Membe: Gaddafi amefikia mwisho lakini hatuwatambui waasi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe: Gaddafi amefikia mwisho lakini hatuwatambui waasi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Facts1, Aug 29, 2011.

 1. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Membe amesema Tanzania inajua kwamba hatima ya Kanali Muammar Gaddafi kuongoza Libya imekwishafikia, lakini haiwezi kuwatambua waasi wakati bado hawajaunda serikali. “Serikali ni pamoja na kuwa na viongozi walioapishwa, tutawatambua kama watakuwa na mihimili mitatu ya serikali, bunge na mahakama,” alisema Membe.

  Hadi sasa nchi za Afrika ziizoitambua serikali ya waasi wa Libya ni pamoja na Kenya, Botswana, Ethiopia, Djibut, Rwanda na Tunisia. Nyingine ni Senegal, Gabon, Gambia, Bokina Faso, Benin na Nigeria. Zingine ni Morocco, Chad, Ivory Coast, na Ghana.

  Source: Mwananchi
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Maskini Tanzania, yaani sisi leo tunafuata? Hawa wangekuwa wakati wa harakati za ukombozi PLO, POLISARIO, ANC, FRELIMO n.k wasingepata nafasi Tanzania. je wanaitambua serikali ya Misri au ya Tunisia? Na hiki kipimo cha "Kuapishwa kwanza" kimeanza lini. Si waseme tu kuwa urafiki ulikuwa na Gaddafi lakini siyo wananchi wa Libya? Hii ni aibu kwa Tanzania.
   
 3. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatua nyingine yoyote ingehitaji tuwe na balls kusimamia what we believe in but sadly, we have ours reduced to raisins....indeed, poor Tanzania.
   
 4. P

  PresidentSalum Senior Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 184
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  najua huwezi acha sifa, punguza basi japo kidogo damn
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nyerere aliitambua Biafra na Ojukwu na Biafra ilikuwa haijaunda serikali wala hakuna aliekuwa ameapishwa kule Biafra.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Tatizo ndio linakuja hapo... Membe katoa hio kauli akisahau kua the so called waasi mpaka wa watengamae na waunde hio Serkali inayoeleweka inachukua kiji mda - Huku ikiwa wazi kua Gaddaffi sasa kashindwa na hana kabisa upenyo wa kuchomokea ili arudi katika Himaya yake (maeneo yake of interest) let alone uongozi... Hivo basi huyo huyo Membe (kama sio wawakilishi) watajikuta in the near future akianza mawasiliano na hao hao Waasi (ambao inevitably ndio watashika nchi moja kwa moja) katika maswala mengine nyeti - which surprisingly to a person ambae mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni area yake of work inabidi awe aware.... Inasikitisha kua sometimes viongozi wetu hawajui when to just shut up!
   
 7. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wampe hifadhi basi
   
 8. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ADii, nahisi huyu Membe amekurupuka na amesahau iko siku hiyo kauli yake itakuja kumsuta. Hapo kwenye red umeongea sahihi kabisa. Yetu macho na masikio
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Serikali imemwita balozi wa Libya nchini Tanzania kwa kitendo chake cha kuishusha bendera ya awali na kuipandisha bendera ya waasi,pamoja na hayo waziri MEMBE amesema wao bado hawaitambui serikali ya sasa ya waasi
  sosi:bbc
   
 10. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi Tanzania lini iliwatambua waasi wa Tunisia na Misri, mbona hatukusikia haya ya kusubiri kuapishwa kwanza, je kama serikali ya waasi itaamua kuahirisha uchaguzi wa bunge hadi mwaka kesho itakuwaje. Tuseme ukweli bila kumng'unya maneno Gaddafi alikuwa amewashika viongozi wengi wa afrika including wa kwetu ndio maana wanakuja na hadithi za ajabu ajabu, karibu 20% ya bajeti ya AU ilikuwa inatoka Libya(Gaddafi), alitumia utajiri wa Libya kujijenga mwenyewe badala ya kuwajenga wananchi wake, alifadhili nchi nyingi za afrika na cash kwa marafiki zake inasemekana msafara wake ulikuwa unatembea na cash money nyingi ajabu.
   
 11. p

  poison Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ghadafi Kama Nyerere alijua sana kujenga nje kuliko ndani, viongozi wengi wa Africa Nyerere aliwafanyia mema ndio maana wanataka hata kumfanya mtakatifu, Membe hawezi kumsaliti Ghadafi ni sawa na kumsaliti nyerere
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  On the outset, let me state that I am against tyrants and for democracy, and I am glad to see Gaddafi go.

  Membe kapatia kwamba Gaddafi amefikia mwisho wa kamba.

  Membe kapatia kwamba serikali ya Tanzania haitakiwi kuwatambua "waasi".

  Membe kakosea kwa kutupa sababu mbuzi za kuapishwa. On a broader scale, anaweza kutafsiriwa kumaanisha kwamba hawezi kuitambua serikali ambayo haipo, in which case, he is right.

  Kusema kwamba huwezi kuitambua entity ambayo haijaapishwa kama serikali kuwa ni serikali rasmi ni sawa, kusema kwamba huwezi kuitambua entity ambayo haijaapishwa kama serikali rasmi, kama serikali rasmi, si sawa. Biafra notwithstanding. Nyerere could have erred, or bended governmental procedure to make a moral point. Our Foreign Policy - if it exist at all, Game Theory would disagree that it does- is not written in stone.

  Kwamba Gaddafi kafikia mwisho wa kamba, kila mtu - ukiondoa the usual < 5% die hard supporters, anaelewa. Hilo mjadala wake si mkubwa.

  Serikali ya Tanzania ikiwatambua waasi, iwatambue waasi gani? Kwanza waasi wenyewe ni kina nani? Siasa yao ya nje ni ipi? As far as I can see on TV naona machizi wanapiga risasi hewani tu. Wana msimamo gani kuhusu interests za Tanzania? Na kwa nini tuwatambue kabla hata hatujajua wanasimamia wapi? Waacheni waunde serikali, tujue watawapa haki wa Berber au wataendelea kuwakandamiza kama alivyowakandamiza Gaddafi, kama watajipendekeza kwetu kama alivyofanya Gaddafi siku za mwisho au watatudiss.

  Hivi tunatambua dynamics zenye upana zaidi ya "tyrant Gaddafi versus the Libyan people" ziinazo play hapa?

  Hivi tunatambua Tripoli vs. Bengahazi drama iliyopo hapa? Tunatambua Royalists vs. Gaddafi? Tunatambua kwa nini waasi wanatumia bendera ya King Idris if they are really for democracy?

  Like I said on the outset, Gaddafi is a terrible tyrant. That does not give the rebels a free pass.

  The west has it's own agenda to see Gaddafi go and the rebels in power, that is why they are quick to recognise the rebels and paint them with the oversimplified brush of "freedom fighters" as disgraced as they are (lying about capturing Gaddafi sons, wanton waste of ammunition ,killing et).

  While I don't exactly buy into the "Gaddafi is an African hero, and the rebels are Al-Qaeda and agents of western imperialism" per se ( what a contradiction) I also don't buy into the notion that the rebels are freedom fighters on a par with the then ANC and deserve a free pass and unmitigated recognition.

  If making a public position was not required, we could have done better with a wait and see approach, not disclosing anything publicly.

  As Dr. Kisinger had it, being noncommitatnt has a lot to do with successful diplomacy.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Such emotional ramblings does little to add substance to your argument. As much as I often disagree with Mr Membe but this time he's on point.  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maskini Tanzagiza! wao wasiwatambue waasi wa Libya ili hali wafadhili wao wanawatambua? Gaddafi anawauama sana na si vinginevyo, wamesahau ya mshika mbili moja humponyoa, walitaka wamshike Gaddafi na Marekani kwa mkono mmoja!Lol
   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Mpaka afe gadafi ndipo waitambue serikali ya ukombozi!!
   
 16. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Taarifa zilizorushwa na BBC leo asubuhi zimeelezea mgogoro wa kidiplomasia kati ya ubalozi wa Libya na serikali ya Tanzania baada ya balozi kuiteremsha bendera ya serikali ya Gadhafi nakupeperusha bendera ya serikali ya wahasimu wake National Transitional Council.
  Membe alinukuliwa akisema wizara imemwita balozi wa Libya ajieleze kwa nini anakiuka makubaliano ya Vienna convention.
  Wanajamvi nawakilisha
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  SlidingRoof kwenye hii picha yako mkulu wetu ndiye kati ya wale wanaoonekana nyuma wenye mapembe?
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  sisi wananchi wa Tanzania tunawatambua wananchi waliomtoa Gadafi na tuwasaidie waunde serikali dhabiti.TZ haiheshimiki tena,hatuna msimamo wa wazi na tumepoteza ushawishi,tumebakiza historia tu maskini!
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  SlidingRoof

  Usiziamini sana hizi nchi kubwa, kwa interests hizo hizo za NATO ilizonazo kwa Libya unakumbuka mwaka 2008 Russia nayo iliivamia Georgia na kuyatambua majimbo ya Ossetia na Abkhazia yaliyojitenga mbali ya baraza la usalama UN kupitisha azimio la kutotambua kujitenga huko. Hakuna mwenye unafuu wote ni piece of shit tofati rangi.
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama alipandisha bendera ni kwa sababu za kiusalama!
  Gadafi amekwenda bado wetu
   
Loading...