Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Pasco eti kaamua kujinyamazia kwanini isiwe karidhika mambo fresh
Utanisamehe mkuu Pascal Mayalla Haki ya Mungu niliamini kuwa hutaki acha ni wewe mwenyewe!! Maana siyo kwa uandishi ule aisee!siyo kwa flow ile! Siyo kwa kujiamini kule!
Mkuu Capt. Tamar, yule ni system man aliyekuwa active kazini, mkimsoma utaelewa, mimi ni mwandishi tuu na sio mtu wa kule ndio maana nimeweza kubandika bandiko kama hili
TISS ni Watekaji, Watesaji na Wauaji!. Wasijadiliwe na Bunge bali Wachunguzwe, Wafumuliwe! - JamiiForums
P
 
Bado hujanishawishi pasco (Pasco wa Jf?) Pascal Mayalla
Mkuu Capt Tamar, soma kwa makini hapa chini
Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.
Hapa Hutaki Unaacha, anaongea kama mtu anayemfahamu Membe, na anajua ni nini kilichompata Mwakyembe ni kitu kilichotokana watu hatari, Kwa bahati nzuri sana, mimi pia namfahamu Mwakyembe, ila pia nafahamu sababu ya kuumwa kwake na sio watu wowote hatari wala sio kuwekewa sumu.
PASCO wa JF ahojiwe kuhusu sumu ya Mwakyembe - JamiiForums
Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!
Hii ni taarifa ya mtu mwenye access kusoma sms ya JK, hivyi ni very senior na very close.
Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
Hapa anaonyesha Hutaki Unaacha alikuwa US na Membe wakati Balali akimweleza Membe kuhusu afya yake.
This is someone who can't be me.
Kama mpaka hapa, bado sijakushawishi mimi sio Hutaki Unaacha, then believe that and you will believe anything!.
P.

P
 
Back
Top Bottom