Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 94
ni swali tu sijui kama nahitaji kufafanua zaidi. Kwa sababu watu hapa wanavyozungumza ni kana kwamba sovereignty iko kwa Rais au institutions. So tuanzie hapa ili tuone kwanini tumefanya makosa toka mwanzo ya kutotambua wananchi wa Libya walioamua kuiondoa serikali yao. Hakuna tofauti kati ya Tunisia, Misri, Libya na hata Syria. Viongozi wetu - kina Membe na wengine- wanataka tuamini kuwa uhalali wa serikali unatokana na viongozi wake! ndio maana wanatuuliza "viongozi wa waasi ni kina nani" ati "Rais wao ni nani"? Well.. ukishakosea kwenye msingi utakosea kwenye hitimisho. Ndio maana nimeuliza hilo ili kuwarudisha watu kwenye msingi kwanza.
Serikali ya Libya imeondolewa na Rebels au NATO????
Kipindi cha Nyerere, wakati wanapigania uhuru kusini mwa Africa, nchi za Africa ndo zilizosaidiana kuwaondoa wakoloni... Je, unadhani Rebellion ya Libya kukataa AU roadmap na kuruhusu NATO iwasaidie, ni kweli kwamba Westerns are so concerned of Africans?? Mapinduzi haya sio mapinduzi ya walibya.. Ni mapinduzi ya nato ikisaidiana na walibya wachache dissatisfied.. Hivi ni kweli NATO/US/UN are so concerned of Africans mpaka wakasaidia mapinduzi????
Tripoli Showdown ya week moja iliyopita imefanyika kwa msaada wa CIA,M16 kweli haya tunaweza kuyaita mapinduzi ya wana-Libya???
Nakumbuka wakati week kadhaa zilizopita Libyan officials waliwachallenge NATO/UN kwa kuwaambia kwamba kama wanataka Ghaddafi a step down, basi ifanyike uchaguzi chini ya usimamizi wa AU,UN,EU, and so on ili wananchi waamue kama wanamtaka aendelee na position yake au la, Lakini walijibiwa na mabomu..
Hata hivyo licha ya kuwa na vita Libya on the ground, kuna vita nyingine kwenye media, ya kusaidia ku-justify unyama unaofanywa kwa watu wa Libya.. NATO inaua watu wengi sana kule, halafu sisi tunayashangilia mapinduzi ya wana-Libya, wana-Libya wapi hao.. Can't we see the difference between Egypt revolution na Libya revolution?? Wa-Misri wame-prove Peoples power, na Libya ni NATO's power..
Western wamekua wakitamani anguko la Ghaddafi muda mrefu, na hii ilikua chance pekee ya kumsulubu.. Ilianza NO-FLY-ZONE, Ikaja Bombing to Protect civilians.. Haya mabomu yamepiga mpaka asset zilizo za mhimu kabisa.. NATO wakiulizwa, wanasema Command and Control Center.. At the end of the day tunasema mapinduzi ya Wanalibya.. Sio kweli, This is NATO aggression, Revenge and Re-colonisation of Africa..
Come on Mwanakijiji..