateless young Palestinian, angejiunga na kundi la ugaidi.

On the other hand, kuna tatizo kubwa la Tanzania kutoheshimika au hata kutotambulika duniani. Sina maana ya kujustify alichosema Barack but Tanzania on the global arena haipo.
 
Back
Top Bottom