Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,287
- 8,828
una taka kusema aliyepo ana ushawishi wa ndani na nje??Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.