Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

Kama alishindwa 2015 una uhakika 2020 atashinda kwa Ngosha? Nafikiri unaota mchana kweupeee!!
Alipoteza mechi kiwanja cha nyumban na referee akiwa upande wake.Sijui huko ugenini kwa referee asiyemjua itakuaje
 
Wanajua nguvu ya Membe sema wanajitoa ufahamu
Mkuu wewe unaonekana die hard supporter wa membe tafadhali niondoe ujinga wangu
-Hivi ukiwa kachelo mambo yanakuwa rahisi kweli kuwa pres.?
-Umesahau kachelo mkuu aliyefananishwa na jambazi na akauwawa???
-Umesahau kachelo mkuu aliyeutaka uraisi akaishia tuhuma ya fojali ya fedha za matibabu??
Tupe sababu za maana y yeye??na kwanini hakufanikiwa despite ya kuwa na support ya JK na fedha za Gadafi???
 
Mkuu wewe unaonekana die hard supporter wa membe tafadhali niondoe ujinga wangu
-Hivi ukiwa kachelo mambo yanakuwa rahisi kweli kuwa pres.?
-Umesahau kachelo mkuu aliyefananishwa na jambazi na akauwawa???
-Umesahau kachelo mkuu aliyeutaka uraisi akaishia tuhuma ya fojali ya fedha za matibabu??
Tupe sababu za maana y yeye??na kwanini hakufanikiwa despite ya kuwa na support ya JK na fedha za Gadafi???

Membe is the ideal presidential material. Period. Wengine aibu tupu.
 
Bernad K Membe ana haki zote kisheria na kikatiba kuomba kugombea nafasi ya uraisi Tanzania katika uchaguzi mkuu 2020.
Wanaosema kwamba ameanza kampeni mapema, Membe hajaanza kampeni bali ameanza kuonesha nia na kuomba support kwa ndugu na jamaa kabla hajatangaza nia hadharani na kuingia kwenye kampeni. Jamani mtu mwenye nia ya kugombea hizi nafasi za kisiasa ni lazima ajiandae vyema, ajenge timu na watu wakumpa support, sasa kwa ukubwa wa Tanzania hili ni zoezi la muda mrefu, walau miezi 24. Makosa ya Membe ni nini?.

Mheshimiwa Raisi ametuongoza kwa miaka mitatu na mengi ameyafanya na kuyasema, Watanzania tumeona na kusikia juhudi zake. Hana sababu ya kuwa na wasiwasi wala hofu, acha Membe nae tumsikie ana kitu gani kipya cha kuwaambia Watanzania mpaka tumpe kura zetu.

Kumzuia Membe asigombee kutaleta picha na hisia mbaya kwenye ujenzi wa demokrasia ya kweli ndani ya Tanzania na ndani ya CCM.

Ndani ya CCM hili jambo alifanyalo Membe si geni. Mbona Mh Bilal kule Zanzibar alitangaza nia ya kugombea uraisi na Mh Karume kabla ya Mh Karume kumaliza miaka 10?, na huku Tanzania Bara kama sikosei ni Mh Shibuda alitangaza nia ya kupambana na Kikwete 2010 kabla ya Kikwete kutawala miaka 10.

CCM ni ileile na inafuata katiba ileile, sasa makosa ya Membe ni nini?. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Membe amefuata katiba isemavyo.
 
Membe ndiyo mgombea urais wa chadema 2020

Bavichaa Jiandae kumpigia kampeni na kumsafisha.

Lisu ameumia mno kutoswa na Bavicha

Mkuu hapa chadema raha yao ni kuchochea kuni wala sio kwamba wanampenda Membe la hasha
 
Back
Top Bottom