Membe anapofanya kazi ya mwenguo

Hii nayo UDAKU nini!??.......for you guyz to know and me to find out.
 
Mimi sioni ajabu,kama kikwete mwenyewe ameamua kuingilia kazi za membe,je kwanini na yeye asiwaingilie wengine?ila isitafsiliwe vibaya!!!!!!!
 
Ndio maana nchi inakuwa maskini, hii nayo hoja ya kujadili!!! kwani mawaziri nao si kuna siku wanataka outing,,, ndio hizi waheshimiwa ....

Wapuuzi ni sisi tunaojadili kila upuuzi!!
 
Muacheni na yeye akaangalie mifupa ikitembea ili apate kusimulia wajukuu zake baadae
 
unajua jamani tuangalie vitu vya kujadili membe anakosa lolote kwani kwa nafasi yake tu inafaa kuingia kwenye umiss kwani miss tz anakwenda china nahuko china yeye ndio kiongozi wa karibu ukiachilia balozi wa huko pia membe amealikwa kwani kamati ya miss tz wakumuona waziri wa utalii? au kwa vile basi amujamsema membe basi zinatafutwa sababu nini tafuteni sababu za maana ndio mujadili huyu sio FISADI WALA MLA RUSHWA
 
Sioni kibaya chochote alichofanya Membe...

Jamani! Tuweke pembeni matani because it is funny, lakini let's talk about responsibility. Nadhani Game Theory kafanya vizuri kuibua suala hili! Wakati Membe anamkabidhi bendera mrembo, mkutano wa serikali na wahisani ulikuwa unaendelea mjini Dar-es-Salaam, ambapo wahisani wameendelea kuiweka serikali kiti moto. Kama ninakumbuka vyema Membe ndiye aliyeleta kidomodomo kuhusu wahisani wasiingilie mambo ya ndani blahblah! Sasa wahisani wamemgeuzia kibao, yeye anauchuna. Kama top diplomat wa nchi hii angetakiwa awe mstari wa mbele katika kujaribu ku-placate wahisani katika mkutano kama huu mbona hata wizara ya kilimo ilituma mtu?
Pia Membe ana manaibu wake wa kufanya hiyo kazi ya kukabidhi bendera. Au mfano mwingine: huyo Ole Naiko wa Tanzania Investment Centre so alikuwepo, kwa nini yeye asimkabidhi bendera mrembo? Au naibu waziri wa utalii au waziri wa utamaduni?
I think that hii ni dharau wakati nchi ina-face matatizo na wahisani na international community, kuonekana kwa waziri akikabidhi bendera kwa mrembo!
 
Maelezo mazuri,,, lakini sio vipa umbele vyetu... tukajadili mambo mengine!!! we are waisting our energy and resources!
 
Mbona kina Shaq wakishindaga ubingwa wanaenda White House kukutana na raisi. Hata Red Sox wataenda....hata New England wataenda...na hakuna anayesema raisi anapoteza muda wake na angekuwa anashughulikia masuala ya Iraq na Afghanistan...Kwani hiyo hafla alitoenda Membe ilichukua siku nzima...? Kwa nini kina Shaq wasikutane na Cheney au White House chief of staff kama raisi ana mambo muhimu kama Iraq na Afghanistan na Syria?
 
The key words are underlined! Wakishinda! Huyu Miss Tanzania hajashinda wala nini ndo anaondoka kwenda kuwakilisha nchi! BIG DIFFERENCE! Hajapata achievement yoyote ni kama flag off! Na pia hii si mechi (kick off) ni ceremony tu! Msije mkachanganya vitu hapa. This is a trivial ceremony ambayo hamna haja for ministerial level of involvement!
 
Tayari ni mshindi. Si alishinda mashindano kitaifa? Na sasa anaenda kuwakilisha taifa kwa hiyo hakuna ubaya wowote kwa Membe kuchukua dakika chache tu ktk siku yake na kumpa baraka kwa niaba ya taifa. Kwani kiliharibika nini kwa Membe kufanya hivyo?Kila kitu nyie mnakosoa tu hata pasipostahili...

Mbona timu kama zinazowakilisha Marekani au nchi nyingine ktk michezo ya kimataifa kama Olimpiki huwa zinaenda White House kabla ya kwenda kwenye mashindano na kupiga picha na raisi wao. Kwani wameshinda nini? Hata hao wanaowakilisha Marekani ktk Miss World au Miss Universe mbona huwa wanakutana na viongozi wa nchi kabla ya kwenda kwenye mashindano. Kwani wameshinda nini?
 
Tayari ni mshindi. Si alishinda mashindano kitaifa? Na sasa anaenda kuwakilisha taifa kwa hiyo hakuna ubaya wowote kwa Membe kuchukua dakika chache tu ktk siku yake na kumpa baraka kwa niaba ya taifa. Kwani kiliharibika nini kwa Membe kufanya hivyo?Kila kitu nyie mnakosoa tu hata pasipostahili...

Naona sasa umebadili hoja, alishinda kitaifa mwezi wa ngapi? Mbona hakumpongeza wakati huo? Jamani! Anyway, sioni kama kuna haja ya kwenda huko lakini naona na wewe unatetea tuu!
Mimi bado nahoji kwa nini Membe hakutumia dakika chache tu kujaribu kuplacate wahisani ambao walikuwa kwenye kikao na serikali? Maana soma thread na hata articles utaona kila mahali wanakumbusha jinsi gani Membe alivyojifanya kimbelmbele kuwapasha wahisani, sasa anajifanya yuko busy na mrembo! That's all! Sasa kutetea eti ni mshindi na kadhalika ni blahblah!
 
You must have been living in cave my friend!! Si tunaongelea Richa...yule Miss Tanzania au? Sasa Miss Tanzania siyo mashindano ya kitaifa ya kutafuta mrembo atakayetuwakilisha ktk Miss World huko Sanya, China? Nisahihishe kama nimekosea...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom