mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,979
Shibuda ni msukuma anayeongea ki-zanzibar hahah,sijui alijifunzia wapi kizenj.Shibuda alifikia wadhifa ailkioufikia yeye. Shibuda anajua mambo ya chumbani mwa Taifa kama yeye anavyojua. Ajiulize kwa sasa anavyo endesha maisha yake yeye ni liability ima thamani kwa taifa?