Meli za Kichina zanaswa kwa Uvuvi haramu

Hao wachina ndio marafiki wakubwa wa serikali ya CCM waliobaki..

Nakumbuka mwaka 2015 kwenye Kampeni za uchaguzi Balozi wa China nchini Tanzania alikuwa anapandishwa majukwaani na nguo za kijani..

Upumbavu kama huu hakuna Balozi wa Nchi yoyote anaeweza kuufanya..

Wacha wavue samaki bure tu.
 
Watanzania wanakula samaki chini ya kiwango cha Shirika la Afya Tanzania,

Source: https://ippmedia.com/en/news/tanzanians-urged-increase-domestic-fish-consumption

Kila Mtanzania mmoja anatakiwa kula kilo 14 za Samaki kwa Mwaka (Kiwango cha chini)

Lakini naona tatizo liko kwenye bei, Kilo ya Nyama (6000 Tshs) ni rahisi kuliko Samaki (9000 Tshs)

Wavuvi naona hawajaweza kuvua samaki wengi, kwa sababu ya Vifaa duni...

Less supply and More demand. Fishy...(upatikanaji mdogo, ..Samaki..uhitaji mkubwa) More price
 
Hao wachina ndio marafiki wakubwa wa serikali ya CCM waliobaki..

Nakumbuka mwaka 2015 kwenye Kampeni za uchaguzi Balozi wa China nchini Tanzania alikuwa anapandishwa majukwaani na nguo za kijani..

Upumbavu kama huu hakuna Balozi wa Nchi yoyote anaeweza kuufanya..

Wacha wavue samaki bure tu.

Wachina wapelekewe samaki kwa bei chee, Watanzania wapate utapiamlo au wafe njaa tu
 
Hao ni marafiki zetu waacheni wale fishfillet sisi tule daganga ili tufike uchumi wa kati.
 
Wachina wanatuharibia nchi, ila ndo kwanza serikali imewakumbatia...miradi ya ujenzi huwa wanajenga kwa kiwango cha chini, biashara haramu kama madawa na vinyaji feki wamo, uvuvi na ujangili wamo, uchafuzi wa mazingira wamo, yote haya wanafanya hapa hapa nchini... ila tunaambiwa wachina ndo 'best friend' wetu
 
Kuna nchi duniani wanaingiza kipato kikubwa kwa ajili ya samaki
Kuna meli ilishikwa somalia ikiwa na wafanyakazi 500 wa kichina wakivuna samaki kwa wizi na hiyo meli ni kiwanda humo humo inasindika na packaging yote mpaka use by date za samaki
Maboksi yakitoka hapo ni sokoni moja kwa moja
Ndio chanzo cha pirate's kupambana na madhalimu hawa
 
Mtoa mada
1. Unatakiwa uelewe jamii za samaki zinazopatikana nchi mbalimbali. Jamii(species) za vibua zinazoingizwa nchi hazipo katika bahari yetu. Sisi tunajamii nyinginezo za vibua.
2. Unatakiwa ujue hizo meli za uvuvi za nje zinavua bahari kuu na jamii ya samaki wanaovuliwa na hizo meli ni jodari ( kumbuka samaki wa magufuli). Kingine chochote wanatakiwa wahaulishe pale bandarin ( imeanza Mwaka Jana) kwa ajili ya makampuni ya ndani kuchukua na kuuza.
3. Kwahiyo hizo meli kama zimekamatwa Basi zimekiuka Sheria ya uvuvi deep sea.

Mwisho tuache kupotosha kuwa vibua vinavyoingizwa vinatoka katika bahari yetu hapa kwakuwa ni jamii tofauti kabisa ya vibua
 
Back
Top Bottom