Meli ya Mizigo Zanzibar, inawaka Moto bandarini

mipango ya Mungu

Si Mpango wa Mungu Mwanadamu kuwa Maskini, Si Mpango wa Mungu Mwanadamu kuugua kwa Moto. Inaonekana unamwogopa Shetani ndiyo maana humtaji. Hata hivyo wizara husika might be responsible. It is unacceptable incident just within the short period et ajali ya treni tena. What hell is all about?
 
No tragedy can occur on earth without the knowledge and even the consent of God. Mankind can never in its power stave off anything that has been planned by God, only could possibly attenuate the consequences of the incident.
 
Watanzania bana kwa kulalamika. Akifa mtu mara oooo! Marehemu alikuwa na UKIMWI. mara marehemu karogwa, hapa mnataka msingizie HUJUMA. Acheni mambo mengine tusiwe tunamsingizia mtu/watu au mungu kabla. Tujue chanzo then tutamjua mchawi jamani.
 
Jamaa wameshindwa kuzima moto hapobandarini hawana dept ya fire au hata kuchota maji na kuzima? Mbona maajabuhaya ? Mizigo ilikuwemo ama ni meli ya mizigo tu tupu ?
 
Kazi kubwa sana.

Si ajabu mwenye meli anataka alipwe Insurance au ni bahati mbaya.

Poleni saaaaana huko Zenj. Nisalimieni Salim Bushta na Ustadh Farid Al'Haadee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom