Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,353
2,000
Jifunze kuelewa kidogo, kuna tofauti ya meli ya Tanzania na meli iliyosajiliwa Kwa Bendera ya Tanzania, jaribu kujifunza kidogo usajili Wa meli Kwa bendera za nchi nyingine, hiyo haimaanishi hiyo meli ni ya nchi inayopeperusha hiyo bendera Bali huo ni usajili tu!
Ulichojibu hapo unaonesha una upungufu wa akili ubongoni mwako... Only mjinga na mpumbavu ndio atakuelewa...
Sasa nikupe mifano Miwili tu ninayowapa wapumbavu like you.
1. Mtu aseme hali nyama ya Nguruwe sababu ni Haram lakini ikipikwa na Mchuzi anaunywa huyo ana akili kama wewe.
2. Gari aina ya Toyota Land Cruiser likitoka Japani ukalinunua wewe na likaandikishwa Jina lako na ukapata kibali cha nchi husika and then Ukaenda fanyia Magendo likakamtwa na walinda Sheria utaruka kuwa sio lako ni la Toyota Japan? Maisha ya sasa Mjinga ataendelea kuwa Mjinga tu.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,686
2,000
Get short URL
Turkey will be the death of NATO – its recent clash with fellow member France off the coast of Libya is an early symptom

FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency

When two countries who are supposed to be military allies fall out and almost get themselves into a shooting match, you know there’s going to be trouble ahead. The problem for NATO is, this time, it may prove terminal.

For a story that involves high seas skullduggery, clandestine gun-running, a punch up between people who are supposed to be friends, and an incident that could be fatal for the world’s biggest military alliance, this one started mundanely enough.

Mnamo Tarehe 7 Mwezi June 2020 Meli ya Inayopeperusha Bendera ya Tanzania inayoitwa Cirkin Iliopakia Shehena iliyodhaniwa ni Makapeti, lakini cha Kushangaza ilisindikizwa na Meri tatu za Kivita za Uturuki kwa Siku tatu umbali zaidi wa Maili 1,000 baharini hadi Bandari ya Libya, Uchunguzi ulibaini msafara huo hakika ulikuwa umebeba Silaha nzito za kivita kwa kundi la GNA ambalo limewekewa vikwazo vya Silaha na umoja wa Mataifa.

Mambo yalianza kuwaharibikia Watanzania baada ya Helikopta ya Nchi ya Ugiriki kuitilia Shaka na Kuomba watue helikopta yao ndani ya Meli ya kitanzania ili kuikagua... Nchi ya Ugiriki inaruhusa kufanya ukaguzi ili kuzuia magendo yeyote ya Silaha zinazoelekea kwa nchi zilizowekewa Vikwazo... Meri za Kusindikiza za Uturuki zilikataa ukaguzi kwa ndani ya Meli ya Tanzania yaani waliikingia kifua kiundava.. Wagiriki wakaacha kutua na kuanza kuifuatilia kwa umbali furani Watanzania hapa kazi tu Wakazima mitambo yote ya Mawasiliano ili Meri yao Isionekane wala Kufuatiliwa yaani mwendo ukawa kimya kimya analogue kama Jahazi.

Wagiriki walipoona mbinyo wakawatonya Jeshi la NATO kuwa Watanzania wanajifanya Wajanja na inawezekana wanaleta za Kibongo na watakuwa wamebeba Silaha kuelekea Libya. Jeshi la Nato upande wa Ufaransa Likaingilia Kati na Kuwafuata Watanzania na kuwaambia waseme wapi wanaenda na wajitambulishe Masikini Watanzania hawaelewi lugha ya Kifaransa wakauchubua tu kimya...! Bonju "G" baadae Gamutu puramalaka Rasta Dialo msosi Please.'' Wafaransa wakataka kuikamata Meli ya Tanzania basi kasheshe likaanza Meli za Uturuki za kivita zikaanza kuwasha mitambo ya Makombora basi Wafaransa wakaoana Tanzania is no Alone wakaawaacha ila wakawafuatilia na siku iliyofuata Cirkin Tanzania ikaelekea Libya ikatia Nanga Bandari ya Misrata ikashusha na Mzigo wote.

Ufaransa imekasilishwa sana na Tabia ya Uturuki na imeishitaki Uturuki kwa Tabia walioionesha ya kuikingia Meli Iliyosheheni Silaha ambazo zimepigwa Marufuku na Umoja wa Mataifa ili kuzuia Mauaji ya watu wasio na Hatia nchini Libya.

Nayo Uturuki imeitaka Ufaransa kuomba radhi kwani ingesababisha kichapo cha huku na kule wakati wote ni wanachama wa NATO. Ufaransa imeona ijitoe baadhi ya sehemu inazolinda kuzuia Silaha zisiende nchi ya Vita ya Libya.

Je Watanzania wanasimamia upande Gani? Masikini Libya... Erdogan sio Rafiki atatutia MATATIZONI nashauri hiyo Meli inyang'anywe Bendera yetu ya Nchi ya amani.

Back on June 7, 2020, a Tanzanian-flagged cargo ship, the Cirkin, quietly departed a Turkish port and set sail toward the Libyan port of Misurata.

No one is absolutely certain what its 5,800 tons of cargo was, but it’s safe to say it probably wasn’t carpets.

No, that wouldn’t require the three Turkish warships who escorted the Cirkin on its four-day, 1,000 nautical mile journey. It was almost certainly carrying military equipment for the Libyan army under the command of the Government of National Accord (GNA), in contravention of the UN-imposed arms embargo.

Things started to go wrong three days later, when a Greek helicopter, operating from a Greek frigate, the Spetsai, approached the ship and requested permission to land a boarding party for the purpose of inspecting it. The Spetsai and its helicopter were operating as part of Operation Irini, an effort in the Mediterranean undertaken by the European Council to enforce a UN arms embargo on Libya. Cirkin’s Turkish escorts rejected the request.

Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations
Turkey demands apology from France for warship incident amid heated dispute over Libya embargo violations


The Spetsai withdrew and monitored the Cirkin from a distance. Shortly afterwards, the cargo ship turned off its transponder.
A French frigate, the Courbet, operating as part of Operation Sea Guardian, a NATO maritime security operation, was then informed by NATO that the Cirkin was possibly carrying arms in violation of the UN embargo.

After the Cirkin failed to identify itself to the Courbet, and refused to divulge its final destination, the Courbet sought to board the vessel. At this point, one of the Turkish frigates illuminated the Courbet three separate times with its fire control radar, an indication it was intending to engage its weapons systems.

The Courbet withdrew, and the next day the Cirkin arrived in Misrata, where it discharged its cargo.

J’accuse
France has condemned the Turkish actions and filed an official complaint with NATO; a subsequent investigation by NATO was deemed to be “inconclusive,” although the details remain classified. For its part, Turkey has demanded an apology from France. In response, France has withdrawn its forces from Operation Sea Guardian, and demanded that NATO take seriously the task of enforcing the UN arms embargo on Libya, an act that would put it at conflict with Turkey, a NATO member.

This is where the incident becomes murky – it appears that Operation Sea Guardian lacked any NATO mandate to operate in support of Operation Irini, and that the decision to interdict the Cirkin was taken unilaterally by France, void of any NATO authority.

In the days following the June 10 incident, the European Union appealed to NATO to authorize ships assigned to Operation Sea Guardian to operate in direct support of Operation Irini’s Libyan embargo enforcement mission. However, such authorization would require the unanimous consent of all of NATO’s members, making any such authorization impossible given Turkey’s inevitable veto.

Kama meli hiyo ni ya Serikali, hapo tunatakiwa kutoa ufafanuzi wenye maarifa, lakini kama ni meli binafsi, suala zima linabaki kuwa ni wamiliki wa meli hizo na mamlaka sawa na waliokuwa wameenda kujiunga na makundi ya kigaidi vile wanashughulikiwa katika ngazi binafsi.

Kwa taifa, kuna sababu ya kuregulate vizuri hizi meli binafsi ili kuhakikisha hawachafui jina la nchi kupitia ushiriki katika masuala ya uvunjaji wa sheria za kimataifa. Unaweza kuelewa nini kipo kati ya serikali ya uturuki, libya na wamiliki wa meli wa hapa.

Lakini pia kuna uwezekano wa bendera yetu kutumika katika vyombo vya biashara haramu ili kupoteza dira na focus kwa mamlaka sahihi. Kwamba washughulike na Tanzania kwa kuwa Bendera imeonekana, na kuwaacha wahushika halisi bila kushukiwa. Hili ni suala la wizara yetu ya mambo ya nje kufuatilia ili kubaini uhalisia wa hili jambo. Ni hatari kuacha tuchafuliwe bila taarifa wala utetezi kama ilivyo kuwaacha watu wetu watupake matope kwa kufanya umafia.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,686
2,000
Ulichojibu hapo unaonesha una upungufu wa akili ubongoni mwako... Only mjinga na mpumbavu ndio atakuelewa...
Sasa nikupe mifano Miwili tu ninayowapa wapumbavu like you.
1. Mtu aseme hali nyama ya Nguruwe sababu ni Haram lakini ikipikwa na Mchuzi anaunywa huyo ana akili kama wewe.
2. Gari aina ya Toyota Land Cruiser likitoka Japani ukalinunua wewe na likaandikishwa Jina lako na ukapata kibali cha nchi husika and then Ukaenda fanyia Magendo likakamtwa na walinda Sheria utaruka kuwa sio lako ni la Toyota Japan? Maisha ya sasa Mjinga ataendelea kuwa Mjinga tu.
Mlaleo achana na huyo mtu. Hajui kitu na hajui kwamba hajui.
 

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,512
2,000
siyo mara ya kwanza meli hizi kuleta aibu kwa nchi huwa zinapata tu usajili hapa ila huwa ni za waarabu naskia zanzibar ndipo kuna loop hole za kusajili meli za aina hii, ni aibu na hatari kwa nchi yetu
Mkuu,kwani unafikiri nini kifanyike katika swala hili?
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,686
2,000
Jifunze kuelewa kidogo, kuna tofauti ya meli ya Tanzania na meli iliyosajiliwa Kwa Bendera ya Tanzania, jaribu kujifunza kidogo usajili Wa meli Kwa bendera za nchi nyingine, hiyo haimaanishi hiyo meli ni ya nchi inayopeperusha hiyo bendera Bali huo ni usajili tu!

Jamii Forum ni kama kijiwe cha kahawa. Kila mtu ana uhuru wa kuongea.

Lakini, binadamu tumeumbwa na aibu. Huoni aibu wewe? Labda ukacheze taarabu ambako kila mtu hata juha ni mjuaji. Jamkani, naogopa kwamba JF kumbe unaweza kuwa unapoteza muda ukadhani hueleweki kumbe unaongea na ............

Nenda kasubiri ngoma .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom