Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.
Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.
Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.
Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.