Membe atumia cloud's fm kulishukia gazeti mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe atumia cloud's fm kulishukia gazeti mtanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Jul 24, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Akihojiwa na Miladi Ayo kutoka Zanzibar, Membe alisema kwanza gazeti lenyewe halina moral authority. Kauli inayomnyooshea kidole mmiliki wa gazeti hilo. Kisha akaendelea kusisitiza azima yake ya kuwalipua maadui zake.

  taratibu kitendawili kinaanza kujitatua chenyewe, vita ya panzi?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hilo gazeti limemfanya nini, sijakupata
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jana liliandika habari kuhoji kwa kama ni kweli ana maadui 11 kwa nini asiwataje? na yeye akauliza kwa nini wameanza wao kumuuliza na sio magazeti mengine?

  nadhani sasa umenisoma.
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nimekusoma bila chenga, nadhani kati ya hao 11 ni mmiliki wa NHC.
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mtu ambaye ni Mwanadiplomasia anaongea kwa kuoayuka kama Watu wa Mataifa !!!
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Habari yenyewe anayoilalamikia hii hapa

  Waziri Membe awavuruga wabunge

  JUMATATU, JULAI 23, 2012 04:59 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

  [​IMG]
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe
  *Wadai kauli yake inahatarisha amani
  *Wahoji nini kinamzuia kuwataja

  BAADHI ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameonyesha kukerwa na kauli iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kuwa kuna watu 11 wanayumbisha Serikali.

  Wabunge hao, ambao walitoa maoni kwa gazeti hili kwa nyakati tofauti mwishoni mwa wiki jana, walisema wanasikitishwa na kauli hiyo, kwa sababu ina lengo la kuvuruga amani, umoja na utulivu uliopo nchini.

  Wamesema Waziri Membe ama hajui anachokisema au anatafuta umaarufu wa kisiasa tu.

  Wiki iliyopita, Waziri Membe alitoa kauli hiyo, wakati akihojiwa katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televiseni cha ITV cha mjini Dar es Salaam.

  soma zaidi hapa
  Waziri Membe awavuruga wabunge
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mtanzania gazeti la Rostam.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Urais wa 2015 utatutia kizunguzungu mpaka itakapofikasiku ya kuchagua tunaweza kuwa tumechanganyikiwa kiasi cha kutojua tumchague nani hasa ambaye atatusaidia kutondolea matatizo yanayotukabili
   
 9. P

  Pwito Senior Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee namfananisha na mwanamke wa uswazini akigombana na mtu mpaka mtaa wa tano na wa kumi wajue. Anamaudhi sana anapenda publicity kijinga sana
   
 10. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  tumchague Mwigulu ili nyerere aamke uko alipo
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,929
  Trophy Points: 280
  Huyo ni Rostam, watu 10.
  Huyu Membe ana uchu.
   
Loading...