Mema Na Mabaya Ya Balali

lidoda

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
641
574
Waungwana Ni Kweli Kwamba Tumeumizwa Kwa Kifo Cha Balali Na Hasa Kwamba Hatujamsikia Yeye Mwenyewe Akituambia Kwa Nini Alifanya Madudu Kama Hayo. Ni Vilevile Ni Ubinadamu Kuwa Mara Nyingi Tunaangalia Uapande Wa Dark Side Wa Coin Bila Kuangalia Upande Mwingine. Kwa Muungwana Yeyote, Lazima Aangalie The Goode Side. Mie Balali Simjui Sana
Cha Kujiuliza Je. Huyu Mtu Hakufanya Mazuri Yeyote Katika Taifa La Tanzania?
 
I'm not sure if people are interested to know that. We always focus on the dark side of the coin. Thats human nature obviously. Lets see what other members have to say.
 
Back
Top Bottom