mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,384
- 1,555
W
Wakina Salim walikuwa na eshima kwa Nyerere,mbona uzunguzii waki Oscar Kambona waliokuwa wapinzani wake Nyerere?Kwa hiyo wewe ukishawishiwa kwamba jirani yako ni mwizi wewe unaamini tuu bila ya kujiridhisha? Tena wewe ni rais na una vyombo vyote vya uchunguzi?? Tukubaliane tuu hiyo ilikuwa roho mbaya sana, yaani uko tayari kiti kiende nchi nyingine kisa tuu roho mbaya?? Hivi Nyerere angekuwa hivyo akina Salim Ahmed Salim wangefikia kule walikofikia??