Membe mzee wetu, tunaomba ukae kimya utulie ustaafu kwa heshima..
Naomba labda niongee kwa kizungu ili unielewe vyema kabisa
AMBASSADOR IS EXTRA ORDINARY AND PLENIPOTENTIORY.
Kwa maana ya kwamba balozi ana mamlaka yote na haki zote kumwakilisha rais aliye mteua awapo nchi husika.
Mawaziri wanapokuwa nje ya nchi hawana mamlaka kama ya balozi, hivyo unaposema balozi hana mamlaka kuhudhuria baadhi ya vikao ni uongo.