Meli ya "Samaki wa Magufuli" yazamishwa kwa hujuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli ya "Samaki wa Magufuli" yazamishwa kwa hujuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Feb 21, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Meli hii ni maarufu kwa jina la 'Meli ya Magufuli'.

  Meli imeegeshwa eneo na jeshi na muda wote iko chini ya ulinzi lakini wavuvi wanaovua samaki karibu na meli hiyo wanasema imafanyiwa hujuma na polisi hao sababu mara nyingi huonekana wakitoka na vitu pamoja na mafuta ndani ya meli hiyo na sasa wanaizamisha kufuta ushihidi.

  Ikumbukwe, kesi dhidi ya meli hiyo bado inaendelea.

  ANGALIZO: Badae tusije ambiwa nchi ilipe fidia kwasababu ya watu wachache wenye tamaa zao iwe mzigo kwa wananchi.

  CHANZO: ITV HABARI
   
 2. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Duh! Kwa hali ya sasa bado tutasikia mengi!
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Na hii ndio Tanzania yetu! Kha!
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  pamoja na kuwa hii habari ina uzito lakini haijakaa vizuri maana habari yenyewe ni kama inapinga heading yake
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na bado ndivyo ilivyo kwetu sisi watz..
   
 6. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asanteni wanajamvi nimesha wasiliana na mods
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  .....hii nchi tutakuja kuichukua wakati kila kitu hakipo
   
 8. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri kuambiwa tume inaundwa.na mchakato unaendelea
   
 9. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mwee mwee mwee mwee
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hata hivyo kesi yao imechukua muda mrefu sana-ngoja izame ili walipe fidia next time wawe na spidi kwenye mambo yao
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa, meli italipwa kwa gharama kubwa kuliko ilivyo, italipia siku zote iliposimama bure.
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tunakoelekea sijui ni wapi....nani asaidie mwenye simu ampigie magufuli. Isije kuwa wenye kesi wamewalisha mlungula hao polisi waipoteze ili wawakatie kidogokidogo ukizingatia kuwa meli yenyewe ya kichina...kesi inaendeshwa kichina........na itamalizika kichina....loh
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dah!Filamu nyingine tena...Wacha nijinywee zangu tusker bariiiiiiidi,then nitatafakari kesho.
   
 14. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wao hawana shida mana kuna punda wao wanafuga mahali watalipa
   
 15. s

  since1961 Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa style hii maendeleo tutayasikia kwenye bomba
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mh kweli TANZANIA imekwisha
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Ndo Tanzania tunayoitaka hiyo na tuloamua kubaki nayo!!!
   
 18. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwani ilikuwa na samaki bado? Kwasababu according to Archimedes principle, you won't expect a massive body like ship being submerged with such easiness.
   
 19. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bongo tambala bovu we jichumie tembea zako hapo magufuri kakutana na nguvu za papa ss wanataka kumnyoosha uvuvi huo ulikua dili la wakubwa yy kaingilia kati kalitibua aangalie wasije wakam mwakyembe bure
   
 20. k

  kitero JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nchi inaandaa mazingira magumu kwa raisi bora ajae aonekane hana jipya.mikataba feki madeni,viwanda vyote vimekufa na hakuna mashirika yanayofanya kazi kwa kujiendesha yenyewe,ujenzi holela.
   
Loading...